Uchaguzi 2020 Sababu kuu ya Lissu kushindwa, asilimia 80 ya Watanzania wanaishi Vijijini hawamjui Lissu ni nani, Magufuli anajulikana kila kona Vijijini

Uchaguzi 2020 Sababu kuu ya Lissu kushindwa, asilimia 80 ya Watanzania wanaishi Vijijini hawamjui Lissu ni nani, Magufuli anajulikana kila kona Vijijini

Chadema wamekuwa wakijipa matumaini hewa kuhusu mgombea wao Lisu kushinda wakisema yuko popular sana.Wakisema wanalalia mtaji wa kura za 2015 ambapo Lowasa alipata kura milioni sita

Kitu kimoja wanasahau Lowasa alikuwa waziri mkuu muda mrefu na waziri aliyejulikana sana vijijini ambako asilimia 80 ya watanzania ndiko wanaishi ndio sababu yake moja kubwa kuzoa kura nyingi

Raisi Magufuli anafahamika vijiji vyote Tanzania nzima na ndiko wapiga kura wengi walioko sio mijini

Hata mijini Lisu anajulikana miji michache hasa kwa vijana wanaoshinda mitandaoni hasa wa Dar es salaam ambao wengi hata kujiandikisha kupiga kura wengi hawajajiandikisha ni washabiki tu wa siasa za mitandaoni

Pigo kuu la kubwagwa Lisu litatoka vijijini .Natoa siri ya wazi kabisa bila kuficha .Vijijini huyu Lisu hawamjui.Ofisi za CCM ZIKO KILA kijiji na hakuna mwanakijij asiyemjua Magufuli ni nani.Chadema waliwekeza viofisi vya hapa na pale vya kuzuga kwa msajili mijini viofisi vichache tu lakini vijini vijiji vingi hawako huko ndiko pigo zito la Lisu litatokea

Ndio maana hata mapokezi yake utakuta walikuwa wengi vijana wadogo hakukuwa na watu wazima na hata maeneo aliyopita watu walikuwa kama wakimashangaa hivi na watu wazima walikuwa wala hawana hamasa naye ni vijana mmoja mmoja tu pembeni mwa barabara alimopita walioonyesha hisia za kumshangilia hapa na pale ikamlazimisha mpiga kamera afiche kupiga kamera kwa aibu akawa haonyeshi kabisa walio pembeni mwa barabara msafara unamopita .Kamera yake ikajikita tu kwenye vijana walioko kwenye msafara wake anayebisha aangalie hizo video za msafara wake toka uwanja wa ndege hadi makao makuu kinondoni camera imekwepa kabisa kuonyesha watu waliojipanga kando ya barabara kuogopa aibu sababu hawakuwepo na waliokuwepo hawakuonyesha hisia za kumshangilia angalia kamera inawaonyesha walioko barabarani tu ambao wengi walikodiwa kumsindikiza.Mpiga picha yeyote akiangalia tu anajua walipiga picha tu za kudanganya wazungu pembeni mwa barabara hakuwa na washangiliaji!!! Pamoja na jiji la Dar kuwa na umati wa watu ful time
Angalia usanii wa Chadema Lisu anapungia mikono wasindikizaji pembeni mwa barabara hakuna wapungia mikono .

Wiki hii yote niko huku vijijini Rukwa & Katavi.... mwamko wa wananchi kumpata kiongozi atakayeweza kuwaondoa kwenye lindi la sasa la umasikini ni mkubwa mno.

Wanachojua ni kwamba chini ya serekali hii hawatapata unafuu wa maisha wowote.

So, ni suala dogo tu la Lissu & co kujipanga vyema, njia ya ikulu kwao October i wazi kabisa!
 
Kilimanjaro na Arusha wengi walichoma kadi za kupigia kura na kuapa hawaji piga kura baada ya Lowasa kupigwa chini nenda mwenyewe kawahoji Chadema waliopiga kura 2015 hawataki kupiga kura tena.Kazi mnayo kuwahamasisha warudi kupiga kura tena

Nendeni wenyewe mkahoji muwaulize Chadema waliopiga kura 2015 kuwa utaenda kupiga kura?

