Sababu Gani Wakenya Huja Huku JamiiForums?

Hivi kwa mtazamo wako nipate forum ipo vipi ?
Nipate forum, ile ndogo sana. It still lacks that "appeal factor" that drew so many to Mashada forums. Mashada was big as it was global, with west Africans, Southern Africans, Asians and Americans using that blog to exchange ideas, and mostly to insult and degrade each other (ie Kenyans vs Nigerians; whites/indians vs blacks; somalis (cushites) vs bantus; the terrorists taunting at the morning Kenyans after a successful terror attack etc).
But when Kenyans begun using it to tear each other apart, along tribal or political divides, the authorities thot, this is one luxury Kenya cant afford to have. It had to be shut down.
 
Waiteni wachangamshe ngeli ya genge...si unajua matani ya TZ na Kenya yanatufanya tupasuke mbavu
Ngeli ya genge si nyote mtatoroka? Wakija wale wabaya kama wale walikuwa Mashada, haki ya nani hii section ya Kenya News inaeza fungwa tu........forever!
 
 
Njooni tu. Changamoto yenu ni muhimu.
 
Ngeli ya genge si nyote mtatoroka? Wakija wale wabaya kama wale walikuwa Mashada, haki ya nani hii section ya Kenya News inaeza fungwa tu........forever!
Aisee lile forum mashada niliitoa nafsini mara that that. Hata post 1 sikufanya. Nilijua toka mwanzo kilikuwa mbofu..
Kwa wale wanaotaka kuwatoa wakenya JF, kumbukeni lugha pendwa inayotumika sana humu haitawaruhusu. Itakuwa sawa na kuwafukuza walimwengu wote Facebook, kisa sio wamarekani(hitowezekana).

Hata hivyo inabidi tujenge yetu kama vile nairaland (Leo huko wanatuvamia aisee). Swali ni je, nini kinachotuzuia? Naona tuwe na mwekezaji mpya tofauti na Kobia wa mashada au washirika wake, watupe psyche fresh bila vijembe kali na wenye hawalengi mrengo wowote wa kisiasa(gumu sana). Mwenye nia zuri na mwenye haogopi ban/piga marufuku hawa masokwe ya mitusi nono.
 
Wakenya na WaTz tukikutana ugenini tunakuwa karibu sana kuliko hata waganda.lkn humu tunapigana vijembe
 
wakenya ni katiri sana na wanawake wake pia ni wezi sana kama hamjui tuulizeni au waulizeni wanaoishi au kwenda kenya mara kwa mara watawaambia ni bora uende uganda wakarimu sana wakikuona mtanzania unamatatizo ila uwe na matatizo ya kawaida kabisa kenya utajuta na ukija kenya we jichanganye na bint wa kenya utacheki picha wao wamekaa ki bepari zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…