Sababu kuu ya Gazeti la Tanzania Daima kunyang'anywa leseni ni hofu ya CCM kuhusu kuangukia pua kwenye Uchaguzi Mkuu

Gazeti lilivunja rekodi ya mauzo yaani ni SAA NNE kila kibanda kikiwa kimemaliza mauzo dar

Sikh hizo hazijirudii
 
Hii ndoto yako haitakaa itimie kamwe mpinzan kuingia ikulu, kwa mazingira yapi??? Kila mamlaka husika ipo chini ya inategemea nimeamkaje siku hyo,
Kanuni ya ndoto ni lazima itimie, labda kama sio ndoto
 
Tanzanite ni biblia ya yesu wachato! Litatukuzwa sana. I'll
 
Juha Ni wewe unaesema tume sio huru halafu unashiriki!Kama sio ukilaza ni Nini? Mkapa anasema Kama anavyosema yeyote anae jisikia,tume Ni huru na chaguzi zote ni huru na haki
Baada ya kukusoma kila page nimegundua kwamba una uwezo mdogo sana , huyo mwamba BAK humuwezi hata ukitumia uchawi , nenda kajifiche tu mkuu
 
Reactions: BAK
Ni wazi Magufuli ni muoga kila mahali , ubakaji wa vyombo vya habari kwa kivuli cha "kukiuka sheria ya magazeti" haitafanya sisi tuache kuisemea serikali hii ya ki ubakaji kwa wananchi
 
Gazeti lilizidi kuandika uzushi na uongo. Habari zao hazikuwa na udadisi wowote, wanahabari na wahariri makanjanja wamewaaribia kazi. Uongo ukimbia ila ukweli unatembea taratibu....
 
Gazeti lilizidi kuandika uzushi na uongo. Habari zao hazikuwa na udadisi wowote, wanahabari na wahariri makanjanja wamewaaribia kazi. Uongo ukimbia ila ukweli unatembea taratibu....
Uongo upi kusema serikali imelaumiwa na jumuiya za kimataifa? Ni habari za uongo
 
BUKU 7 hawa Mkuu watu wa MPUUZI Mwigulu Nchemba yeye ndiyo chanzo cha hawa wahuni kuwemo humu. Hawana uwezo wa kujenga hoja na mwigulu aliwaambia warushe matusi tu ili kututoa kwenye Reli ya mijadala muhimu kuhusu mustakabali wa Nchi yetu ambayo inavurugwa na dikteta na genge lake la wahuni.

Baada ya kukusoma kila page nimegundua kwamba una uwezo mdogo sana , huyo mwamba BAK humuwezi hata ukitumia uchawi , nenda kajifiche tu mkuu
 
Du tutakosa kipeperushi cha kufungia ubusipa na imbelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…