Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
hii mechi huwa naicheza akilini kwa dk zote 90+, hainitoki kamweNi Kama aThierry Henry, alikuwa Mkali kipindi cha wakali wengi sio Kama Siku hizi Messi na Ronaldo zaid ya Miaka 10
Mechi ya Mtoano World CUP 1998 Nigeria vs Denmark Jay Jay alionesha ufundi wa Karne lakin Mwishowe wakalazwa 4-1, naikumbuka sana hii Mechi Kama Jana vile
alikua mustafa hadji, Okocha alikua 2nd1998
mkuu complex masahihisho kidogo, nadhani 98 alichukua mustafa hadji Fundi mmorocco yule jezi #7 mgongoni akifuatiwa na kama ulivotaja.1998 hakuchukua, Alichukua mtu mmoja wa kuitwa Victor Ikpeba, Wa pili ndo akawa Okocha, wa tatu akawa Sunday Oliseh. Get your facts right.
Inshort Austin Jayjay Okocha hana tuzo ya mchezaji bora wa africa kwa miaka yote aliyokuwa mchezaji mpira.
Inauma sana kuona mpira haujamtendea haki kama yeye alivyoutendea haki. Kwa mchezaji kama Okocha kukosa tuzo ya mchezaji bora wa Africa inaonesha ni namna gani unaweza usivune ulichopanda.
alikua mustafa hadji, Okocha alikua 2nd
99 ni Kanu akiwa ArsenalMustapha Hadji alichukua 1999.
99 ni Kanu akiwa Arsenal
mkuu complex masahihisho kidogo, nadhani 98 alichukua mustafa hadji Fundi mmorocco yule jezi #7 mgongoni akifuatiwa na kama ulivotaja.
Victor Ikpeba jezi #20 mgongoni alichukua 97 akifuatiwa na N'Doram halafu Taribo West jezi #5
1995 alichukua world player of the year.How about GEORGE Opong wear!
Weah alikata Utatu Mtakatifu. Yaani Euro, Áfrika na Dunia1995 alichukua world player of the year.
umewauliza wao mkuuKwanini CCM haiondoki madarakani?
basi tu haikutokea ila alikua finest player. mfano AFCON ya 04 alikua mfungaji bora plus MVP na pia at the same time alikua kati ya waafrika watano katika kikosi cha FIFA100.Alikuwa na kipaj lkn alikuwa anapenda kucheza na jukwaa 'show game' na sio matokeo na ndo mana hata timu nying za ulaya hazijamuangalia.
Dah, sawa kaka
[emoji23] Mtume Gaucho
Pa1 mkuu..