The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,197
- 14,771
Nawasalimu salaam !
Leo niwasanue sababu kubwa ya mnashangaa kwa nini wakenbya wako walivo halafu sisi tumezubaa .
utajiuliza inakuwaje watekaji wawili wanaenda stendi kisa wamekuja na gari la STJ wanamchukua baba eneo la wazi kama stendi katikati ya wanaume si chini ya 100 na wanaondoka nae,jiulize wezi 20 wenye umri wa miaka 15 hadi 20 wanaojiita panya road wanaisumbua manzese nzima yenya wanaume watu wazima si chini ya 3000.humo kuna wacheza kung fuu ,mafundi gereji,mabaunsa wa baa etc
Ishu ya kina kikwete familia moja kujigawia majimbo kenya au zambia leo serikali ingesha vunjwa ila hapa ndo kwanza tunamuongelea baba level.
LEO NTAWAPA MAJIBU
01: HISTORIA ILIKUWAJE
Nyerere alipoichukua nchi toka kwa mkoloni alikuwa na nia njema 100% ndani ya miaka 10 ya uhuru alifanya maendeleo pengine hayapo hata leo ,nyerere aliweza mpaka kuanzisha viwanda vya magari na viwanda vya vitambaa 80% ya watannzania walivaa nguo made in tanzania za kushonesha kwa mafundi mchundo hawa wa mtaani pia tanzania ilikuwa inaexport vitambaa sio pamba .Kwa kipindi hicho alisaidia kifedha nchi nyingi kupata uhuru ,watu waliogombana na serikali zao kwa udikteta kimbilio lilikuwa Tanzania .Nyerere alikuwa anakutana na malkia elizabeth kalibu kila mwaka
PICHA :nyerere akiwa na malkia elizabeth na prince cherles (ambae ndo mfalme sasa ) ambae nauhakika hajui hata jina wa rais wa sasa Tanzania
02: YALIYOJIRI
Nyerere alikuwa na speed kali sana ya kusomesha watanzania nje ya nchi na kila mahali mpaka mwaka 70 watanzania asilimia 60 walikuwa wanajua kusoma na kuandika kiwango ambacho hata nchi nyingi za ulaya walikuwa hawana na elimu ya Tanzania ilikuwa nzito juu ya kujitambua ,kujitegemea na ujamaa(kuishi kwa kumjali mwenzio kiafrika ) sio leo una ghorofa tatu jirani yako mjane unashindwa hata wasomesha kayumba watoto wa jirani yako.kwa enzi hizo neno MSOMI lilikuwa ni anaejua kusoma na kuandika .waingereza walikuwa rafiki sana na nyerere wakamwambia mkuu weusi usiwape elimu watakuzingua huwa by nature hawakuumbwa kutawaliwa wamezoaea uhuru kama nyani .
03: PALIPOANZA KUAHARIBIKA
Wasomi wakaanza kuwa wengi na raia kujielewa wakaanza kuhoji why nyerere hatachii uongozi ,mfano Tumtemeke sanga alikuwa na degree 7 za masomo tofauti toka vyuo vya ulaya na canada ,alipoulizwa na nyerere apangiwe kazi gani ,alimjibu unatakiwa unipishe mimi ndo niwe rais ,basi nyerere akaanza kuishi kwa mashaka na ashanogewa na ile raha ya urais na heshima anayopewa duniani ( Hii hali anapitia mama yetu na alipitia mbowe unaambiwa utamu wa madaraka yakinoga ni kama kwa mwanaume unapopiga goli sasa vuta picha ule utamu mtu atake kuichomoa ) MSICHOKE WADAU NI CHOMBEZO KIDOGO
Muendelezo utakuwa hivi ntaendelea kesho:
04: MAPINDUZI
05: MSAADA WA UJASUSI WA WAINGEREZA
05: KITABU CHA NJAMA
06: AGANO LA FREEMASON NA NYERERE
07: MADHABAHU YA KICHIFU
08 : SULUHISHO YA YOTE NA HATMA ZILIZOTABILIWA (KIBIBLIA ,MSHEHE MBALIMBALI,WAHUBIRI WALOKOLE,RATIBA ZA MADARAKA ZA KANISA KATOLIKI)
NB: SIUNGAMANI NA SIASA YEYOTE NI KATIKA KUJUZANA AIDHA WAJUZI NAOMBENI MJAZIE NYAMA KWENYE HAYO MATATU NILIYO ANZA NAYO ILI WENZETU WA 2000 TUSIWAACHE NYUMA
PICHA : Nyerere akiwa anapiga umbea na rais wa marekani hapo ni ofisi kwake mezani JF KENNEDY
NALALA