Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Sawa viroba vimesepa ila vimekuwa restored.
Hizi zenye percent kubwa ya alcohol zilikuwa ni luxury drinks maana kwanza zilikuwa expensive kununua.
Kwa hio kilichofanyika ni wauzaji kuwapimia kidogo kidogo wanunuzi kwa pesa kidogo kupelekea mtu kununua kidogo kidogo kuzania anakunywa ka 1000 ila anajikuta amenunua mzigo mzima na yuko chakali vibay sana.