T Tigershark JF-Expert Member Joined Oct 9, 2018 Posts 7,051 Reaction score 12,566 Sep 9, 2020 #101 Mzalendotz20 said: Kwani dola c pesa! Aaah kwenye kampeni kwani hawatumii pesa! Click to expand... Sio pesa peke yake!
Mzalendotz20 said: Kwani dola c pesa! Aaah kwenye kampeni kwani hawatumii pesa! Click to expand... Sio pesa peke yake!
Baraka Mina JF-Expert Member Joined Sep 3, 2020 Posts 586 Reaction score 590 Sep 12, 2020 #102 Tate Mkuu said: Hata akishinda, atakusaidia wewe na familia yako. Kwangu mimi hana faida yoyote ile kwenye ustawi wa maisha yangu. Click to expand... Ataisadia Tanzania nzima pamoja na wewe. Uchumi utaendelea kukua, utapata huduma bora za kijamii, utaishi kwa amani na ofisi za umma zitafikika kwa urahisi.
Tate Mkuu said: Hata akishinda, atakusaidia wewe na familia yako. Kwangu mimi hana faida yoyote ile kwenye ustawi wa maisha yangu. Click to expand... Ataisadia Tanzania nzima pamoja na wewe. Uchumi utaendelea kukua, utapata huduma bora za kijamii, utaishi kwa amani na ofisi za umma zitafikika kwa urahisi.
Kadoda nguku JF-Expert Member Joined Apr 22, 2019 Posts 332 Reaction score 475 Oct 8, 2020 #103 Ongeza na kuwaambia wakurugenzi asiyeipa ushindi ccm zaidi ya 85% atakuwa amepoteza haki yake