Mikoa hiyo ya kaskazini ilikuwa ngome ya Lowasa aki ji brand kama mwamba wa kaskazini na alishinda kura nyingi za asante mwanetu .Lisu sio brand nane ya kaskazini ,Hana brand name kanda yeyote!! Magufuli ni Brand Name ya Kanda ya Ziwa.Tundu Lisu hakujenga brand name hata ya kanda yake tu ili akitaka kugombea uraisi awe ana brand kubwa na ngome kanda fulani!! kwake hakuijenga hana kanda!! anategemea abebwe mgongoni na mbeleko kwenye hizo kanda!!! Na mbowe uwezo wa kumbeba Lisu kanda ya kaskazini mwisho kilimanjaro .Arusha na Manyara ni ngome za Lowasa na Sumaye ambao chadema waliondoka bila hata kuambiwa asante .Wenyewe wana hasira na Chadema wenye watoto wao hivyo Mbowe ubavu hana wa kumbeba Lisu Mikoa ya Arusha na Manyara.Masai mtu wao Lowasa ambaye CHadema walimtema Lisu Hawamjui

Kanda zingine zote hakuna kiongozi mwenye brand name wa kumbeba Lisu Ukiondoa tu Mbowe lakini kanda zingine hamna kitu watu wanajulikana tu kwenye majimbo yao Sio kanda .Lisu angekuwa alijiandaa uraisi alitakiwa kujenga brand name very strong walau kwenye kanda moja na kuwa household name .Kujihakikishia kuwa hiyo kanda ndio ngome yake ya kumbeba lakini hana! anategemnea kura za huruma za kuokoteza hapa na pale!!! Very wrong political strategy

Kiufupi hakujiandaa kuwa Raisi .Duniani kote hakuna uraisi wa kushtukiza watu hujiandaa kwa muda mrefu kwa strategy strong
Inawezekana kura nyingi zikatoka kwa wana ccm
 
Pigo kuu la pili la Lisu litatoka kanda ya ziwa nyumbani kwa Magufuli.Kanda ya ziwa ndiko kuna wapiga kura karibu nusu ya wapiga kura wote Tanzania kutokana na population yao ,
Kule ni ngome ya CCM na kwao Magufuli na ndiko alikopata kura nyingi uchaguzi uliopita

Kanda ya ziwa ndiko huamua nani awe mshindi sababu kuna wapiga kura wengi kuliko popote Tanzania
Dar,+Arusha,+Moshi+mbeya+pwani+zanzibar(mwaka huu hamuipati)
Haitoshi kushindana na huko nyumbani kwa magufuri?

Kwa taarifa yako hata huko kwenu wengi hawaupendi utawala huu.
Je kagera mnakubalika wakati mlizurumu misaada yao ya tetemeko? Mikoa ya kusini mwaka huu Ng'ooo!

Kingine kitakachowaangusha ni kinywa kichafu, watanzania hawajazoea kusimangwa.
Na kingine vijana wengi wapo mijini na kwa taarifa yako mwaka huu wamejiandikisha kwa fujo sana.

Mwaka huu andaeni maji mengi vyooni mwenu.
Mtakwenda huko kwa kupishana kutwa nzima.

Ccm hamjawa wamoja mpaka sasa hili nalo pigo lingine
Nikwambie kitu, ndani ya miezi hii miwili utaona kundi likipasuka toka ndani ya ccm.
TAKE MY WORD
 
Chadema wamekuwa wakijipa matumaini hewa kuhusu mgombea wao Lisu kushinda wakisema yuko popular sana.Wakisema wanalalia mtaji wa kura za 2015 ambapo Lowasa alipata kura milioni sita.

Kitu kimoja wanasahau Lowasa alikuwa waziri mkuu muda mrefu na waziri aliyejulikana sana vijijini ambako asilimia 80 ya watanzania ndiko wanaishi ndio sababu yake moja kubwa kuzoa kura nyingi.

