Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaogopa kuliko maelezo .CCM WANAJIDANGANYA,UPINZANI SISI WENGINE UKO DAMUNI
NashangaaNaona unaota! Saccos ishindi kweli kwa sera ipi ya Faru John au??
Labda ndio linapiga kura za watanzania [emoji23]
akili ndogo kipimo chake ndiyo hiyo mimi mkulima hata nahisi nawazidi akili ya kufikiri hawa jamaaa kweli washamba wako ikuluLabda ndio linapiga kura za watanzania [emoji23]
Haliandiki uzushi, bali linaandika asichopenda Yesu.
walifanya kosa elfu mbili kumi na tano. akili kubwa inawatesa mpaka leo walidhani wameshinda wanaenda kujikwaa wenyeweMimi sidhani kama CCM nayoijua mimi imefikia hatua ya woga huu... unafika hatua ya kuogopa hadi kitambaa? ( bendera) Kweli?
Hapana, kuna sehemu CCM walifanya makosa na nafikiri wanakwenda kuadhibiwa!!
ukiulizwa huo uzushi ni upi utaanza ngonjeraAfadhali limefungiwa.kutwa kucha kuandika uzushi tu.
Vijana mko wapi? Mda wenu ndio huu.yaani hii SIRI-kali inataka kuigeuza TZ kuwa kama North Korea
Labda umewazidi akili Bata wa hapo kijijini [emoji23][emoji1787][emoji2960]akili ndogo kipimo chake ndiyo hiyo mimi mkulima hata nahisi nawazidi akili ya kufikiri hawa jamaaa kweli washamba wako ikulu
uhovyo wake unaweza fafanua kwa umma?Lilikuwa gazeti la hovyo sana
Subiri October siyo mbali maana SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MUNGU..tutaona Nani SHETANI nani MUNGU.Hii ndio sababu kuu kuliko zote , hizo zingine ni porojo tu
Serikali ya awamu ya 5 kwa miaka yote iliyoingia madarakani imekuwa ikifungia Magazeti yote makini yanayokosoa utendaji mbovu , uonevu na ukiukwaji wa haki za binadamu uliokithiri kuliko wakati wote tangu wakoloni waondoke nchini Tanzania .
Mawio na MwanaHalisi ni miongoni mwa Magazeti yaliyoshindwa kutukuza watawala kizandiki na kumuabudu binadamu kama Mungu alivyoelekeza , yalikuwa ni wahanga wa kwanza wa uharamia uliosimamiwa kikamilifu na Dr Abbas ( ambaye siku ikifika atalipia uharamia huu maana hana kinga yoyote )
Tanzania Daima imeliwa Timing muda mrefu sana na ilikuwa inalindwa na jumuiya za kimataifa tu (nitafafanua ) , sasa kwa vile ccm ina hofu ya kuangukia pua kwenye uchaguzi mkuu wameamua kuondoa gazeti pekee linaloweza kuandika habari za siasa kwa usahihi na kubakisha vikaragosi vyao .
Nawakumbusha kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU .
Itaendelea .....
Labda umewazidi akili Bata wa hapo kijijini [emoji23][emoji1787][emoji2960]
CCM isitegemee kushinda kwenye sanduku la kura. Ila kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mwisho wenu umekaribia. Utaona kama ni ndoto lkn ukweli ccm imechokwa.Naona unaota! Saccos ishindi kweli kwa sera ipi ya Faru John au??