Sababu kuu ya Gazeti la Tanzania Daima kunyang'anywa leseni ni hofu ya CCM kuhusu kuangukia pua kwenye Uchaguzi Mkuu

Sababu kuu ya Gazeti la Tanzania Daima kunyang'anywa leseni ni hofu ya CCM kuhusu kuangukia pua kwenye Uchaguzi Mkuu

Gazeti la kusambaza uongo uzushi uzandiki wa chadema
 
Kuondoa gazeti la kufungia maandazi katika fungu la vifungashio
 
Mimi sidhani kama CCM nayoijua mimi imefikia hatua ya woga huu... unafika hatua ya kuogopa hadi kitambaa? ( bendera) Kweli?

Hapana, kuna sehemu CCM walifanya makosa na nafikiri wanakwenda kuadhibiwa!!
walifanya kosa elfu mbili kumi na tano. akili kubwa inawatesa mpaka leo walidhani wameshinda wanaenda kujikwaa wenyewe
 
yaani hii SIRI-kali inataka kuigeuza TZ kuwa kama North Korea
Vijana mko wapi? Mda wenu ndio huu.
Imigine kama akina Nyerere and Co, wangekuwa na akiri kama hizi za sasa Uhuru ungepatikana kweli?
 
akili ndogo kipimo chake ndiyo hiyo mimi mkulima hata nahisi nawazidi akili ya kufikiri hawa jamaaa kweli washamba wako ikulu
Labda umewazidi akili Bata wa hapo kijijini [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Kuondoa gazeti la kufungia maandazi katika fungu la vifungashio
 
Hii ndio sababu kuu kuliko zote , hizo zingine ni porojo tu

Serikali ya awamu ya 5 kwa miaka yote iliyoingia madarakani imekuwa ikifungia Magazeti yote makini yanayokosoa utendaji mbovu , uonevu na ukiukwaji wa haki za binadamu uliokithiri kuliko wakati wote tangu wakoloni waondoke nchini Tanzania .

Mawio na MwanaHalisi ni miongoni mwa Magazeti yaliyoshindwa kutukuza watawala kizandiki na kumuabudu binadamu kama Mungu alivyoelekeza , yalikuwa ni wahanga wa kwanza wa uharamia uliosimamiwa kikamilifu na Dr Abbas ( ambaye siku ikifika atalipia uharamia huu maana hana kinga yoyote )

Tanzania Daima imeliwa Timing muda mrefu sana na ilikuwa inalindwa na jumuiya za kimataifa tu (nitafafanua ) , sasa kwa vile ccm ina hofu ya kuangukia pua kwenye uchaguzi mkuu wameamua kuondoa gazeti pekee linaloweza kuandika habari za siasa kwa usahihi na kubakisha vikaragosi vyao .

Nawakumbusha kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU .

Itaendelea .....
Subiri October siyo mbali maana SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MUNGU..tutaona Nani SHETANI nani MUNGU.
 
huenda ni kweli niewazidi bata wa hapa kijijini kwetu je gazeti linapiga kura niambie mpaka hapo ewe somi wa tz.
Labda umewazidi akili Bata wa hapo kijijini [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Kwani hilo gazeti linauza nakala ngapi kwa siku mpaka liwe tishio kwa serikali iliyotapakaa nchi nzima?
 
Naona unaota! Saccos ishindi kweli kwa sera ipi ya Faru John au??
CCM isitegemee kushinda kwenye sanduku la kura. Ila kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mwisho wenu umekaribia. Utaona kama ni ndoto lkn ukweli ccm imechokwa.
 
Back
Top Bottom