Sababu gani Wazanzibari wako kimya juu ya fujo za Tanzania bara?

Niliwahi kuwatahadharisha watanganyika kwa kipindi kirefu wakawa wabishi,walicho sahau watanganyika hawakujua kwamba ccm wakiwamaliza wazanzibar watawageukia na wao watanganyika,tuvumilie hakuna jipya lililotokea tanganyika ambalo wazanzibar halijawafika,au mmesahau miaka ya 1964 watanganyika walipokuja zanzibar kufanya mauwaji ya halaiki na kuyapa jina la mapinduz mauwaji hayo?endeleeni kuuguza maumivu ya 2025 wakati wazanzibar wana maumivu tokea 1964 na hatujasahau na haitotokea tukasahau.
 
Wallah
 
Jawabu ni kuwa Zanzibar ilishapitia haya toka mwaka 2000 na wananchi wa tanzania bara walikaa kimya kana kwamba hakuna kikubwa kinachoenelea.

Mkapa mwenyewe kwenye kitabu chake "My life, my purpose" amekiri na kujuta juu ya uamuzi wa kutuma majeshi kutoka bara kwenda zanzibar kupiga na kuuwa watu baada ya uchaguzi wa mwaka 2000.

Kadhalika katika kampeni za uchaguzi wa 2020, Humprey Polepole akiwa pamoja na Magufuli waliahidi kutumia nguvu na kila kitu kuhakikisha CCM inabaki madarakani na naam watu walipigwa, kuuliwa na wengine kuikimbia nchi kama mwaka 2000 na kama kawaida watanzania bara walikaa kimya na kudharau kinachoendelea visiwani kama mtu anavyoudharau ushuzi wa harusini.

Kwa hiyo mshishangae kuona kuwa Zanzibar watu wako kimya, yanayotokea bara yanawakumbusha maumivu waliyoyapa huko nyuma na hawako tayari kupoteza ndugu zao zaidi.

Wazanzibari kwa sasa wanasubiri waone kama tanzania bara kweli wana nia ya kuiondoa CCM na wakiweza kuiondoa basi wazanzibari watakuwa mbele kukaa mezani na kujadili muungano na katiba ya Tanzania kwa ujumla.

Poleni watanzania bara!
Haziwahusu kama ambavyo zao za mwaka na Nkapa hazikutuhusu
 
Wazanzibar wameshiriki kutekeleza mauaji ya Watanganyika kwa ukatili wa kutisha kupitia jeshi lao la KMKM.

Nahisi wanataka mwenzao aendelee kushika usukani ili wazidi kufaidi rasilimali za Tanganyika
Ninyi mmefaidi mangapi kutoka Zanzibar, hebu tulieni kama mwanyolewa vile
 
Kuna mijitu inachuki za hovyo inakera kweli.

Umeshaenda kwenye mijadala ya hawa vijana ukasikiliza; hapa naongelea upande wa Zanzibar.

Wengi wanaona Tanzania ni moja, na hawampendi huyu Samia kama mimi na wewe kwa sababu zilizo wazi.

Hakuna mijitu inayokera kama yenye akili za matabaka iwe ya udini au ukabila; so backward.
 
Jawabu ni kuwa Zanzibar ilishapitia haya toka mwaka 2000 na wananchi wa tanzania bara walikaa kimya kana kwamba hakuna kikubwa kinachoenelea.

Mkapa mwenyewe kwenye kitabu chake "My life, my purpose" amekiri na kujuta juu ya uamuzi wa kutuma majeshi kutoka bara kwenda zanzibar kupiga na kuuwa watu baada ya uchaguzi wa mwaka 2000.

Kadhalika katika kampeni za uchaguzi wa 2020, Humprey Polepole akiwa pamoja na Magufuli waliahidi kutumia nguvu na kila kitu kuhakikisha CCM inabaki madarakani na naam watu walipigwa, kuuliwa na wengine kuikimbia nchi kama mwaka 2000 na kama kawaida watanzania bara walikaa kimya na kudharau kinachoendelea visiwani kama mtu anavyoudharau ushuzi wa harusini.

Kwa hiyo mshishangae kuona kuwa Zanzibar watu wako kimya, yanayotokea bara yanawakumbusha maumivu waliyoyapa huko nyuma na hawako tayari kupoteza ndugu zao zaidi.

Wazanzibari kwa sasa wanasubiri waone kama tanzania bara kweli wana nia ya kuiondoa CCM na wakiweza kuiondoa basi wazanzibari watakuwa mbele kukaa mezani na kujadili muungano na katiba ya Tanzania kwa ujumla.

Poleni watanzania bara!
It all stems to "interests" na ndio maana huwezi msikia bi.Fatma wa visiwani aka shangazi wa taifa akipiga lomoni katika huu utawala. Ila tawala iliopita alikuwa hamalizi week lazima aanzishe malalamiko akiyaelekeza kwa Ngosha mkuu na serikali kwa ujumla.

