Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Kwanini uchague kisicho sahihi? Tumieni akili.Usipopata chaguo sahihi ndoa ni matesa zaidi ya mateso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini uchague kisicho sahihi? Tumieni akili.Usipopata chaguo sahihi ndoa ni matesa zaidi ya mateso
Binafsi nikipata mtu sahihi mwanamke mwenye nia ya kuwa na familia yenye mafanikio, Furaha amani na upendo hata kesho naoa but not single mother although I have one kid with 8yrs
Ndio ujilaumu kwa kutokuwa na akili. Ni rahisi sana kutofautisha fake from real. Priority zenu ndio zinawaponza.Wakati wa uchumba mtu anakua na tabia nzur akisha olewa anatoa makucha ndo utajua au hujui🤔
We don't wait for right moment, right moment Will never came, just we create itMimi hata sielewi sababu, ila naamini wakati sahihi ukifika basi itakua tu🙏
Kwa nini usioe huyo uliyemzalishaBinafsi nikipata mtu sahihi mwanamke mwenye nia ya kuwa na familia yenye mafanikio, Furaha amani na upendo hata kesho naoa but not single mother although I have one kid with 8yrs
Ukiwa na akili sio kamari.Kuoa ni kama kamali kupata au kukosa
How do i create it? Am here to learn..We don't wait for right moment, right moment Will never came, just we create it
Ndalama ndalama tuuSababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?
Wee nae acha kusumbua watu wee sio muolewaji bwana. Ulishakubali kuolewa na cpa yako🤣🤣🤣🤣How do i create it? Am here to learn..
Kwahiyo singlemoms hututaki?Binafsi nikipata mtu sahihi mwanamke mwenye nia ya kuwa na familia yenye mafanikio, Furaha amani na upendo hata kesho naoa but not single mother although I have one kid with 8yrs
Wee soko lako lipo kwa mzabzab tuu ndugu yangu. Unajichelewesha tuu kupata hao mapachaKwahiyo singlemoms hututaki?
🤣🤣🤣Niache bhanaWee soko lako lipo kwa mzabzab tuu ndugu yangu. Unajichelewesha tuu kupata hao mapacha
Mie ni mwanaume wakuendana namimi ndio hayupo nani wapatao basi tuSijaoa kwasababu mwanamke wa kuendana na mimi katika kizazi hiki cha kidijitali hayupo.
Naishia kukutana na wanawake wanaojichatisha ovyo na maex. Nikikomaa sana nawapata wale paka mapepe wanaogawa namba ovyo kila kona. Kwa kifupi sioi ng'o!
Duhh niko 30 na bado sijajipata..... Nikijapata kitu cha kwanza nikuoaVijana wa sasa full vigezo , wadada wa mjini wanajiwekea vigezo kwa vijana wa kuwaoa mwisho wa ski wanaishia kuwa single mother, vijana nao full kubagua huku wa kujifariji na msemo hewa wa tafta hela , kuna umri ukifika inabd uolewe tuu na yyte mwenye nia na wewe kwa wadada 25-29 yrs inabd uwe umeolewa , kwa vijana wa kiume ukiwa kati ya 30-35 , oa by any means
Hii ni karne ya 21, mwaswala ya kuzungushana yamepitwa na wakti. Wewe nenda tu, mwenzako anasumbuliwa na upwekeSoon soon anakuja eti jibu hili swali mtu mumependana, mkapeana namba siku hiyo hiyo anakualika home jamani eti niendee siaibu??