Sababu ipi ilikufanya kujiunga JamiiForums? Mimi ni kikao cha Mwitongo, nikiwa na Makongoro na Mkapa December 2014!

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Tarehe 11/12/2014

Pale Mwitongo walikuwapo watu kwa kikao cha Siri hasa Mzee Mkapa ndo alishnikiza kikao kufanyika, nakumbuka tulikuwa watu saba!

Kulikuwa na Threat ndani ya CCM yaan Lowassa, na sasa Wakaanza kujadili how to bow him down !

Mkapa alisema CCM imekuwa kwenye mikono ya walanguzi kwa miaka 10 sasa ! Lazima turudie kuheshimika lazima tuzuie ujinga unaoendelea watu wameshaweka chama mfukoni

Wakasema sasa Mwenyekiti wake Jakaya ndo wa kulitatua Hilo, jibu lilitoka kwa mzee mmoja anaheshimika sana kwamba mfumo ushamuelemea Jakaya na aliulea hivo inatakiwa intervention ya nguvu ! La sivyo CHADEMA ile ya Slaa inabeba nchi!

Nilijifunza mambo mengi Ila Muhimu matano
1. CCM bila Pesa na Ulaghai hutoboi
2. Ukiwa msafi sana unaweza usidumu ikulu
3. Kumbe kuna wazee si wa kushare nao Siri wanakuuza asubuhi na mapema
4. Mkapa aliogopa sana CCM kutoka Madarakani, yaan ilikuwa kama Familia kwake
5. Uchaguzi Tanzania uwa si HURU wala haki ila Wachache wanaojifungia CHAMWINO ndo wanaamua Nani awe Rais

Sera nzito ilikuwa

CHAMA KITOKE KWA WAFANYABIASHARA KIWE KWA WANACHAMA NA WANANCHI
Hapa sasa wakaanza kupendekeza watu ambao wanaweza pitishwa
Wapo hapa kwenye Uzi niliuandika kiutani kumbe nafikisha Ujumbe

Nakumbuka nilijiunga Rasmi Hapa May 21 2015 kwa kazi maalumu,

Sasa yanayoendelea nchini nasubiria CCM kuanguka na hakuna mtu kariba ya Mkapa tena

Kwa sasa Yale yalofanywa na Lowassa naona anayafanya hata Mwigulu, bahati nzuri wote waneshika kiti cha Uwaziri mkuu

Naona kaanza kuhonga watu wamsafishe kwamba ndo mwenyewe 2030 wameanza mapema sana ! Mabilion yanatambaa huko

Britanicca
 
Mimi nilijiunga na maparody mengine kwaajili yakufanya survey humu JF. Hivo account yoyote ya 2015 na 2016 ukiiona humu ndani ujue ilikuwa ya kimkakati. Saivi hatuna kazi tunashindia mihogo na mapera.
Mi nilikuja rasmi kumsagia kunguni Lowassa na kumpitisha Kato cc Pascal Mayalla ambaye baadae alitutesa

Britanicca
 
Nilitambulishwa Jamiiforuma na staffmate mwenzangu ambae alikuwa muhaya na lawyer kama Maxene Melo,nafikiri hawa walikuwa wanajuana maana toka mwaka 2002 na ndio niliemtumia taarifa zangu akaunti ikafunguliwa.Toka wakati huo sijawahi kujuta kuwafahamu.
 
Acheni kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu.Najua mti wenye matunda ndio hupigwa Mawe. Hizo hila zenu hazitafanikiwa hata kidogo. Wapo aina yako waliojaribu kumchafua sana tangia akiwa waziri wa fedha lakini waliishia kuvuna Aibu tu Maana Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba anaaminika , kukubalika na kuungwa mkono na Mamilioni ya watanzania ambao wote wanatambua uadilifu, uzalendo na uchapakazi alionao Mheshimiwa Daktari Mwigulu Nchemba
 
Acheni kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu.Najua mti wenye matunda ndio hupigwa Mawe. Hizo hila zenu hazitafanikiwa hata kidogo. Wapo aina yako waliojaribu kumchafua sana tangia akiwa waziri wa fedha lakini waliishia kuvuna Aibu tu Maana Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba anaaminika , kukubalika na kuungwa mkono na Mamilioni ya watanzania ambao wote wanatambua uadilifu, uzalendo na uchapakazi alionao Mheshimiwa Daktari Mwigulu NchembaAcha ujinga
 
Tarehe 11/12/2014

Pale Mwitongo walikuwapo watu kwa kikao cha Siri hasa Mzee Mkapa ndo alishnikiza kikao kufanyika, nakumbuka tulikuwa watu saba!

Kulikuwa na Threat ndani ya CCM yaan Lowassa, na sasa Wakaanza kujadili how to bow him down !

Mkapa alisema CCM imekuwa kwenye mikono ya walanguzi kwa miaka 10 sasa ! Lazima turudie kuheshimika lazima tuzuie ujinga unaoendelea watu wameshaweka chama mfukoni

Wakasema sasa Mwenyekiti wake Jakaya ndo wa kulitatua Hilo, jibu lilitoka kwa mzee mmoja anaheshimika sana kwamba mfumo ushamuelemea Jakaya na aliulea hivo inatakiwa intervention ya nguvu ! La sivyo CHADEMA ile ya Slaa inabeba nchi!

Nilijifunza mambo mengi Ila Muhimu matano
1. CCM bila Pesa na Ulaghai hutoboi
2. Ukiwa msafi sana unaweza usidumu ikulu
3. Kumbe kuna wazee si wa kushare nao Siri wanakuuza asubuhi na mapema
4. Mkapa aliogopa sana CCM kutoka Madarakani, yaan ilikuwa kama Familia kwake
5. Uchaguzi Tanzania uwa si HURU wala haki ila Wachache wanaojifungia CHAMWINO ndo wanaamua Nani awe Rais

Sera nzito ilikuwa

CHAMA KITOKE KWA WAFANYABIASHARA KIWE KWA WANACHAMA NA WANANCHI
Hapa sasa wakaanza kupendekeza watu ambao wanaweza pitishwa
Wapo hapa kwenye Uzi niliuandika kiutani kumbe nafikisha Ujumbe

Nakumbuka nilijiunga Rasmi Hapa May 21 2015 kwa kazi maalumu,

Sasa yanayoendelea nchini nasubiria CCM kuanguka na hakuna mtu kariba ya Mkapa tena

Kwa sasa Yale yalofanywa na Lowassa naona anayafanya hata Mwigulu, bahati nzuri wote waneshika kiti cha Uwaziri mkuu

Naona kaanza kuhonga watu wamsafishe kwamba ndo mwenyewe 2030 wameanza mapema sana ! Mabilion yanatambaa huko

Britanicca
JF was a platform for Great Thinkers. Secondly, the unfettered free expression of ones thinking!
 
Tarehe 11/12/2014
Pale Mwitongo walikuwapo watu kwa kikao cha Siri hasa Mzee Mkapa ndo alishnikiza kikao kufanyika, nakumbuka tulikuwa watu saba!
Kulikuwa na Threat ndani ya CCM yaan Lowassa, na sasa Wakaanza kujadili how to bow him down !

Britanicca
Mkuu Burita, kama kikao cha Mwitongo kilikuwa tarehe 11/12/2014 ili kujadili threat ya EL, then utakuwa out of place, angalia tarehe ya bandiko hili GE2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Je ndio kikao hicho mkadanganya Mako?.
P
 
Hapana Mako na katto wote walikuwa kwenye rada soma hapa kwa kina rudia rudia rudia nasema

Britanicca
 
Back
Top Bottom