Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nisome comments ili nitengeneze sifa za wanawake wa ndoto za watu hapa, nitapata kitu cha kunisaidia mbeleni nmeona 🤓
miaka ya mbeleni huko ilk hatakama nikiachika niwe na fit kwenye ndoa nyingineUnaongelea mbele ipi ?
Gambe muhimuDear gambe[emoji849]
Yeap ujana una muda wakeVijana wa sasa full vigezo , wadada wa mjini wanajiwekea vigezo kwa vijana wa kuwaoa mwisho wa ski wanaishia kuwa single mother, vijana nao full kubagua huku wa kujifariji na msemo hewa wa tafta hela , kuna umri ukifika inabd uolewe tuu na yyte mwenye nia na wewe kwa wadada 25-29 yrs inabd uwe umeolewa , kwa vijana wa kiume ukiwa kati ya 30-35 , oa by any means
Duh, unajiandaa kuachika Mchumba ?.miaka ya mbeleni huko ilk hatakama nikiachika niwe na fit kwenye ndoa nyingine
Huzuni 😣Nina miaka 30
napatikana mwanza
sijaoa kwa sababu mahari sina, pia sijapata kazi.
niliwahi kuishi na binti wa watu kwa mkopo wakwe zangu wakanisumbua sana mpaka tukaachana😓😓😓
View attachment 2587862
mnaelewekaga basi ðŸ¤ðŸ™ŒDuh, unajiandaa kuachika Mchumba ?.
Baba huna!?Nina miaka 30
napatikana mwanza
sijaoa kwa sababu mahari sina, pia sijapata kazi.
niliwahi kuishi na binti wa watu kwa mkopo wakwe zangu wakanisumbua sana mpaka tukaachana[emoji29][emoji29][emoji29]
View attachment 2587862
The same to menKi ukweli mabinti wa kisasa ni changamoto sana.. Wengi wao sio wife materials mbaya zaidi wana tabia ambazo ni too risk akiingia nazo ndoani hata hazirekebishiki kirahisi!
Kumbe mm bado saaaaaaaana...Vijana wa sasa full vigezo , wadada wa mjini wanajiwekea vigezo kwa vijana wa kuwaoa mwisho wa ski wanaishia kuwa single mother, vijana nao full kubagua huku wa kujifariji na msemo hewa wa tafta hela , kuna umri ukifika inabd uolewe tuu na yyte mwenye nia na wewe kwa wadada 25-29 yrs inabd uwe umeolewa , kwa vijana wa kiume ukiwa kati ya 30-35 , oa by any means
Nyinyi hamtuelewi hasa mkienda kwenye vikao vyenu ndo mambo yanaharibika kabisa.mnaelewekaga basi ðŸ¤ðŸ™Œ
sawa, basi ngoja niendelee kujifunza vitu apa ili likitokea la kutokea nijue naingilia wapi😅Nyinyi hamtuelewi hasa mkienda kwenye vikao vyenu ndo mambo yanaharibika kabisa.
Ukijumuisha na messenger mlio nao tutaachaje kuachana.
Nipo mdaka machozi na msaidizi wangu National Anthem atakuja ki Tisi Tisi nikishindwa mimisawa, basi ngoja niendelee kujifunza vitu apa ili likitokea la kutokea nijue naingilia wapi😅
Anafanya utafiti huyu,..Kwani unatafuta mume?