Sababu kubwa 2 kwanini Miziki wa Tanzania kwa sasa ni Fake, Mgumu na Mbovu

Sababu kubwa 2 kwanini Miziki wa Tanzania kwa sasa ni Fake, Mgumu na Mbovu

Tho you ain't his fan, but at least unamkuabali.

Sio yeye tu hata genge lake zima la wasafi bila kumsahau konde boy angalau wamepiga hatua.

Zamani walitoa kazi nzuri sana lakini ndo hivyo.
Ukisema wamepiga hatua unamaanisha nini ?
 
Watu wengi sina hakika kama wanaliona hili ila Muziki wa Bongo fleva kwa kifupi umeingiliwa, umechakachuliwa na too bad ni kama unakufa.

Nadhani wanaopenda muziki kama mimi wanapata tabu tu na hawana la kufanya.

Na katika hili Clouds media ( Hususani marehemu Ruge ) hawezi kuepuka lawama.

Sababu:

1. Kwanza Tasnia ya mapromota Tanzania imekufa. Hakuna kabisa independent music promoters.
- Yaani hapa media ( au media related promoters ) ndio promoters kwenye muziki na wanamiliki wasanii.

2. Media ( hususani ambazo zimechagua niche ya burudani ) zimegeuka Record labels, waandaaji wa matamasha na promoters.

UFAFANUZI.

Ukuchagua kuwa mwanamuziki ( hata ukiwa na kipaji kama Michael Jackson ) kwanza bila kuwa katika upande mmoja muziki wako hauwezi kwenda.

- Hapa kuna pande kubwa 4.

1. Clouds media ( Waandaaji wa Fiesta )
2. Wasafi Media ( Waandaaji wa Wasafi festival )

Note: Waandaaji wa Tamasha la Fiesta na Wasafi festival ni kanpuni moja Prime time promotions ya Juhayna Kusaga.

3. Efm ( Waandaaji wa Muziki Mnene - hawa tamasha lao ni bure ).

4. Lastly, ni East Africa TV ( hawa hawana tamasha, ila hutoa tu suppory ).

So, bila kuwa associated na media mojawapo hapo juu maana yake hutapata Show wala promo kupitia media yao mwaka mzima🤣🤣🤣 ( Maana wanatoa promo kwa wasanii ambao finally watawtumia kwenye matamasha yao kwa ujira mdogo. )
Hapa hata wakikwambia ufanye tamasha bure, utafanya kama malipo ya promo na support uliyopewa.

- Pia, ukijinasibisha na media mojawapo tafsiri ni kwamba, hupati support kutoka media nyingine.

Na Kwasababu ya promo kubwa inayofanywa, tayari mashabiki wako brainwashed, wapo wapo tu kama waumini wa Gwajima.

Na hapa ndipo Muziki wa Tanzania ulipofikia, huhitaji kuwa na kipaji kuimba, unahitaji kuwa kwenye kundi mojawapo hapo juu.

Kwahiyo kwa wale wanaooenda muziki mzuri ( siyo wa kulishwa kwa lazima wajue hili )

Je, Tunaelekea wapi ?
Mkaruka una hoja nzuri hasa hizi media kugeuka kuwa mamanager, waandaaji matamasha na kumiliki wasanii kwa kiasi fulani inafanya baadhi ya wasanii wenye vijani kukosa sapoti kama ikiwa awapo kwenye system za hizi media pamoja na hoja yako kuwa nzuri lakini unatatizo la kuweka ubongo kwa baadhi ya part ya hoja yako kwa ajili ya interest zako na hii inakufanya Uzi wako mzima kuonekana batili wachangiaji kujikita kwenye Hiyo part ya uongo kuliko content nzima ya uzi wak😵nyesha huo ushahidi wa Tamasha la wasafi na fiesta Ni la kusaga hivi kwanini huyo kusaga mna mpa mzigo si wake kwa kila jambo
 
Labda maisha ya Instagram.

Hata sababu za Vanessa Mdee kuacha kazi inaonekana hukuzielewa.

Imagine kama Vanessa muziki haukumlipa, hao wengine vipi ?
So unataka kutuambia wasanii Kama diamond,Lady Jay Dee hawana Mafanikio?
 
Mtu mpaka ana miliki hotel hiyo si hatua?
Kwani kuna mtu anaebisha kwamba Diamond hajafanikiwa ?

Hapa nazungumzia tasnia nzima ya muziki inavyoendeshwa.

Ndio maana wasanii kama kina Marioo, Whozu wametoka katika kipindi kigumu sana.

Sasa huwezi kutegemea Muziki ukue katika mazingira yenye monopoly kama hiyo.
 
Kwanini unadhani sijasoma mkuu? Kwasababu sijachangia kwa matarajio yako?

Hoja yangu inabaki pale pale...mtoa mada aingie studio aokoe muziki unaokufa.

Ila kama anaweza kuandikaandika tu aendelee.

Hii mentality sidhani kama ni nzuri kuwa mtu akikosoa kitu bhasi akafanye YEYE vizuri anavyoona..

mwisho wa siku msanii anategemea watu kibao hadi aonekane na wote hao watauongelea muziki wake katika angle tofauti mfano promoters, producers, Video directors, fashionistas and stylists, media presenters, waalimu wa muziki , Video vixens, song writers, mashabiki etc

kitu boracni kuongela issue pasipo kuweka personal attacks
 
Hii mentality sidhani kama ni nzuri kuwa mtu akikosoa kitu bhasi akafanye YEYE vizuri anavyoona..

mwisho wa siku msanii anategemea watu kibao hadi aonekane na wote hao watauongelea muziki wake katika angle tofauti mfano promoters, producers, Video directors, fashionistas and stylists, media presenters, waalimu wa muziki , Video vixens, song writers, mashabiki etc

kitu boracni kuongela issue pasipo kuweka personal attacks
Ndio maana mimi watu kama hao huwa nawatukana tu.
 
Labda maisha ya Instagram.

Hata sababu za Vanessa Mdee kuacha kazi inaonekana hukuzielewa.

Imagine kama Vanessa muziki haukumlipa, hao wengine vipi ?
Mkuu si wote wamefanikiwa, lakini mtu kama Diamond huwezi sema hajafanikiwa.

Hata kama waliofanikiwa ni wachache lakini huwezi fananisha na zamani.

Mtu kama Juma nature angekuwepo enzi hizi nadhani angekuwa zaidi ya diamond.
 
Back
Top Bottom