Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Unataka mjaluo, mkikuyu au kambanitafutieni bwana huko kenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka mjaluo, mkikuyu au kambanitafutieni bwana huko kenya
wajaluo hawatahiriwi nasikia ngoja nijaribu pande hizo sijawaiUnataka mjaluo, mkikuyu au kamba
odinga ni wa wapi?Unataka mjaluo, mkikuyu au kamba
Wanatahiriwa bhana jaluo ni kama kurya kwa TZ na wanajua kutwanga kwenye kinu hutajuta kuwafahamuwajaluo hawatahiriwi nasikia ngoja nijaribu pande hizo sijawai
Jaluoodinga ni wa wapi?
basi nitafutie raila mmoja hukoJaluo
Haya, fanya mazoezi ya kiuno..basi nitafutie raila mmoja huko
Nipate forum, ile ndogo sana. It still lacks that "appeal factor" that drew so many to Mashada forums. Mashada was big as it was global, with west Africans, Southern Africans, Asians and Americans using that blog to exchange ideas, and mostly to insult and degrade each other (ie Kenyans vs Nigerians; whites/indians vs blacks; somalis (cushites) vs bantus; the terrorists taunting at the morning Kenyans after a successful terror attack etc).Hivi kwa mtazamo wako nipate forum ipo vipi ?
La, mila ya wajaluo (wa Kenya) haihusishi kutahiriWanatahiriwa bhana jaluo ni kama kurya kwa TZ na wanajua kutwanga kwenye kinu hutajuta kuwafahamu
Ngeli ya genge si nyote mtatoroka? Wakija wale wabaya kama wale walikuwa Mashada, haki ya nani hii section ya Kenya News inaeza fungwa tu........forever!Waiteni wachangamshe ngeli ya genge...si unajua matani ya TZ na Kenya yanatufanya tupasuke mbavu
Mara kwa mara huwa nasoma mambo kama "Wakenya mmeshindwa kutengeneza JF yenu"... "Tuwachie sisi JF yetu"... "Imetengenezwa na Watanzania"... "Hamna forums zenu"... "Hamna kazi ya kufanya mnakuja huku"...
Mnachosema ni kwamba hamtutaki kwenye forums zenu. Eti tusije. Lakini wacha niwaambie, tutasijaaa! Tena kwa rabsha na sokomoko.
Sababu moja itakayofanya tuzidi kusija JF inaweza kupatwa kwenye video hii hapa ya Coca Cola:
Tanzania ni kama ule mdogo. Na sisi? Si unajua tu.
Hata kama tunawahangaisha, deep down in our hearts, tunawapenda pia. Nyie ni ndugu zetu wa jadi. Na yeyote atakaye jaribu kuwasumbua, mtuambie tu. Tutapambana nao.
Kenya na Tanzania haziwezi kutenganishwa. Mimi kibinafsi, ninazo asili za Kitanzania (robo ya familia yangu iko TZ). Na tumetoka mbali, sisi majirani wawili.
TLDR: Tutaendelea kuja JF, tutaendelea kuwahangaisha, lakini hata hivyo, tunawapenda sana.

Aisee lile forum mashada niliitoa nafsini mara that that. Hata post 1 sikufanya. Nilijua toka mwanzo kilikuwa mbofu..Ngeli ya genge si nyote mtatoroka? Wakija wale wabaya kama wale walikuwa Mashada, haki ya nani hii section ya Kenya News inaeza fungwa tu........forever!
Kwani anachungulia nini huyu?View attachment 388925[emoji2] [emoji2]
Ni vijembe vya upendo na unduguWakenya na WaTz tukikutana ugenini tunakuwa karibu sana kuliko hata waganda.lkn humu tunapigana vijembe