Uchaguzi 2020 Sababu kuu ya Lissu kushindwa, asilimia 80 ya Watanzania wanaishi Vijijini hawamjui Lissu ni nani, Magufuli anajulikana kila kona Vijijini

Wiki hii yote niko huku vijijini Rukwa & Katavi.... mwamko wa wananchi kumpata kiongozi atakayeweza kuwaondoa kwenye lindi la sasa la umasikini ni mkubwa mno.

Wanachojua ni kwamba chini ya serekali hii hawatapata unafuu wa maisha wowote.

So, ni suala dogo tu la Lissu & co kujipanga vyema, njia ya ikulu kwao October i wazi kabisa!
 
Inawezekana kura nyingi zikatoka kwa wana ccm
 
Dar,+Arusha,+Moshi+mbeya+pwani+zanzibar(mwaka huu hamuipati)
Haitoshi kushindana na huko nyumbani kwa magufuri?

Kwa taarifa yako hata huko kwenu wengi hawaupendi utawala huu.
Je kagera mnakubalika wakati mlizurumu misaada yao ya tetemeko? Mikoa ya kusini mwaka huu Ng'ooo!

Kingine kitakachowaangusha ni kinywa kichafu, watanzania hawajazoea kusimangwa.
Na kingine vijana wengi wapo mijini na kwa taarifa yako mwaka huu wamejiandikisha kwa fujo sana.

Mwaka huu andaeni maji mengi vyooni mwenu.
Mtakwenda huko kwa kupishana kutwa nzima.

Ccm hamjawa wamoja mpaka sasa hili nalo pigo lingine
Nikwambie kitu, ndani ya miezi hii miwili utaona kundi likipasuka toka ndani ya ccm.
TAKE MY WORD
 
Unateseka sana na Lissu jamaa wewe, kila unacho tabiri kina fail dadadeki Hahahaaaaa!!

I think hulali ukapata usingizi, huli ukashiba yaani unaweweseka kuliko kawaida ndio maana kila kukicha unaanzisha nyuzi na zote zinabuma teh! Jipangeeeee
 
Nilikuwa sina mpango wa kupiga kura au kushiriki siasa hii 2020 kutokana na ubabe wa jamaa kwa ma DEDs, lakini kwa kuingia Lissu, nitashiriki sana, haijalishi kuwa na tume ya uchaguzi "kichaka"
 
Baada ya ukanda, njoo na udini kisha ukabila mkuu. Imba mashairi yoote ila kipigo mwaka huu hakikwepekiiiiii
 
Risasi zilimshindwa sembuse porojo zako hizi uwiiiiiiiiiiiiiiii
 
Na hapa ndipo wanapofeli.
Kwa sisi watembea vijijini aisee,kijani keshamaliza kazi siku mingii.
Maana wa kule ili waamini,wanatakanwaone kile unachokisema sasa na mukulu ndo anatembelea humohumoo.
 
Singida, Kilimanjaro,Arusha, Dar kote huku Lissu atabembea
Umesahau kagera na Mara
.
Kagera wanamsubiri kwa hamu,baada ya kauli chafu na matendo mabaya waliyowahi kuambiwa na kutendewa na yESU baada ya tetemeko kuwaacha vibaya.

Mara wanayakumbuka matendo mema ya TL kuwatetea watu mahakamani kutokana na migogoro ya mwekezaji na wachimbaji wadogo wa madini.

Aliwatetaa bure watu Walioondolewa kwa nguvu kwenye maeneo Yao na wengine kuzikwa wakiwa hai.waliopoteza watoto wao Lisu aliwatetaa bure.
 
Kwamba amefanya kwa pesa za kutoka kwao Burundi?
 
Baada ya ukanda, njoo na udini kisha ukabila mkuu. Imba mashairi yoote ila kipigo mwaka huu hakikwepekiiiiii
Mwambie huyu. Ccm wajiandae tu kukabidhi ikulu kwa Lissu mwaka huu. Sioni namna CCM watamshinda Lissu mwaka huu. Sioni kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…