Wapiga kura wa mitandaoni labda!!Muda ni mwalimu mzuri sana Mkuu. Usitegemee yale yatajirudia. Weka kwenye akili yako "Wapiga kura ni wengi kuliko Polisi"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapiga kura wa mitandaoni labda!!Muda ni mwalimu mzuri sana Mkuu. Usitegemee yale yatajirudia. Weka kwenye akili yako "Wapiga kura ni wengi kuliko Polisi"
Ni haki yake kusema chochote Kama ilivyo wewe haki yako kuandika chochote hata Kama ni utopoloNi mwenye UFINYU WA AKILI tu ndiyo anaweza kuandika upuuzi kama huu. Vipi kuhusu ombi la Mkapa la uchaguzi kufanyika chini ya TUME HURU ili uchaguzi uwe HURU na wa HAKI na siyo tume FAKE ya dikteta!?
Jipe moyo Mkuu. Hutaamini kitakachotokea. Jiulize waliohesabu kura 2015 ndio hao hao watakaohesabu au ni wengine??Wapiga kura wa mitandaoni labda!!
Ni haki yake kusema chochote Kama ilivyo wewe haki yako kuandika chochote hata Kama ni utopolo
Labda wewe msaliti wa nchi yako!!Utopolo ni wewe unayemshabikia huyo dikteta ambaye KACHOKWA na Watanzania walio wengi.
umesema kweli mzalendoVijana mko wapi? Mda wenu ndio huu.
Imigine kama akina Nyerere and Co, wangekuwa na akiri kama hizi za sasa Uhuru ungepatikana kweli?
Mh raisi sio dikteta nadhani umezowea kukariri ndio maana ukadhani udikteta ni kitu kidogo tu, pili magufuli anapendwa na mamilioni ya watanzania na ndio waliomchagua,na watamchagua kwa kishindo Tena Mara ya pili, japo hawezi kupendwa na wote mfano wa wewe na baadhi ya watu haikufanyi ukajitia upofu usione mapenzi ya watanzania kwa mzalendo jembe magufuli!!!Utopolo ni wewe unayemshabikia huyo dikteta ambaye KACHOKWA na Watanzania walio wengi.
esaliti niniLabda wewe msaliti wa nchi yako!!
uzalendo maana yake nini? kuwa mwanachama wa ccm au nini maana ya uzalendoMh raisi sio dikteta nadhani umezowea kukariri ndio maana ukadhani udikteta ni kitu kidogo tu, pili magufuli anapendwa na mamilioni ya watanzania na ndio waliomchagua,na watamchagua kwa kishindo Tena Mara ya pili, japo hawezi kupendwa na wote mfano wa wewe na baadhi ya watu haikufanyi ukajitia upofu usione mapenzi ya watanzania kwa mzalendo jembe magufuli!!!
MEKO NI UTOPOLO anaogopa hadi Mchukua form mamluki wa CHAMA CHAO.Hii ndio sababu kuu kuliko zote , hizo zingine ni porojo tu
Serikali ya awamu ya 5 kwa miaka yote iliyoingia madarakani imekuwa ikifungia Magazeti yote makini yanayokosoa utendaji mbovu , uonevu na ukiukwaji wa haki za binadamu uliokithiri kuliko wakati wote tangu wakoloni waondoke nchini Tanzania .
Mawio na MwanaHalisi ni miongoni mwa Magazeti yaliyoshindwa kutukuza watawala kizandiki na kumuabudu binadamu kama Mungu alivyoelekeza , yalikuwa ni wahanga wa kwanza wa uharamia uliosimamiwa kikamilifu na Dr Abbas ( ambaye siku ikifika atalipia uharamia huu maana hana kinga yoyote )
Tanzania Daima imeliwa Timing muda mrefu sana na ilikuwa inalindwa na jumuiya za kimataifa tu (nitafafanua ) , sasa kwa vile ccm ina hofu ya kuangukia pua kwenye uchaguzi mkuu wameamua kuondoa gazeti pekee linaloweza kuandika habari za siasa kwa usahihi na kubakisha vikaragosi vyao .
Nawakumbusha kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU .
Itaendelea .....
