Uchaguzi 2020 Sababu kuntu 5 za kwanini Rais Magufuli atashinda tena Uchaguzi huu

Uchaguzi 2020 Sababu kuntu 5 za kwanini Rais Magufuli atashinda tena Uchaguzi huu

Hata akishinda, atakusaidia wewe na familia yako. Kwangu mimi hana faida yoyote ile kwenye ustawi wa maisha yangu.
Ataisadia Tanzania nzima pamoja na wewe. Uchumi utaendelea kukua, utapata huduma bora za kijamii, utaishi kwa amani na ofisi za umma zitafikika kwa urahisi.
 
Ongeza na kuwaambia wakurugenzi asiyeipa ushindi ccm zaidi ya 85% atakuwa amepoteza haki yake
 
Back
Top Bottom