Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyombo vya habari vipo vingi na havijafungiwa,shida ni kutoa habari za kuvunja sheria.Mkuu ili sio la kushabikia kuminya sana vyombo vya habari mwishowe tutazalisha wasiojulikana kama kigogo
Tubaki tu magazeti yanayomtukuza mungu mtu.Kuondoa gazeti la kufungia maandazi katika fungu la vifungashio
Kanuni ya ndoto ni lazima itimie, labda kama sio ndotoHii ndoto yako haitakaa itimie kamwe mpinzan kuingia ikulu, kwa mazingira yapi??? Kila mamlaka husika ipo chini ya inategemea nimeamkaje siku hyo,
Waabudu WATU mnamatatizo sana.Mara elfu yesu feki kuliko mashetani (chadema)
Tanzanite ni biblia ya yesu wachato! Litatukuzwa sana. I'llNi kwanini halifungiwi gazeti la Tanzanite?
Kwa kuwa hilo gazeti ndilo linaloongoza kwa habari za uzushi, kupotosha na kuleta chuki ndani ya jamii........
Najua hilo gazeti la Tanzanite linaendelea ku-survive kwa kuwa mmiliki wake Musiba ana uswaiba na Jiwe
Baada ya kukusoma kila page nimegundua kwamba una uwezo mdogo sana , huyo mwamba BAK humuwezi hata ukitumia uchawi , nenda kajifiche tu mkuuJuha Ni wewe unaesema tume sio huru halafu unashiriki!Kama sio ukilaza ni Nini? Mkapa anasema Kama anavyosema yeyote anae jisikia,tume Ni huru na chaguzi zote ni huru na haki
Hatutakubali mkuu tutapiga kelele dunia ione uzandiki wa Matagayaani hii SIRI-kali inataka kuigeuza TZ kuwa kama North Korea
Uongo upi kusema serikali imelaumiwa na jumuiya za kimataifa? Ni habari za uongoGazeti lilizidi kuandika uzushi na uongo. Habari zao hazikuwa na udadisi wowote, wanahabari na wahariri makanjanja wamewaaribia kazi. Uongo ukimbia ila ukweli unatembea taratibu....
Baada ya kukusoma kila page nimegundua kwamba una uwezo mdogo sana , huyo mwamba BAK humuwezi hata ukitumia uchawi , nenda kajifiche tu mkuu
Du tutakosa kipeperushi cha kufungia ubusipa na imbeleleHii ndio sababu kuu kuliko zote , hizo zingine ni porojo tu
Serikali ya awamu ya 5 kwa miaka yote iliyoingia madarakani imekuwa ikifungia Magazeti yote makini yanayokosoa utendaji mbovu , uonevu na ukiukwaji wa haki za binadamu uliokithiri kuliko wakati wote tangu wakoloni waondoke nchini Tanzania .
Mawio na MwanaHalisi ni miongoni mwa Magazeti yaliyoshindwa kutukuza watawala kizandiki na kumuabudu binadamu kama Mungu alivyoelekeza , yalikuwa ni wahanga wa kwanza wa uharamia uliosimamiwa kikamilifu na Dr Abbas ( ambaye siku ikifika atalipia uharamia huu maana hana kinga yoyote )
Tanzania Daima imeliwa Timing muda mrefu sana na ilikuwa inalindwa na jumuiya za kimataifa tu (nitafafanua ) , sasa kwa vile ccm ina hofu ya kuangukia pua kwenye uchaguzi mkuu wameamua kuondoa gazeti pekee linaloweza kuandika habari za siasa kwa usahihi na kubakisha vikaragosi vyao .
Nawakumbusha kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU .
Itaendelea .....
Ubhusipa ni imbelele mumbwani sifume khughu ?Du tutakosa kipeperushi cha kufungia ubusipa na imbelele
Na hayo yote ni maagizo kutoka kwa yule YESU wa KANGI LUGOLA