Watanzania tuwe makini na udikteta naona kuna wengine wanashabikia haya mambo ya kishenzi kama vile hawana akili kabisa.Hii ndio sababu kuu kuliko zote , hizo zingine ni porojo tu
Serikali ya awamu ya 5 kwa miaka yote iliyoingia madarakani imekuwa ikifungia Magazeti yote makini yanayokosoa utendaji mbovu , uonevu na ukiukwaji wa haki za binadamu uliokithiri kuliko wakati wote tangu wakoloni waondoke nchini Tanzania .
Mawio na MwanaHalisi ni miongoni mwa Magazeti yaliyoshindwa kutukuza watawala kizandiki na kumuabudu binadamu kama Mungu alivyoelekeza , yalikuwa ni wahanga wa kwanza wa uharamia uliosimamiwa kikamilifu na Dr Abbas ( ambaye siku ikifika atalipia uharamia huu maana hana kinga yoyote )
Tanzania Daima imeliwa Timing muda mrefu sana na ilikuwa inalindwa na jumuiya za kimataifa tu (nitafafanua ) , sasa kwa vile ccm ina hofu ya kuangukia pua kwenye uchaguzi mkuu wameamua kuondoa gazeti pekee linaloweza kuandika habari za siasa kwa usahihi na kubakisha vikaragosi vyao .
Nawakumbusha kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU .
Itaendelea .....
Mh raisi sio dikteta nadhani umezowea kukariri ndio maana ukadhani udikteta ni kitu kidogo tu, pili magufuli anapendwa na mamilioni ya watanzania na ndio waliomchagua,na watamchagua kwa kishindo Tena Mara ya pili, japo hawezi kupendwa na wote mfano wa wewe na baadhi ya watu haikufanyi ukajitia upofu usione mapenzi ya watanzania kwa mzalendo jembe magufuli!!!
Chaguzi zote ni huru na haki,ndio maana wote walishiriki,ingekuwa sio huru na haki mngeshiriki vipi? Na toka chaguzi ya kwanza kwenda chaguzi zinazofuatia mnapata ongezeko la kura na wabunge? Pili tume Ni huru na ipo kikatiba Ni ujinga useme sio huru wakati ipo kikatiba na unashiriki!!!Ukitia akili kichwani UTAELEWA TU. Ndiyo matatizo ya kukimbia UMANDE. Kama alichaguliwa kihalali na katenda mema kama WAJINGA nyinyi mnavyodai kwanini anaogopa uchaguzi HURU na wa HAKI? Kwanini anaiogopa TUME HURU?
Jibu ni kwamba HAPENDWI na hilo la kutopendwa halikwepeki na uchaguzi huru na wa haki ATATOSWA TU asubuhi na mapema tu.
Hukusoma shule? Hujui maana ya uzalendo utajua siasa?uzalendo maana yake nini? kuwa mwanachama wa ccm au nini maana ya uzalendo
Chaguzi zote ni huru na haki,ndio maana wote walishiriki,ingekuwa sio huru na haki mngeshiriki vipi? Na toka chaguzi ya kwanza kwenda chaguzi zinazofuatia mnapata ongezeko la kura na wabunge? Pili tume Ni huru na ipo kikatiba Ni ujinga useme sio huru wakati ipo kikatiba na unashiriki!!!
Juha Ni wewe unaesema tume sio huru halafu unashiriki!Kama sio ukilaza ni Nini? Mkapa anasema Kama anavyosema yeyote anae jisikia,tume Ni huru na chaguzi zote ni huru na hakiAngalia unavyoonyesha UJUHA wako! Sasa kama Mkapa anajua chaguzi za Tanzania ni HURU na za HAKI kwanini atoe wito wa kuwepo TUME HURU ya Uchaguzi badala ya hii Tume FAKE ya dikteta!? Toa UJINGA wako!!
Mkuu ili sio la kushabikia kuminya sana vyombo vya habari mwishowe tutazalisha wasiojulikana kama kigogoAfadhali limefungiwa.kutwa kucha kuandika uzushi tu.
Juha Ni wewe unaesema tume sio huru halafu unashiriki!Kama sio ukilaza ni Nini? Mkapa anasema Kama anavyosema yeyote anae jisikia,tume Ni huru na chaguzi zote ni huru na haki