Raisi Magufuli anafahamika vijiji vyote Tanzania nzima na ndiko wapiga kura wengi walioko sio mijini.

Hata mijini Lisu anajulikana miji michache hasa kwa vijana wanaoshinda mitandaoni hasa wa Dar es salaam ambao wengi hata kujiandikisha kupiga kura wengi hawajajiandikisha ni washabiki tu wa siasa za mitandaoni.

Pigo kuu la kubwagwa Lisu litatoka vijijini .Natoa siri ya wazi kabisa bila kuficha .Vijijini huyu Lisu hawamjui.Ofisi za CCM ZIKO KILA kijiji na hakuna mwanakijij asiyemjua Magufuli ni nani.Chadema waliwekeza viofisi vya hapa na pale vya kuzuga kwa msajili mijini viofisi vichache tu lakini vijini vijiji vingi hawako huko ndiko pigo zito la Lisu litatokea.

Ndio maana hata mapokezi yake utakuta walikuwa wengi vijana wadogo hakukuwa na watu wazima na hata maeneo aliyopita watu walikuwa kama wakimashangaa hivi na watu wazima walikuwa wala hawana hamasa naye ni vijana mmoja mmoja tu pembeni mwa barabara alimopita walioonyesha hisia za kumshangilia hapa na pale ikamlazimisha mpiga kamera afiche kupiga kamera kwa aibu akawa haonyeshi kabisa walio pembeni mwa barabara msafara unamopita .

Kamera yake ikajikita tu kwenye vijana walioko kwenye msafara wake anayebisha aangalie hizo video za msafara wake toka uwanja wa ndege hadi makao makuu kinondoni camera imekwepa kabisa kuonyesha watu waliojipanga kando ya barabara kuogopa aibu sababu hawakuwepo na waliokuwepo hawakuonyesha hisia za kumshangilia angalia kamera inawaonyesha walioko barabarani tu ambao wengi walikodiwa kumsindikiza.

Mpiga picha yeyote akiangalia tu anajua walipiga picha tu za kudanganya wazungu pembeni mwa barabara hakuwa na washangiliaji!!! Pamoja na jiji la Dar kuwa na umati wa watu ful time

Angalia usanii wa Chadema Lissu anapungia mikono wasindikizaji pembeni mwa barabara hakuna wapungia mikono .

Unateseka sana na Lissu jamaa wewe, kila unacho tabiri kina fail dadadeki Hahahaaaaa!!

I think hulali ukapata usingizi, huli ukashiba yaani unaweweseka kuliko kawaida ndio maana kila kukicha unaanzisha nyuzi na zote zinabuma teh! Jipangeeeee
 
Nilikuwa sina mpango wa kupiga kura au kushiriki siasa hii 2020 kutokana na ubabe wa jamaa kwa ma DEDs, lakini kwa kuingia Lissu, nitashiriki sana, haijalishi kuwa na tume ya uchaguzi "kichaka"
 
Pigo kuu la pili la Lisu litatoka kanda ya ziwa nyumbani kwa Magufuli.Kanda ya ziwa ndiko kuna wapiga kura karibu nusu ya wapiga kura wote Tanzania kutokana na population yao ,
Kule ni ngome ya CCM na kwao Magufuli na ndiko alikopata kura nyingi uchaguzi uliopita

Kanda ya ziwa ndiko huamua nani awe mshindi sababu kuna wapiga kura wengi kuliko popote Tanzania
Baada ya ukanda, njoo na udini kisha ukabila mkuu. Imba mashairi yoote ila kipigo mwaka huu hakikwepekiiiiii
 
Kilimanjaro na Arusha wengi walichoma kadi za kupigia kura na kuapa hawaji piga kura baada ya Lowasa kupigwa chini nenda mwenyewe kawahoji Chadema waliopiga kura 2015 hawataki kupiga kura tena.Kazi mnayo kuwahamasisha warudi kupiga kura tena

Nendeni wenyewe mkahoji muwaulize Chadema waliopiga kura 2015 kuwa utaenda kupiga kura?

