BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Ina maana xavi,iniesta,Modric,Marcelo nk siyo mafundi
Ishu saizi ballon dor saizi wanatizama idadi ya magoli
Hata zizzou angekuwa enzi hii ballon dor angesikia kwenye bomba
Ballon dor ni kwaajili ya strikers siku hizi
Hao ulowataja kipindi hicho wasingeambulia kitu kwa Aguero,Iniesta,diego costa,de maria,xavi,dybala,higuain,lewandosky,suarez n.k wengi tu...tena wangekuwepo kipindi hiki Cha Messi nakuhakikishia wasingepata hata harufu ya ballon d'Or wangekua na kazi ya kumpongeza mwenye kipaji chake....si mwingine bali Messi mwenyewe..mtoto aliyezaliwa na kipaji..
Asante sana Messi umetuletea burudani ambayo kwa muda mrefu sana hatukuipata tangia Mzee wa kazi astaafu soka Diego Armando Maradona a.k.a El pibe de oro...
Mtoto wa miaka 5 anamjua messi,anampenda messi,anapenda jezi ya messi,anapenda kulitaja jina messi,anapenda kusema natamani niwe kama messi.... messi anapendeka bana kuliko mchezaji yeyote...
Hao uliowataja bado huwezi wafananisha na akna de Lima, Ronaldinho au Zidane na Messi au Ronaldo wangekuwepo kipindi hicho wasingeshnda kwa kupokezana na kaa ujue mpira kwa sasa ni umekufa ila tunaupenda tu ndo maana hatuachi kuangalia ila angalia world cup za miaka ya karibuni uangalie na za miaka 90 hadi the 02 utaona utofauti mkubwa sanaa ya wachezaji wa sasa na kipindi kile pia angalia ligi kuu kama Seria A na nyingine zote mpaka uingereza ni tofauti na miaka ile tena na Afcon ndo kabisa hakuna kitu kwa kweli wachezaji wa zamani na sasa ni vitu viwili tofauti wa sasa wengi ni pesa kubwa wanapokea viwango kawaida ni wachache wa sasa ambao ukiwaweka namagwiji wa zamani wanaweza pata namba mfano kati ya suarez na Ronaldo de Lima kwa kiwango yupi akae benchi? ?Mkuu unataka kuniambia suarezi,neymar, aguero , Diego Costa, lewandosk , n.k hawajui?? Wachezaji wanaofunga 20+ goals per season unawasahau mkuu....
Ngoja nikwambie kitu sio kwamba recently hakuna wachezaji wazuri la hasha... Ni bahati mbaya wametokea kipindi cha messi na neymar .... Messi msimu juzi laliga alifunga magoli zaidi ya 40 kitu ambacho hakijawahi kutokea tangu mungu kaumba huu ulimwengu ...
was george weah black or white?Kabla hatujaendelea , Is he Black or White .?
Ameshachukua mkuuBallod D or mbali, Hata mchezaji bora wa Afrika hajawahi kuchukua hiyo tuzo. Sasa utachukuaje ya dunia wakati hata ya bara lake hawajawahi mpa tuzo ?
1998Ameshachukua mkuu
Ukijibiwa iniite tafadhaliUkipata jibu na mimi mnijuze kwanini Iniesta hakuwahi kubeba ballon dor?
hahaha...ntakuita mkuuUkijibiwa iniite tafadhali
kwahiyo tatizo rangi?Kabla hatujaendelea , Is he Black or White .?
Mjadala umenoga sasaWas George Opong Weah Black or white.?
Mimi nakupinga Mkuu, mbona Xavi, Iniesta, Sneijder wamecheza nyakati sawa na hao mafahali wawili.Kaka naona unababaishwa na Ronaldo Xtian na Messi kuwa wanapokezana, ukweli ni kuwa kwa sasa hakuna mafundi wa soka Duniani, wako wachache sana na ndio kisa cha hawa wawili kupokezana,
Hebu kumbuka wakati Ronaldo de Lima, Rivaldo, Carlos, Mtume Gaucho, Decco, Figo, Zidane, Okocha, Chev nk hapo ilikuwa ni shughuli pevu kumchagua best player
Duh unyumbu umekuzidi hata huelewi mada iliyo mezani [emoji134]Kwanini CCM haiondoki madarakani?
Atleast umenipa jibu la kunishawishi.Iniesta ilikua rahisi mno kupata ballon d'Or before the KING Messi kuingia catalunya...wamemdhulumu tu kipindi chake!
1998
Kuna mfaransa rafiki angu mnazi wa soka sana. tukiongelea mpira hafichi hamung'unyi huniambia kuwa Austin Jay Jay Okocha/ Yaya Toure kama sio "uafrika" wao kama sio mmoja wao kuchukua hiyo tuzo ya mchezaji bora wa dunia basi hata katika Tatu bora wangewahi kufika.Wakuu karibuni tujadili sababu zilizomfanya fundi wa soka toka Nigeria na Africa kwa ujumla, Austin Jay JAy Okocha kushindwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia enzi zake akisakata kabumbu licha ya uwezo na kipaji maridhawa cha hali ya juu alichokuwa nacho.
Okocha ligi moja na akina Ronaldinho, Zidane , Laudrup,Pirlo ectKipindi hiko kulikuwa na wakali weengi sio kama sasa wanasemwa wawili tu Mesi Ronaldo........kipindi hiko Ronaldo de Lima,Roberto Carlos,Babangida......na wakali wengi tu hivyo asingeweza kupewa walikuwepo wakali zaidi yake enzi hizo ye alikuwa mkali ila si kwa kiwango hiko unachokisema japo kuna chenga ambazo alipiga enzi hizo hawakuweza kupiga.......mfano Ronaldo de Lima ye ilikuwa ni kupachika magoli tu na chenga au madoido kidogo sana
Okocha huwa namfananisha na kina Ronaldinho
[emoji23] Mtume GauchoKaka naona unababaishwa na Ronaldo Xtian na Messi kuwa wanapokezana, ukweli ni kuwa kwa sasa hakuna mafundi wa soka Duniani, wako wachache sana na ndio kisa cha hawa wawili kupokezana,
Hebu kumbuka wakati Ronaldo de Lima, Rivaldo, Carlos, Mtume Gaucho, Decco, Figo, Zidane, Okocha, Chev nk hapo ilikuwa ni shughuli pevu kumchagua best player