Sababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?

Vijana wa sasa full vigezo , wadada wa mjini wanajiwekea vigezo kwa vijana wa kuwaoa mwisho wa ski wanaishia kuwa single mother, vijana nao full kubagua huku wa kujifariji na msemo hewa wa tafta hela , kuna umri ukifika inabd uolewe tuu na yyte mwenye nia na wewe kwa wadada 25-29 yrs inabd uwe umeolewa , kwa vijana wa kiume ukiwa kati ya 30-35 , oa by any means
 
Yeap ujana una muda wake
 
Kumbe mm bado saaaaaaaana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…