"Its all about the benjamins" kiufupi wanufaika wakubwa ni visiwani and they have the upper hands this time around. Wako allover the goverment top layers to the bottom. They are eating the finest pieces of the cake na wanatamba.

Its a pity for us mainland, the tables have turned tuvumilie tu ni kipindi kitapita and things will be okay.
 
Niliwahi kuwatahadharisha watanganyika kwa kipindi kirefu wakawa wabishi,walicho sahau watanganyika hawakujua kwamba ccm wakiwamaliza wazanzibar watawageukia na wao watanganyika,tuvumilie hakuna jipya lililotokea tanganyika ambalo wazanzibar halijawafika,au mmesahau miaka ya 1964 watanganyika walipokuja zanzibar kufanya mauwaji ya halaiki na kuyapa jina la mapinduz mauwaji hayo?endeleeni kuuguza maumivu ya 2025 wakati wazanzibar wana maumivu tokea 1964 na hatujasahau na haitotokea tukasahau.
nchi ilikuwa inakombolewa toka utawala wa kisultani, sasa bara wanakomboa nini?
 
mmesahau miaka ya 1964 watanganyika walipokuja zanzibar kufanya mauwaji ya halaiki na kuyapa jina la mapinduz mauwaji hayo?
Daah,
Kumbe mnachoita "Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar" yalitekelezwa na Watanganyika?

Huwa nafahamu kuwa kiongozi wa hayo Mapinduzi alikuwa Mganda - John Gideon Okello, ila sikujua kuwa wapiganaji walikuwa Watanganyika
 
Wazanzibari ndiyo wameua Watanganyika ili Mzanzibari Mzanzibari mwenzao aendelee kuitawala Tanganyika. KMKM ni Wazanzibari tupu hakuna mtanganyika kwenye jeshi hilo.
Jee mwaka 2001 Watanganyika walipowaua Wazanzibari ili ni ili Mtanganyika mwenzao aendelee kuitawala Zanzibar? Ikiwa jawabu ni ndio, basi maoni yako ni sahihi.
Sio kweli

i
 
Wana kula mema ya tanganyika kwa msaada wa jeshi letu na vyombo vyetu vya usalama
Na ule mwaka 2001 Watanganyika walikuwa wanakula mema ya Zanzibar kwa msaada wa jeshi letu na vyombo vya usalama?
 
Jawabu ni kuwa Zanzibar ilishapitia haya toka mwaka 2000 na wananchi wa tanzania bara walikaa kimya kana kwamba hakuna kikubwa kinachoenelea.

Mkapa mwenyewe kwenye kitabu chake "My life, my purpose" amekiri na kujuta juu ya uamuzi wa kutuma majeshi kutoka bara kwenda zanzibar kupiga na kuuwa watu baada ya uchaguzi wa mwaka 2000.

Kadhalika katika kampeni za uchaguzi wa 2020, Humprey Polepole akiwa pamoja na Magufuli waliahidi kutumia nguvu na kila kitu kuhakikisha CCM inabaki madarakani na naam watu walipigwa, kuuliwa na wengine kuikimbia nchi kama mwaka 2000 na kama kawaida watanzania bara walikaa kimya na kudharau kinachoendelea visiwani kama mtu anavyoudharau ushuzi wa harusini.

Kwa hiyo mshishangae kuona kuwa Zanzibar watu wako kimya, yanayotokea bara yanawakumbusha maumivu waliyoyapa huko nyuma na hawako tayari kupoteza ndugu zao zaidi.

Wazanzibari kwa sasa wanasubiri waone kama tanzania bara kweli wana nia ya kuiondoa CCM na wakiweza kuiondoa basi wazanzibari watakuwa mbele kukaa mezani na kujadili muungano na katiba ya Tanzania kwa ujumla.

Poleni watanzania bara!
Yes na inasemekana pia kua askar wenye lafudhi kutoka visiwani hawakujal kabsa utu ,walkua wanafyetua Risas kama unavyosema hamjali na wao pia hawakujal waliingia mpka ndan ya majumba na kuwaua mpka wajawazito na watot wachanga ,Kwa kwel mmeamua kutenda na kukaa kmya
 
Ninyi mmefaidi mangapi kutoka Zanzibar, hebu tulieni kama mwanyolewa vile
Kitu gan mfano kinatokea Zanzibar? Ardhi hauruhusiw kununua mtu wa bara,huwez kua kiongoz Zanzibar kama umetokea bara,huwez kupata ajira za zanzibar kama si mzanzibar huku wao wakifaid ajira zote zinazousu Tanzania bara ,
 
Mbona wapo wabara wanafanya kazi za utalii huku?
 
Back
Top Bottom