Sababu gani zilifanya Jay Jay Okocha asitwae Ballon D' or enzi zake?

Kwa anaejua mpira ananielewa eti kwakuwa ligi inatazamwa sana eti ndo bora hapana. Spanish clubs ndo zina rule Mpira aiseee....nikimtupia Bilbao tu pale EPL atawahenyesha sana
Hakuna aliyesema kutazamwa sana ndio kuwa bora...........hebu mtoe Messi Barca mlete EPL,harafu angalia ligi muda wote ni timu mbili zinabalishana kwenye Ubingwa harafu angalia mpaka ligi inakaribia kuisha hakuna anaejua nani bingwa je Spain? Pia wachezaji bora wa ligi kupokezana watu wawili tu misimu mingi isiyopungua 6 unaona ni ubora?..........Spanish Laliga ni bora lakini haiwezi ifikia EPL bana
Hebu muone hata huyo Kocha aliitwa bora Gadiola lakini kwa EPL ameshakuwa nyanya tu!
 
Hujui mpira ...(usiniquote)
 
Eti mtume Gaucho, umenifurahisha sana.
 
Naona povu tayari! Pole sana![emoji3] [emoji3]
Mkuu zile timu mbili zimejipanga vilivyo hususani kwa miaka kumi ya misho!!! Pamoja nakuidharau hiyo ligi lkn ukichukua bingwa wa england akacheze na Sevila au Athletic Bilbao atapigwa tu
 
Ni kwasababu alikuwa tumbili(mweusi) ......kuna vingi vyakujiuliza nilishangaa sana wakati ule kumtoa Samwel Etoo....barcelona kisa you brahimovic.....
 
Nadhani labda pia ungedadavua tujue ni mangapi Okocha amefanya kuzisaidia timu alizowahi kuzichezea.

Usikute tunashabikia tu uwezo binafsi wa mchezaji ili hali soka ni mchezo wa timu, kuwa na uwezo ni jambo moja na kuisaidia timu ni jambo lingine.

Sina details nyingi sana kuhusiana na soccer ila nadhani Okocha kama wachezaji wengine wengi wenye asili ya Africa ambao wamekuwa wanacheza kwa kipindi kifupi tu na kuporomoka kulinganisha na Wenzetu.

Ukiangalia kama Mesi au Ronaldo miaka inaenda na bado wana mchango mkubwa kwa timu zao, wanafunga magoli mengi ambacho ndio maana halisi ya soka, sio kupiga kanzu na tobo uwanja ushangilie alafu basi, au la ufanye hayo yote na ufunge magoli ya kutosha kama tunavyoona kwa Mesi na Ronaldo.

Ukicheza muda mrefu kwa kiwango kizuri unakuwa pia na rekodi ndefu ukilinganisha na anayecheza kwa muda mfupi.
 
UEFA champion league sio priority kwa time za England? Are you on crack??
 
Hata Carlo Ancelott alifukuzwa muda mfupi baada ya kuchukua UCL na Madrid
 
Uko sawa mkuu Okocha alikuwa wa kawaida japo alikuwa mzuri sana katika vyenga na kupaka rangi kitu ambacho kilikuwa hakisaidii timu zake kupata matokeo mazuri hata ubingwa.......japo aliibukia kwenye enzi za wakali wengi tofauti na sasa!!
 
Asante kwa ufafanuzi
 
Duhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…