Sababu gani Wazanzibari wako kimya juu ya fujo za Tanzania bara?

mtanzania in exile

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
1,509
Reaction score
1,405
Jawabu ni kuwa Zanzibar ilishapitia haya toka mwaka 2000 na wananchi wa tanzania bara walikaa kimya kana kwamba hakuna kikubwa kinachoenelea.

Mkapa mwenyewe kwenye kitabu chake "My life, my purpose" amekiri na kujuta juu ya uamuzi wa kutuma majeshi kutoka bara kwenda zanzibar kupiga na kuuwa watu baada ya uchaguzi wa mwaka 2000.

Kadhalika katika kampeni za uchaguzi wa 2020, Humprey Polepole akiwa pamoja na Magufuli waliahidi kutumia nguvu na kila kitu kuhakikisha CCM inabaki madarakani na naam watu walipigwa, kuuliwa na wengine kuikimbia nchi kama mwaka 2000 na kama kawaida watanzania bara walikaa kimya na kudharau kinachoendelea visiwani kama mtu anavyoudharau ushuzi wa harusini.

Kwa hiyo mshishangae kuona kuwa Zanzibar watu wako kimya, yanayotokea bara yanawakumbusha maumivu waliyoyapa huko nyuma na hawako tayari kupoteza ndugu zao zaidi.

Wazanzibari kwa sasa wanasubiri waone kama tanzania bara kweli wana nia ya kuiondoa CCM na wakiweza kuiondoa basi wazanzibari watakuwa mbele kukaa mezani na kujadili muungano na katiba ya Tanzania kwa ujumla.

Poleni watanzania bara!
 
Wazanzibari ndiyo wameua Watanganyika ili Mzanzibari Mzanzibari mwenzao aendelee kuitawala Tanganyika. KMKM ni Wazanzibari tupu hakuna mtanganyika kwenye jeshi hilo.
 
Jawabu ni kuwa Zanzibar ilishapitia haya toka mwaka 2000 na wananchi wa tanzania bara walikaa kimya kana kwamba hakuna kikubwa kinachoenelea.

Mkapa mwenyewe kwenye kitabu chake "My life, my purpose" amekiri na kujuta juu ya uamuzi wa kutuma majeshi kutoka bara kwenda zanzibar kupiga na kuuwa watu baada ya uchaguzi wa mwaka 2000.

Kadhalika katika kampeni za uchaguzi wa 2020, Humprey Polepole akiwa pamoja na Magufuli waliahidi kutumia nguvu na kila kitu kuhakikisha CCM inabaki madarakani na naam watu walipigwa, kuuliwa na wengine kuikimbia nchi kama mwaka 2000 na kama kawaida watanzania bara walikaa kimya na kudharau kinachoendelea visiwani kama mtu anavyoudharau ushuzi wa harusini.

Kwa hiyo mshishangae kuona kuwa Zanzibar watu wako kimya, yanayotokea bara yanawakumbusha maumivu waliyoyapa huko nyuma na hawako tayari kupoteza ndugu zao zaidi.

Wazanzibari kwa sasa wanasubiri waone kama tanzania bara kweli wana nia ya kuiondoa CCM na wakiweza kuiondoa basi wazanzibari watakuwa mbele kukaa mezani na kujadili muungano na katiba ya Tanzania kwa ujumla.

Poleni watanzania bara!
Umezaliwa juzi tu unajua nini kwani
 
Umesahau kuweka kitu kimoja, wale washenzi wavaa kapelo waliokuwa wanamiminia watanganyika risasi nao ni wahuni kutoka Zanzibar, hilo lazima litawatokea puani.
 
Sababu gani Wazanzibari wako kimya juu ya fujo za Tanzania bara?
Wazanzibar wameshiriki kutekeleza mauaji ya Watanganyika kwa ukatili wa kutisha kupitia jeshi lao la KMKM.

Nahisi wanataka mwenzao aendelee kushika usukani ili wazidi kufaidi rasilimali za Tanganyika
 
Back
Top Bottom