Sababu gani zilifanya Jay Jay Okocha asitwae Ballon D' or enzi zake?

Sababu gani zilifanya Jay Jay Okocha asitwae Ballon D' or enzi zake?

Mkuu Zama Zimetifautiana! Sasahivi Mpira Una Watu Wawili tu → Messi na Ronaldo07....

Enzi Za Okocha Alizungukwa na Kina Figo, Zidane, Rivaldo, Ronaldo (Delima), Nedved, Shevchenko, Henry (Alikuja Baadae)..... Hawa Wote Timu Zao Zilikuwa na Na Mafanikio tofauti na Yeye Alipokhwa PSG ya Wakati huo au Bolton....
Kwa Mafundi Hao Ni Vigumu Kuwa Mchezaji Bora Hata Wa Ligi achilia mbali wa FIFA au BDO...
 
Word yani kwa viungo bora wa hapa karibuni yaya toure hawezi kukosa sema uafrica wakee tu ulimponza
ili upate uchezaji bora kuna vilabu special lazima upite na hivyo vilabu uviletee mafanikio swali hao uliowataja wamepitia vilabu hivyo kama sio,hivyo vilabu walivyopitia ni mafanikio yepi ya kimataifa wamevipatia mpaka wanastaafu.
wakati unajikunakuna niongezee swali unadhani kwanini mchezaji bora wa dunia mara nyingi kama sio mara zote huwa ni mchezaji anayecheza ligi ya ulaya?
 
Nadhani hamfahamu..yuke ndiye nabii wa mpira..
Nani kama gaucho..mwenye chenga za maudhi..anayefanya yanayopaswa kufanywa mazoezini tena si mbele ya kocha akiwa uwanjani..nani kama gaucho..
Watasema zidane au messi lakini ni nani kama gaucho..niliweza kubumilia kukaa hadi saa saba usiku ili nimwone nabii wa soka akifanya maajabu yake..
Nani kama gaucho...
yaani unakuta mtu eti anamfananisha gaucho na okocha unajiuliza huyu mtu amekula maharage ya wapi?
 
Sema saivi wanaangalia zaidi magoal ndio maana mafund wa mpira huwez kuta wanachukua, ingekua kwa miaka ya nyuma mtu kama marcelo angebeba ndoo sijawah ona mtu anaecheza mpira kama marcelo kwa kipnd cha hapa karibuni na madrid kwa sasa team imejengwa kupitia marcelo bila marcelo madrid haipat matokeo au itapata kwa tabu sanaa
Usimsahau na David Luiz. ..
 
Ngoja nizame you tube chap nkamcheki uyo Okocha ..wengine tunamsikiaga tuu
 
Kaka naona unababaishwa na Ronaldo Xtian na Messi kuwa wanapokezana, ukweli ni kuwa kwa sasa hakuna mafundi wa soka Duniani, wako wachache sana na ndio kisa cha hawa wawili kupokezana,
Hebu kumbuka wakati Ronaldo de Lima, Rivaldo, Carlos, Mtume Gaucho, Decco, Figo, Zidane, Okocha, Chev nk hapo ilikuwa ni shughuli pevu kumchagua best player
Aha ha ha ha ha umenifurahisha hapo ulipotamka Mtume Gaucho!

Achana na huyu Mnyama!
 
Kaka naona unababaishwa na Ronaldo Xtian na Messi kuwa wanapokezana, ukweli ni kuwa kwa sasa hakuna mafundi wa soka Duniani, wako wachache sana na ndio kisa cha hawa wawili kupokezana,
Hebu kumbuka wakati Ronaldo de Lima, Rivaldo, Carlos, Mtume Gaucho, Decco, Figo, Zidane, Okocha, Chev nk hapo ilikuwa ni shughuli pevu kumchagua best player
Aha ha ha ha ha umenifurahisha hapo ulipotamka Mtume Gaucho!

Achana na huyu Mnyama, sijui lini atakuja mwengine kama huyu ambae kila wakati unatamani mpira ufike mguuni pake.

Ama kweli kizuri hakidumu.
 
Ina maana xavi,iniesta,Modric,Marcelo nk siyo mafundi

Ishu saizi ballon dor saizi wanatizama idadi ya magoli

Hata zizzou angekuwa enzi hii ballon dor angesikia kwenye bomba

Ballon dor ni kwaajili ya strikers siku hizi
BIASHARA.
 
