Hakuna aliyesema kutazamwa sana ndio kuwa bora...........hebu mtoe Messi Barca mlete EPL,harafu angalia ligi muda wote ni timu mbili zinabalishana kwenye Ubingwa harafu angalia mpaka ligi inakaribia kuisha hakuna anaejua nani bingwa je Spain? Pia wachezaji bora wa ligi kupokezana watu wawili tu misimu mingi isiyopungua 6 unaona ni ubora?..........Spanish Laliga ni bora lakini haiwezi ifikia EPL banaKwa anaejua mpira ananielewa eti kwakuwa ligi inatazamwa sana eti ndo bora hapana. Spanish clubs ndo zina rule Mpira aiseee....nikimtupia Bilbao tu pale EPL atawahenyesha sana
Hebu muone hata huyo Kocha aliitwa bora Gadiola lakini kwa EPL ameshakuwa nyanya tu!