Wameishiwa hoja, kutwa kueneza propaganda zilizopitwa na wakatiHaters wa Samia Sasa wanaleta ubara na uzanzibar
Waaapi wewe, njoo zanzibar nikutolee mahari we Bichwa kisogo🤣🤣🤣Wameshakuvunja tayari wewe ni wa kuingiliwa tu hadi siku unakufa
WallahNiliwahi kuwatahadharisha watanganyika kwa kipindi kirefu wakawa wabishi,walicho sahau watanganyika hawakujua kwamba ccm wakiwamaliza wazanzibar watawageukia na wao watanganyika,tuvumilie hakuna jipya lililotokea tanganyika ambalo wazanzibar halijawafika,au mmesahau miaka ya 1964 watanganyika walipokuja zanzibar kufanya mauwaji ya halaiki na kuyapa jina la mapinduz mauwaji hayo?endeleeni kuuguza maumivu ya 2025 wakati wazanzibar wana maumivu tokea 1964 na hatujasahau na haitotokea tukasahau.
Haziwahusu kama ambavyo zao za mwaka na Nkapa hazikutuhusuJawabu ni kuwa Zanzibar ilishapitia haya toka mwaka 2000 na wananchi wa tanzania bara walikaa kimya kana kwamba hakuna kikubwa kinachoenelea.
Mkapa mwenyewe kwenye kitabu chake "My life, my purpose" amekiri na kujuta juu ya uamuzi wa kutuma majeshi kutoka bara kwenda zanzibar kupiga na kuuwa watu baada ya uchaguzi wa mwaka 2000.
Kadhalika katika kampeni za uchaguzi wa 2020, Humprey Polepole akiwa pamoja na Magufuli waliahidi kutumia nguvu na kila kitu kuhakikisha CCM inabaki madarakani na naam watu walipigwa, kuuliwa na wengine kuikimbia nchi kama mwaka 2000 na kama kawaida watanzania bara walikaa kimya na kudharau kinachoendelea visiwani kama mtu anavyoudharau ushuzi wa harusini.
Kwa hiyo mshishangae kuona kuwa Zanzibar watu wako kimya, yanayotokea bara yanawakumbusha maumivu waliyoyapa huko nyuma na hawako tayari kupoteza ndugu zao zaidi.
Wazanzibari kwa sasa wanasubiri waone kama tanzania bara kweli wana nia ya kuiondoa CCM na wakiweza kuiondoa basi wazanzibari watakuwa mbele kukaa mezani na kujadili muungano na katiba ya Tanzania kwa ujumla.
Poleni watanzania bara!
Ninyi mmefaidi mangapi kutoka Zanzibar, hebu tulieni kama mwanyolewa vileWazanzibar wameshiriki kutekeleza mauaji ya Watanganyika kwa ukatili wa kutisha kupitia jeshi lao la KMKM.
Nahisi wanataka mwenzao aendelee kushika usukani ili wazidi kufaidi rasilimali za Tanganyika
Jinga hilo chogoOhooo nini tena.
It all stems to "interests" na ndio maana huwezi msikia bi.Fatma wa visiwani aka shangazi wa taifa akipiga lomoni katika huu utawala. Ila tawala iliopita alikuwa hamalizi week lazima aanzishe malalamiko akiyaelekeza kwa Ngosha mkuu na serikali kwa ujumla.Jawabu ni kuwa Zanzibar ilishapitia haya toka mwaka 2000 na wananchi wa tanzania bara walikaa kimya kana kwamba hakuna kikubwa kinachoenelea.
Mkapa mwenyewe kwenye kitabu chake "My life, my purpose" amekiri na kujuta juu ya uamuzi wa kutuma majeshi kutoka bara kwenda zanzibar kupiga na kuuwa watu baada ya uchaguzi wa mwaka 2000.
Kadhalika katika kampeni za uchaguzi wa 2020, Humprey Polepole akiwa pamoja na Magufuli waliahidi kutumia nguvu na kila kitu kuhakikisha CCM inabaki madarakani na naam watu walipigwa, kuuliwa na wengine kuikimbia nchi kama mwaka 2000 na kama kawaida watanzania bara walikaa kimya na kudharau kinachoendelea visiwani kama mtu anavyoudharau ushuzi wa harusini.
Kwa hiyo mshishangae kuona kuwa Zanzibar watu wako kimya, yanayotokea bara yanawakumbusha maumivu waliyoyapa huko nyuma na hawako tayari kupoteza ndugu zao zaidi.
Wazanzibari kwa sasa wanasubiri waone kama tanzania bara kweli wana nia ya kuiondoa CCM na wakiweza kuiondoa basi wazanzibari watakuwa mbele kukaa mezani na kujadili muungano na katiba ya Tanzania kwa ujumla.
