Sababu kuu ya watanzania kuwa MAMBUMBUMBU sio werevu kama wakenya ,na nini cha kufanya

Mkuu hao raila kwao sio kama mwanasiasa wanamwita BABA ni kiongozi wa Kimila anapendwa na watu ni kama SUGU (MBUNGE ALIEWAHI PATA ASILIMIA KUBWA ZA KURA TOKA UHURU) Utasema amejigawia mbeya ? Mrema iringa mjini alikuwa akifika wanambemba kwenye machela mji mzima je na yeye alijigawia iringa? Unauhakika kayumba ni bure au kwa kuwa wako hawasomi,kingine chukua mantiki sio neno nachotaka sema ni '' asili ya muafrika aliyoifundisha na kuienzi nyerere leo haipo ,ongea na watu wenye miaka 50 kwenda juu utagundua asilimia 70% walisomeshwa au walisaidiwa maisha na watu baki hasa majirani .Mtu ww ni tajiri unajua mtaamzima masikini unashindwa hata wagawia walau xmas kila 5 za mchele,mimi nimekuwa miaka ya 80's dar iddi ilikuwa waislamu pilau wanaliweka barazani unajisevia tu leo ikoje ? Tunaishi kwenye mfumo wanaoutaka wazungu nitaeleza ilikuwaje tukawa hivi.
Akina Riala na hao Wengine unaowasema, bora wao wamepata mali na bado wakabakia wazalendo kwa kuwapigania hata hao wanyonge wengine walio wengi ambao hawakuwa na Sauti, na wakahakikisha Katiba Mpya inapatikana na wanakuwa na Mihili yote iliyo huru na yenye kujitegemea. So pamoja na hayo unayojaribu kuwapaka hao Viongozi wana harakati wa Kenya , lakini walifanikisha uptakinaji wa Katiba iliyo Bora na wakaweza kuweka Mamlaka utaratibu ambao Mamlaka inatokana na Wananchi kupitia Kura yao. Na hili ndilo tulitarajia na wewe ulitambue. Hao Viongozi na Familia zao hapa Tanzania ambao wamejilimbikizia Mali mpaka wanakufuru kupeleka Kunyoosha Nguo zao na Kubrush Viatu vyao UK na Dubai, sisi wananchi tusiokuwa na Sauti wametufanyia nini licha ya Kuliibia Taifa hili na kuuza rasilimali zetu nje ? Bora ya hao akina Baba wa ODM na huyo Mkamba KM na hayati Wamalwa wao Kazi yao ilionekana na Mpaka Leo wakenya wanajitambua haki zao na Kura yao ina umuhimu na wanaiheshimu ! OCTOBER TUNATIKI au NRNE ???? !
 
Kaka mbona tuko pamoja hujanielewa tu mm nawaunga mkono hao kina raila 100%
 
Back
Top Bottom