mbona hujibu swali yangu...Kuwa pekeake sio sababu pekee, nimeongelea masimango km unabisha fanya jaribio.
Mtukane mpenzi wako na uhakikishe umemkwaza alaf muombe ajibu utapata, ata akikupa ndugu imepoa sn hata umtomase vipi
ati ni nini! chungu ni aje? vyenye umeeleza yaonyesha umetoa ile kitu yakutesa kwa huyo bwana uko nae. so wacha tukusaidie pamoja ya kwamba hutaki sema kama uko kwa ndoa ama lah.Kuwa pekeake sio sababu pekee, nimeongelea masimango km unabisha fanya jaribio.
Mtukane mpenzi wako na uhakikishe umemkwaza alaf muombe ajibu utapata, ata akikupa ndugu imepoa sn hata umtomase
Chungu lakn meza hivyo hivyo, comment yako sio lazima kikubwa ujumbe umepata.
nasikitika, sikuwahi kufungua MMM, huko ni kwa wahuni kama weweKila mtu na kipaumbele chake, wewe kajenge nchi Judith atakuja kupata Rangi.
Umefuata nini jukwaa la MMU?
Punguza bangi haikufai, kwani hili jukwaa gani? Siyo MMU?nasikitika, sikuwahi kufungua MMM, huko ni kwa wahuni kama wewe
Judithkaunda naomba no zak kuna kitu natak kukuuliza kipenz😁Wanandoa wengi wanafanya mapenzi kama jukumu na siyo starehe ya kufurahishana. Na wanaume wengi wamekuwa wabinafsi kwasababu wanafikiria tu mihemko yao bila kujali unayemtumia anahali gani.
Mwanamke ni mtu anayefanya vitu vyake kwa hisia, kwahiyo kabla hujataka kufanya hicho unachotaka kufanya, swali umemuandaaje?
Na hapa siongelei romance, kuna hii dhana wanaume mnayo mnatoka sehemu zenu za kazi mnadai mmechoka hamtaki stori, mwanamke hata akikuongelesha vizuri unakuwa mkali, au unamuongelesha vibaya, umemdhalau, kumsimanga, unamkaripia, kosa dogo utafoka hata mbele ya watoto.
Ngoja nikusanue mwanaume kama umefanya hata mawili kati ya haya nakusibitishia huyo mwanamke hata kama alikuwa amejipanga kukufurahisha hisia huwa zinapotea na hamu inakata kabisa, ndiyo maana anakataa. Na kama akikupa basi amefanya kukuridhisha wewe au kupunguza shauku yake lakini siyo kafurahia.
Hisia za mwanamke ni dhaifu sana, unaweza kudhani anakufanyia kusudi au anaringa, kumbe mwenzio ukiumiza moyo wake umempotezea hisia kabisa. Lakini nyie wanaume hata mkeshe mnatupiana maneno bado mtahitaji kupiga shoo, haijalishi mwanamke kakukera kiasi gani.
Ushauri wangu kwenu wanaume, ukifika nyumbani kwako hata ukiona makosa yamefanyika nyamaza kwanza kama ni mengi orodhesha pembeni, na ni busara kama mambo yenu mtaongelea chumbani na siyo umfokee mbele ya familia.
Muache akufurahishe kwanza akishamaliza kukuonyesha ufundi wake unaweza kuongea vyote unavyotaka.
🤭🤭🤣Punguza bangi haikufai, kwani hili jukwaa gani? Siyo MMU?
Dinazarde mmeingiliwa huku bangi zinavutwa hadharani.
Sawasawa..Wanandoa wengi wanafanya mapenzi kama jukumu na siyo starehe ya kufurahishana. Na wanaume wengi wamekuwa wabinafsi kwasababu wanafikiria tu mihemko yao bila kujali unayemtumia anahali gani.
Mwanamke ni mtu anayefanya vitu vyake kwa hisia, kwahiyo kabla hujataka kufanya hicho unachotaka kufanya, swali umemuandaaje?
Na hapa siongelei romance, kuna hii dhana wanaume mnayo mnatoka sehemu zenu za kazi mnadai mmechoka hamtaki stori, mwanamke hata akikuongelesha vizuri unakuwa mkali, au unamuongelesha vibaya, umemdhalau, kumsimanga, unamkaripia, kosa dogo utafoka hata mbele ya watoto.
Ngoja nikusanue mwanaume kama umefanya hata mawili kati ya haya nakusibitishia huyo mwanamke hata kama alikuwa amejipanga kukufurahisha hisia huwa zinapotea na hamu inakata kabisa, ndiyo maana anakataa. Na kama akikupa basi amefanya kukuridhisha wewe au kupunguza shauku yake lakini siyo kafurahia.
Hisia za mwanamke ni dhaifu sana, unaweza kudhani anakufanyia kusudi au anaringa, kumbe mwenzio ukiumiza moyo wake umempotezea hisia kabisa. Lakini nyie wanaume hata mkeshe mnatupiana maneno bado mtahitaji kupiga shoo, haijalishi mwanamke kakukera kiasi gani.
Ushauri wangu kwenu wanaume, ukifika nyumbani kwako hata ukiona makosa yamefanyika nyamaza kwanza kama ni mengi orodhesha pembeni, na ni busara kama mambo yenu mtaongelea chumbani na siyo umfokee mbele ya familia.
Muache akufurahishe kwanza akishamaliza kukuonyesha ufundi wake unaweza kuongea vyote unavyotaka.
Helloo Kalpana
Pole kaka hujanielewa kabsa waswahili wamenielewa jitulizeati ni nini! chungu ni aje? vyenye umeeleza yaonyesha umetoa ile kitu yakutesa kwa huyo bwana uko nae. so wacha tukusaidie pamoja ya kwamba hutaki sema kama uko kwa ndoa ama lah.
ila hiyo wasema ni chungu sijaelewa ni ipi chungu mama kama ni shida we ndo umeipata so tulia tukusaidie
Niko kwenye ndoa mwaka wa Saba kaka, mm ni mwandishi sio kwamba yote nayoandika nimepitia hapanambona hujibu swali yangu...
nimeuliza uko na bwana official au bado upoupo?
au ngumu kujibu😃😎
Una mawazo finyu sanaSababu namba moja ya wanawake kukataa tendo la ndoa, ni kwamba ameolewa ili kufata mali, hajawahi mpenda mumewe Judithkaunda
Nilitaka ujue sababu hyo kaka ingawa zipo nyingi na anaweza akawa na yake binafs mm nimeongelea sababu ya kimaumbile tuMalaya wamejaa Kona bar chakunihangaisha na kumuandaa MTU mzima Ni kipi?
Etikumuandaa, michepuko mbona inajiandaa yenyewe, wewe ukifika Ni mabusu mengi mengi, beer mbili baridi, chakula Cha Moto halafu 6x6. Plus story tam tam.
Sasa fika nyumbani, hata ule mkate atakaonywea nao chai yeye mwenyewe hakupokei.