Sababu kuu ya Gazeti la Tanzania Daima kunyang'anywa leseni ni hofu ya CCM kuhusu kuangukia pua kwenye Uchaguzi Mkuu

Ni mwenye UFINYU WA AKILI tu ndiyo anaweza kuandika upuuzi kama huu. Vipi kuhusu ombi la Mkapa la uchaguzi kufanyika chini ya TUME HURU ili uchaguzi uwe HURU na wa HAKI na siyo tume FAKE ya dikteta!?
Ni haki yake kusema chochote Kama ilivyo wewe haki yako kuandika chochote hata Kama ni utopolo
 
Utopolo ni wewe unayemshabikia huyo dikteta ambaye KACHOKWA na Watanzania walio wengi.
Mh raisi sio dikteta nadhani umezowea kukariri ndio maana ukadhani udikteta ni kitu kidogo tu, pili magufuli anapendwa na mamilioni ya watanzania na ndio waliomchagua,na watamchagua kwa kishindo Tena Mara ya pili, japo hawezi kupendwa na wote mfano wa wewe na baadhi ya watu haikufanyi ukajitia upofu usione mapenzi ya watanzania kwa mzalendo jembe magufuli!!!
 
uzalendo maana yake nini? kuwa mwanachama wa ccm au nini maana ya uzalendo
 
Hii ndio sababu kuu kuliko zote , hizo zingine ni porojo tu

Serikali ya awamu ya 5 kwa miaka yote iliyoingia madarakani imekuwa ikifungia Magazeti yote makini yanayokosoa utendaji mbovu , uonevu na ukiukwaji wa haki za binadamu uliokithiri kuliko wakati wote tangu wakoloni waondoke nchini Tanzania .

Mawio na MwanaHalisi ni miongoni mwa Magazeti yaliyoshindwa kutukuza watawala kizandiki na kumuabudu binadamu kama Mungu alivyoelekeza , yalikuwa ni wahanga wa kwanza wa uharamia uliosimamiwa kikamilifu na Dr Abbas ( ambaye siku ikifika atalipia uharamia huu maana hana kinga yoyote )

Tanzania Daima imeliwa Timing muda mrefu sana na ilikuwa inalindwa na jumuiya za kimataifa tu (nitafafanua ) , sasa kwa vile ccm ina hofu ya kuangukia pua kwenye uchaguzi mkuu wameamua kuondoa gazeti pekee linaloweza kuandika habari za siasa kwa usahihi na kubakisha vikaragosi vyao .

Nawakumbusha kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU .

Itaendelea .....
MEKO NI UTOPOLO anaogopa hadi Mchukua form mamluki wa CHAMA CHAO.
 
Watanzania tuwe makini na udikteta naona kuna wengine wanashabikia haya mambo ya kishenzi kama vile hawana akili kabisa.
 
Ukitia akili kichwani UTAELEWA TU. Ndiyo matatizo ya kukimbia UMANDE. Kama alichaguliwa kihalali na katenda mema kama WAJINGA nyinyi mnavyodai kwanini anaogopa uchaguzi HURU na wa HAKI? Kwanini anaiogopa TUME HURU?

Jibu ni kwamba HAPENDWI na hilo la kutopendwa halikwepeki na uchaguzi huru na wa haki ATATOSWA TU asubuhi na mapema tu.

Mh raisi sio dikteta nadhani umezowea kukariri ndio maana ukadhani udikteta ni kitu kidogo tu, pili magufuli anapendwa na mamilioni ya watanzania na ndio waliomchagua,na watamchagua kwa kishindo Tena Mara ya pili, japo hawezi kupendwa na wote mfano wa wewe na baadhi ya watu haikufanyi ukajitia upofu usione mapenzi ya watanzania kwa mzalendo jembe magufuli!!!
 
Ukitia akili kichwani UTAELEWA TU. Ndiyo matatizo ya kukimbia UMANDE. Kama alichaguliwa kihalali na katenda mema kama WAJINGA nyinyi mnavyodai kwanini anaogopa uchaguzi HURU na wa HAKI? Kwanini anaiogopa TUME HURU?

Jibu ni kwamba HAPENDWI na hilo la kutopendwa halikwepeki na uchaguzi huru na wa haki ATATOSWA TU asubuhi na mapema tu.
Chaguzi zote ni huru na haki,ndio maana wote walishiriki,ingekuwa sio huru na haki mngeshiriki vipi? Na toka chaguzi ya kwanza kwenda chaguzi zinazofuatia mnapata ongezeko la kura na wabunge? Pili tume Ni huru na ipo kikatiba Ni ujinga useme sio huru wakati ipo kikatiba na unashiriki!!!
 
Angalia unavyoonyesha UJUHA wako! Sasa kama Mkapa anajua chaguzi za Tanzania ni HURU na za HAKI kwanini atoe wito wa kuwepo TUME HURU ya Uchaguzi badala ya hii Tume FAKE ya dikteta!? Toa UJINGA wako!!

Juha Ni wewe unaesema tume sio huru halafu unashiriki!Kama sio ukilaza ni Nini? Mkapa anasema Kama anavyosema yeyote anae jisikia,tume Ni huru na chaguzi zote ni huru na haki
 
CCM ina hofu sana na vyombo vya habari,chama cha hovyo sana kutegemea dola ili kishinde chaguzi.
 
MPUMBAVU mkubwa wewe!!! Mkapa ambao alikuwa Rais anajua fika kwamba uchaguzi si wa HAKI na HURU lakini TAAHIRA wewe uliyekimbia umande bado unaonyesha UJUHA wako tu!!! 😳😳😳

Hivi wewe na Mkapa ni nani mwenye UFAHAMU mkubwa kuhusu uchaguzi wa Tanzania!? Ni ZWAZWA wewe au Mkapa!?

Juha Ni wewe unaesema tume sio huru halafu unashiriki!Kama sio ukilaza ni Nini? Mkapa anasema Kama anavyosema yeyote anae jisikia,tume Ni huru na chaguzi zote ni huru na haki
 
Zuluma kwa watumishi wa umma itaonekana matokeo yake.
 
Back
Top Bottom