Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 3,051
- 2,269
inaelekea huelewli kinachoanfikwa. La Samia nimelisema kwamba angesemaje wakati akiwa hana mamlaka. La kuwashitaki hata wewe unaweza kuwashitaki. Kwanini hujafanya,!Wapinzani wote walipiga kelele kwani ujui kuwa hata CUF IPO BARA NA ZENJI ...Nilikuuliza walio waua wazanzibar ni kina nani na watumishi wa nani mbona samia ajawatuhumu kwa kuua wazanzibar wala kuwachukulia hatua ...nilini umemsikia Samia akizungumzia kuwashitaki hao wauaji ? Bali kinyume chake kapitisha sheria ya polisi kuua bila ya kushitakiwa .tumia akili achakutumia majini ya mudi boy.