Kwa mtazamo wangu Gaucho na okocha walikua sawia, style zao zimefanana kiasi flani,na ni wacheza show wazuri sana,na si utendaji kazi..atleast JJ namkubali, alionyesha uanaume wake.....
Hizi chuki na wachezaji wa Brazil wala hazitakusaidia chochote,Mpe mtu haki yake mkuu...Yani wewe kichwa chako kimejaa messi tuu,Kizazi cha wachezaji wanaokuwa exagerated na makampuni makubwa yanayodhamini FIFA...
Kuna baadhi ya tuzo za dunia Messi na Ronaldo hawakustahili kabisa kupewa,it was pure business...
 
Kabla hatujaendelea , Is he Black or White .?

george weah aliwin 1996 enz hizo ubaguzi umeshika hatamu... na alikuwa ligi ya utaly full ubaguzi na kurushiana ndizi... kama unajua ni unajua tu..

okocha alikuwa mpiga chenga mzuri na show game kali ila hakuwa winner.. hakua mchezaji wa kuibeba timu itwae mataji...

atapiga chenga nyingi ila mnafungwa 4-0 ... sasa huo msaada gani wa kumpa balloon dor
 
Ata kama nizaliwe leo
Sijawahi kuona messi akishindanishwa na hao
Maana level sio zao
Hujawahi kwa sababu umezaliwa jizi,Na pia hujawahi kuona kwa sababu hakuna anayethubutu kufananisha kina Zidane na hawa wachezaji kina Messi na ronaldo wanaopaishwa na media na makampuni ya biashara...
 
Unaongea kwa ushabiki sana mkuu ,
Kumpinga ronaldinho kama one of the top 21 century nadhani hata kichaa atakucheka.
Huyu ni pure mnazi wa argentina,na huwa hawapend sana wachezaji wa brazil,mfuatilie comment zake utaona...Yaan kichwa yake yote imejaa jina la Messi tu.
 
Sasa mbona anashindana na ronaldo Christian ambaye ni wa kawaida kabisa ,Mbona ni wa kawaida hao wote wawili sema tu dunia imeishiwa,ni kama vile ambavyo tumetoka kwa wakina Muhammad Ali ,Joe freezer (the smoking Joe) ,Tyson mike mpaka kubaki na akina mayweather na David hae eti ndio mabondia bora wa sasa, au wakina Stephen cury na Kobe Bryant kama mbadala wa akina Jordan na riper.
Kwangu mm ronaldinho ni mchezaji wa kipekee kwa kizazi hiki haijalishi ballon d'or na FIFA award ngapi kachukua, he was and he is a century man kwa football.
Perfect...Mkuu usibishane na watoto wadogo hao...Michezaji ya sku izi mingine inabebwa na influence ya makampuni ya biashara tuu,hamna lolotee
 
Wakuu karibuni tujadili sababu zilizomfanya fundi wa soka toka Nigeria na Africa kwa ujumla, Austin Jay JAy Okocha kushindwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia enzi zake akisakata kabumbu licha ya uwezo na kipaji maridhawa cha hali ya juu alichokuwa nacho.
Ubaguzi
 
Ligi ya Spain nyepesi... Waje EPL alafu Messi afunge magoli 40 misimu mitatu mfululizo
 
Ligi kuwa ngumu haiifanyi hio ligi kuwa bora laliga itabaki kuwa bora tu
Nimefika Barcelona.. Hizi timu mbili ni kama timu za serikali.... Wakati timu nyingine choka mbaya.. Kwenye listi ya clubs tajiri 20 duniani Spain inaingiza timu 3 na England nane... Karibu nusu ya timu za England ni tajiri... Na kuhusu UEFA Champions League labda sio priority ya timu za England.... Unakumbuka De mateo alichukua UEFA na akafukuzwa
 
Ligi kuwa ngumu haiifanyi hio ligi kuwa bora laliga itabaki kuwa bora tu
Bora kwa sababu ya Messi na Ronaldo? Ndo maana jamaa hapo juu wanasema vijana wa juzi.....[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Bora kwa sababu ya Messi na Ronaldo? Ndo maana jamaa hapo juu wanasema vijana wa juzi.....[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kwa anaejua mpira ananielewa eti kwakuwa ligi inatazamwa sana eti ndo bora hapana. Spanish clubs ndo zina rule Mpira aiseee....nikimtupia Bilbao tu pale EPL atawahenyesha sana
 
Back
Top Bottom