Sababu gani zinakufanya uchelewe kulala? na nini kinakusaidia kupata usingizi?

Soma Biblia tu au Kuran lazima ulale
 
Swala la kulala na kuamka,iwe kwakuanza kulala mapema aidha kwa kuchelewa.
Hili niswala ambalo lipo ndani ya desturi ya mtu.
Ni mtizamo wangu
 
Mtaalamu wa melatonin mbona mimi nalala taa imewaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…