Sababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?

Sijaoa kwasababu mwanamke wa kuendana na mimi katika kizazi hiki cha kidijitali hayupo.

Naishia kukutana na wanawake wanaojichatisha ovyo na maex. Nikikomaa sana nawapata wale paka mapepe wanaogawa namba ovyo kila kona. Kwa kifupi sioi ng'o!
Mie ni mwanaume wakuendana namimi ndio hayupo nani wapatao basi tu
 
Duhh niko 30 na bado sijajipata..... Nikijapata kitu cha kwanza nikuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…