Mikoa hiyo ya kaskazini ilikuwa ngome ya Lowasa aki ji brand kama mwamba wa kaskazini na alishinda kura nyingi za asante mwanetu .Lisu sio brand nane ya kaskazini ,Hana brand name kanda yeyote!! Magufuli ni Brand Name ya Kanda ya Ziwa.Tundu Lisu hakujenga brand name hata ya kanda yake tu ili akitaka kugombea uraisi awe ana brand kubwa na ngome kanda fulani!! kwake hakuijenga hana kanda!! anategemea abebwe mgongoni na mbeleko kwenye hizo kanda!!! Na mbowe uwezo wa kumbeba Lisu kanda ya kaskazini mwisho kilimanjaro .Arusha na Manyara ni ngome za Lowasa na Sumaye ambao chadema waliondoka bila hata kuambiwa asante .Wenyewe wana hasira na Chadema wenye watoto wao hivyo Mbowe ubavu hana wa kumbeba Lisu Mikoa ya Arusha na Manyara.Masai mtu wao Lowasa ambaye CHadema walimtema Lisu Hawamjui

Kanda zingine zote hakuna kiongozi mwenye brand name wa kumbeba Lisu Ukiondoa tu Mbowe lakini kanda zingine hamna kitu watu wanajulikana tu kwenye majimbo yao Sio kanda .Lisu angekuwa alijiandaa uraisi alitakiwa kujenga brand name very strong walau kwenye kanda moja na kuwa household name .Kujihakikishia kuwa hiyo kanda ndio ngome yake ya kumbeba lakini hana! anategemnea kura za huruma za kuokoteza hapa na pale!!! Very wrong political strategy

Kiufupi hakujiandaa kuwa Raisi .Duniani kote hakuna uraisi wa kushtukiza watu hujiandaa kwa muda mrefu kwa strategy strong
Risasi zilimshindwa sembuse porojo zako hizi uwiiiiiiiiiiiiiiii
 
Na hapa ndipo wanapofeli.
Kwa sisi watembea vijijini aisee,kijani keshamaliza kazi siku mingii.
Maana wa kule ili waamini,wanatakanwaone kile unachokisema sasa na mukulu ndo anatembelea humohumoo.
 
Singida, Kilimanjaro,Arusha, Dar kote huku Lissu atabembea
Umesahau kagera na Mara
.
Kagera wanamsubiri kwa hamu,baada ya kauli chafu na matendo mabaya waliyowahi kuambiwa na kutendewa na yESU baada ya tetemeko kuwaacha vibaya.

Mara wanayakumbuka matendo mema ya TL kuwatetea watu mahakamani kutokana na migogoro ya mwekezaji na wachimbaji wadogo wa madini.

Aliwatetaa bure watu Walioondolewa kwa nguvu kwenye maeneo Yao na wengine kuzikwa wakiwa hai.waliopoteza watoto wao Lisu aliwatetaa bure.
 
Mkuu nimecheka hapa

Lisu Hana mradi wa barabara ,umene Wala maji wa kuonyesha kuwa nichagueni nimefanya haya!!! Anaenda na blabla tupu.

Maguifuli akisimama maneno machache tu mnsona hiyo dispensary nzuri mnapopata huduma za afya ? Kazi yangu hiyo

Mnaona hayo maji ya bomba? Mnaona huo umeme? Mnaona hiyo shule nzuri wananu wanasoma bure? No
Lisu akisimama anaanza porojo nipeni kura kwa kuwa nilikuwa naumwa ubelgiji!!!
Kwamba amefanya kwa pesa za kutoka kwao Burundi?
 
Baada ya ukanda, njoo na udini kisha ukabila mkuu. Imba mashairi yoote ila kipigo mwaka huu hakikwepekiiiiii
Mwambie huyu. Ccm wajiandae tu kukabidhi ikulu kwa Lissu mwaka huu. Sioni namna CCM watamshinda Lissu mwaka huu. Sioni kabisa!!
 
Back
Top Bottom