Poleni watanzania bara!
nchi ilikuwa inakombolewa toka utawala wa kisultani, sasa bara wanakomboa nini?Niliwahi kuwatahadharisha watanganyika kwa kipindi kirefu wakawa wabishi,walicho sahau watanganyika hawakujua kwamba ccm wakiwamaliza wazanzibar watawageukia na wao watanganyika,tuvumilie hakuna jipya lililotokea tanganyika ambalo wazanzibar halijawafika,au mmesahau miaka ya 1964 watanganyika walipokuja zanzibar kufanya mauwaji ya halaiki na kuyapa jina la mapinduz mauwaji hayo?endeleeni kuuguza maumivu ya 2025 wakati wazanzibar wana maumivu tokea 1964 na hatujasahau na haitotokea tukasahau.
Daah,mmesahau miaka ya 1964 watanganyika walipokuja zanzibar kufanya mauwaji ya halaiki na kuyapa jina la mapinduz mauwaji hayo?
Jee ile mwaka 2001 Wazanzibari walipouliwa na Mkapa Watanganyika walikuwa wanufaika wa awamu ile?Hao sio wakutegemewa wao ni wanufaka wa awamu hii
Jee mwaka 2001 Watanganyika walipowaua Wazanzibari ili ni ili Mtanganyika mwenzao aendelee kuitawala Zanzibar? Ikiwa jawabu ni ndio, basi maoni yako ni sahihi.Wazanzibari ndiyo wameua Watanganyika ili Mzanzibari Mzanzibari mwenzao aendelee kuitawala Tanganyika. KMKM ni Wazanzibari tupu hakuna mtanganyika kwenye jeshi hilo.
Sio kweli
Na ule mwaka 2001 Watanganyika walikuwa wanakula mema ya Zanzibar kwa msaada wa jeshi letu na vyombo vya usalama?Wana kula mema ya tanganyika kwa msaada wa jeshi letu na vyombo vyetu vya usalama
Yes na inasemekana pia kua askar wenye lafudhi kutoka visiwani hawakujal kabsa utu ,walkua wanafyetua Risas kama unavyosema hamjali na wao pia hawakujal waliingia mpka ndan ya majumba na kuwaua mpka wajawazito na watot wachanga ,Kwa kwel mmeamua kutenda na kukaa kmyaJawabu ni kuwa Zanzibar ilishapitia haya toka mwaka 2000 na wananchi wa tanzania bara walikaa kimya kana kwamba hakuna kikubwa kinachoenelea.
Mkapa mwenyewe kwenye kitabu chake "My life, my purpose" amekiri na kujuta juu ya uamuzi wa kutuma majeshi kutoka bara kwenda zanzibar kupiga na kuuwa watu baada ya uchaguzi wa mwaka 2000.
Kadhalika katika kampeni za uchaguzi wa 2020, Humprey Polepole akiwa pamoja na Magufuli waliahidi kutumia nguvu na kila kitu kuhakikisha CCM inabaki madarakani na naam watu walipigwa, kuuliwa na wengine kuikimbia nchi kama mwaka 2000 na kama kawaida watanzania bara walikaa kimya na kudharau kinachoendelea visiwani kama mtu anavyoudharau ushuzi wa harusini.
Kwa hiyo mshishangae kuona kuwa Zanzibar watu wako kimya, yanayotokea bara yanawakumbusha maumivu waliyoyapa huko nyuma na hawako tayari kupoteza ndugu zao zaidi.
Wazanzibari kwa sasa wanasubiri waone kama tanzania bara kweli wana nia ya kuiondoa CCM na wakiweza kuiondoa basi wazanzibari watakuwa mbele kukaa mezani na kujadili muungano na katiba ya Tanzania kwa ujumla.
Poleni watanzania bara!
Kitu gan mfano kinatokea Zanzibar? Ardhi hauruhusiw kununua mtu wa bara,huwez kua kiongoz Zanzibar kama umetokea bara,huwez kupata ajira za zanzibar kama si mzanzibar huku wao wakifaid ajira zote zinazousu Tanzania bara ,Ninyi mmefaidi mangapi kutoka Zanzibar, hebu tulieni kama mwanyolewa vile
nchi ilikuwa inakombolewa toka utawala wa kisultani, sasa bara wanakomboa nini?
Mbona wapo wabara wanafanya kazi za utalii huku?Kitu gan mfano kinatokea Zanzibar? Ardhi hauruhusiw kununua mtu wa bara,huwez kua kiongoz Zanzibar kama umetokea bara,huwez kupata ajira za zanzibar kama si mzanzibar huku wao wakifaid ajira zote zinazousu Tanzania bara ,