Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
ili upate uchezaji bora kuna vilabu special lazima upite na hivyo vilabu uviletee mafanikio swali hao uliowataja wamepitia vilabu hivyo kama sio,hivyo vilabu walivyopitia ni mafanikio yepi ya kimataifa wamevipatia mpaka wanastaafu.Word yani kwa viungo bora wa hapa karibuni yaya toure hawezi kukosa sema uafrica wakee tu ulimponza
yaani unakuta mtu eti anamfananisha gaucho na okocha unajiuliza huyu mtu amekula maharage ya wapi?Nadhani hamfahamu..yuke ndiye nabii wa mpira..
Nani kama gaucho..mwenye chenga za maudhi..anayefanya yanayopaswa kufanywa mazoezini tena si mbele ya kocha akiwa uwanjani..nani kama gaucho..
Watasema zidane au messi lakini ni nani kama gaucho..niliweza kubumilia kukaa hadi saa saba usiku ili nimwone nabii wa soka akifanya maajabu yake..
Nani kama gaucho...
Usimsahau na David Luiz. ..Sema saivi wanaangalia zaidi magoal ndio maana mafund wa mpira huwez kuta wanachukua, ingekua kwa miaka ya nyuma mtu kama marcelo angebeba ndoo sijawah ona mtu anaecheza mpira kama marcelo kwa kipnd cha hapa karibuni na madrid kwa sasa team imejengwa kupitia marcelo bila marcelo madrid haipat matokeo au itapata kwa tabu sanaa
Aha ha ha ha ha umenifurahisha hapo ulipotamka Mtume Gaucho!Kaka naona unababaishwa na Ronaldo Xtian na Messi kuwa wanapokezana, ukweli ni kuwa kwa sasa hakuna mafundi wa soka Duniani, wako wachache sana na ndio kisa cha hawa wawili kupokezana,
Hebu kumbuka wakati Ronaldo de Lima, Rivaldo, Carlos, Mtume Gaucho, Decco, Figo, Zidane, Okocha, Chev nk hapo ilikuwa ni shughuli pevu kumchagua best player
Aha ha ha ha ha umenifurahisha hapo ulipotamka Mtume Gaucho!Kaka naona unababaishwa na Ronaldo Xtian na Messi kuwa wanapokezana, ukweli ni kuwa kwa sasa hakuna mafundi wa soka Duniani, wako wachache sana na ndio kisa cha hawa wawili kupokezana,
Hebu kumbuka wakati Ronaldo de Lima, Rivaldo, Carlos, Mtume Gaucho, Decco, Figo, Zidane, Okocha, Chev nk hapo ilikuwa ni shughuli pevu kumchagua best player
BIASHARA.Ina maana xavi,iniesta,Modric,Marcelo nk siyo mafundi
Ishu saizi ballon dor saizi wanatizama idadi ya magoli
Hata zizzou angekuwa enzi hii ballon dor angesikia kwenye bomba
Ballon dor ni kwaajili ya strikers siku hizi
Hizi chuki na wachezaji wa Brazil wala hazitakusaidia chochote,Mpe mtu haki yake mkuu...Yani wewe kichwa chako kimejaa messi tuu,Kizazi cha wachezaji wanaokuwa exagerated na makampuni makubwa yanayodhamini FIFA...Kwa mtazamo wangu Gaucho na okocha walikua sawia, style zao zimefanana kiasi flani,na ni wacheza show wazuri sana,na si utendaji kazi..atleast JJ namkubali, alionyesha uanaume wake.....
Ana chuki na wachezaji wa ki brazil,We mfuatilie comments zake nyingi utaona..Mpuuze tuumkuu unamfahamu gaucho?au huwa unahadithiwa
Kabla hatujaendelea , Is he Black or White .?
Hujawahi kwa sababu umezaliwa jizi,Na pia hujawahi kuona kwa sababu hakuna anayethubutu kufananisha kina Zidane na hawa wachezaji kina Messi na ronaldo wanaopaishwa na media na makampuni ya biashara...Ata kama nizaliwe leo
Sijawahi kuona messi akishindanishwa na hao
Maana level sio zao
Huyu ni pure mnazi wa argentina,na huwa hawapend sana wachezaji wa brazil,mfuatilie comment zake utaona...Yaan kichwa yake yote imejaa jina la Messi tu.Unaongea kwa ushabiki sana mkuu ,
Kumpinga ronaldinho kama one of the top 21 century nadhani hata kichaa atakucheka.
Perfect...Mkuu usibishane na watoto wadogo hao...Michezaji ya sku izi mingine inabebwa na influence ya makampuni ya biashara tuu,hamna loloteeSasa mbona anashindana na ronaldo Christian ambaye ni wa kawaida kabisa ,Mbona ni wa kawaida hao wote wawili sema tu dunia imeishiwa,ni kama vile ambavyo tumetoka kwa wakina Muhammad Ali ,Joe freezer (the smoking Joe) ,Tyson mike mpaka kubaki na akina mayweather na David hae eti ndio mabondia bora wa sasa, au wakina Stephen cury na Kobe Bryant kama mbadala wa akina Jordan na riper.
Kwangu mm ronaldinho ni mchezaji wa kipekee kwa kizazi hiki haijalishi ballon d'or na FIFA award ngapi kachukua, he was and he is a century man kwa football.
UbaguziWakuu karibuni tujadili sababu zilizomfanya fundi wa soka toka Nigeria na Africa kwa ujumla, Austin Jay JAy Okocha kushindwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia enzi zake akisakata kabumbu licha ya uwezo na kipaji maridhawa cha hali ya juu alichokuwa nacho.
Ligi kuwa ngumu haiifanyi hio ligi kuwa bora laliga itabaki kuwa bora tuLigi ya Spain nyepesi... Waje EPL alafu Messi afunge magoli 40 misimu mitatu mfululizo
Nimefika Barcelona.. Hizi timu mbili ni kama timu za serikali.... Wakati timu nyingine choka mbaya.. Kwenye listi ya clubs tajiri 20 duniani Spain inaingiza timu 3 na England nane... Karibu nusu ya timu za England ni tajiri... Na kuhusu UEFA Champions League labda sio priority ya timu za England.... Unakumbuka De mateo alichukua UEFA na akafukuzwaLigi kuwa ngumu haiifanyi hio ligi kuwa bora laliga itabaki kuwa bora tu
Bora kwa sababu ya Messi na Ronaldo? Ndo maana jamaa hapo juu wanasema vijana wa juzi.....[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Ligi kuwa ngumu haiifanyi hio ligi kuwa bora laliga itabaki kuwa bora tu
Kwa anaejua mpira ananielewa eti kwakuwa ligi inatazamwa sana eti ndo bora hapana. Spanish clubs ndo zina rule Mpira aiseee....nikimtupia Bilbao tu pale EPL atawahenyesha sanaBora kwa sababu ya Messi na Ronaldo? Ndo maana jamaa hapo juu wanasema vijana wa juzi.....[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]