Sababu kuu ya watanzania kuwa MAMBUMBUMBU sio werevu kama wakenya ,na nini cha kufanya

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,197
Reaction score
14,771
Nawasalimu salaam !

Leo niwasanue sababu kubwa ya mnashangaa kwa nini wakenbya wako walivo halafu sisi tumezubaa .

utajiuliza inakuwaje watekaji wawili wanaenda stendi kisa wamekuja na gari la STJ wanamchukua baba eneo la wazi kama stendi katikati ya wanaume si chini ya 100 na wanaondoka nae,jiulize wezi 20 wenye umri wa miaka 15 hadi 20 wanaojiita panya road wanaisumbua manzese nzima yenya wanaume watu wazima si chini ya 3000.humo kuna wacheza kung fuu ,mafundi gereji,mabaunsa wa baa etc

Ishu ya kina kikwete familia moja kujigawia majimbo kenya au zambia leo serikali ingesha vunjwa ila hapa ndo kwanza tunamuongelea baba level.

LEO NTAWAPA MAJIBU


01: HISTORIA ILIKUWAJE
Nyerere alipoichukua nchi toka kwa mkoloni alikuwa na nia njema 100% ndani ya miaka 10 ya uhuru alifanya maendeleo pengine hayapo hata leo ,nyerere aliweza mpaka kuanzisha viwanda vya magari na viwanda vya vitambaa 80% ya watannzania walivaa nguo made in tanzania za kushonesha kwa mafundi mchundo hawa wa mtaani pia tanzania ilikuwa inaexport vitambaa sio pamba .Kwa kipindi hicho alisaidia kifedha nchi nyingi kupata uhuru ,watu waliogombana na serikali zao kwa udikteta kimbilio lilikuwa Tanzania .Nyerere alikuwa anakutana na malkia elizabeth kalibu kila mwaka


PICHA :nyerere akiwa na malkia elizabeth na prince cherles (ambae ndo mfalme sasa ) ambae nauhakika hajui hata jina wa rais wa sasa Tanzania

02: YALIYOJIRI
Nyerere alikuwa na speed kali sana ya kusomesha watanzania nje ya nchi na kila mahali mpaka mwaka 70 watanzania asilimia 60 walikuwa wanajua kusoma na kuandika kiwango ambacho hata nchi nyingi za ulaya walikuwa hawana na elimu ya Tanzania ilikuwa nzito juu ya kujitambua ,kujitegemea na ujamaa(kuishi kwa kumjali mwenzio kiafrika ) sio leo una ghorofa tatu jirani yako mjane unashindwa hata wasomesha kayumba watoto wa jirani yako.kwa enzi hizo neno MSOMI lilikuwa ni anaejua kusoma na kuandika .waingereza walikuwa rafiki sana na nyerere wakamwambia mkuu weusi usiwape elimu watakuzingua huwa by nature hawakuumbwa kutawaliwa wamezoaea uhuru kama nyani .

03: PALIPOANZA KUAHARIBIKA

Wasomi wakaanza kuwa wengi na raia kujielewa wakaanza kuhoji why nyerere hatachii uongozi ,mfano Tumtemeke sanga alikuwa na degree 7 za masomo tofauti toka vyuo vya ulaya na canada ,alipoulizwa na nyerere apangiwe kazi gani ,alimjibu unatakiwa unipishe mimi ndo niwe rais ,basi nyerere akaanza kuishi kwa mashaka na ashanogewa na ile raha ya urais na heshima anayopewa duniani ( Hii hali anapitia mama yetu na alipitia mbowe unaambiwa utamu wa madaraka yakinoga ni kama kwa mwanaume unapopiga goli sasa vuta picha ule utamu mtu atake kuichomoa ) MSICHOKE WADAU NI CHOMBEZO KIDOGO
Muendelezo utakuwa hivi ntaendelea kesho:
04: MAPINDUZI
05: MSAADA WA UJASUSI WA WAINGEREZA
05: KITABU CHA NJAMA
06: AGANO LA FREEMASON NA NYERERE
07: MADHABAHU YA KICHIFU
08 : SULUHISHO YA YOTE NA HATMA ZILIZOTABILIWA (KIBIBLIA ,MSHEHE MBALIMBALI,WAHUBIRI WALOKOLE,RATIBA ZA MADARAKA ZA KANISA KATOLIKI)

NB: SIUNGAMANI NA SIASA YEYOTE NI KATIKA KUJUZANA AIDHA WAJUZI NAOMBENI MJAZIE NYAMA KWENYE HAYO MATATU NILIYO ANZA NAYO ILI WENZETU WA 2000 TUSIWAACHE NYUMA

PICHA : Nyerere akiwa anapiga umbea na rais wa marekani hapo ni ofisi kwake mezani JF KENNEDY

NALALA
 
Kenya Raila kajigawia eneo la Nyanza, ana gombea mtu aliyemkubali tu, ukambani kuna Kalonzo, kwa waluhya kuna mtoto wa kijana wamalwa. Kenya ndio wapumbavu wa kutupwa.

Leo unasema mtu hawezi kusoma shule ya Kayumba? Unajua leo elimu ni bure, tena wazazi wasiopeleka wanafunzi shule wanasakwa ?

Acha mada za kitapeli
 
Mkuu hao raila kwao sio kama mwanasiasa wanamwita BABA ni kiongozi wa Kimila anapendwa na watu ni kama SUGU (MBUNGE ALIEWAHI PATA ASILIMIA KUBWA ZA KURA TOKA UHURU) Utasema amejigawia mbeya ? Mrema iringa mjini alikuwa akifika wanambemba kwenye machela mji mzima je na yeye alijigawia iringa? Unauhakika kayumba ni bure au kwa kuwa wako hawasomi,kingine chukua mantiki sio neno nachotaka sema ni '' asili ya muafrika aliyoifundisha na kuienzi nyerere leo haipo ,ongea na watu wenye miaka 50 kwenda juu utagundua asilimia 70% walisomeshwa au walisaidiwa maisha na watu baki hasa majirani .Mtu ww ni tajiri unajua mtaamzima masikini unashindwa hata wagawia walau xmas kila 5 za mchele,mimi nimekuwa miaka ya 80's dar iddi ilikuwa waislamu pilau wanaliweka barazani unajisevia tu leo ikoje ? Tunaishi kwenye mfumo wanaoutaka wazungu nitaeleza ilikuwaje tukawa hivi.
 
Hapo kwenye elimu umekosea kwani elimu ya Tanganyika ilikuwa inatoka Uingereza na kusahihishwa Uingereza(Kembriji) mpaka pale alipoivuruga kwa UPE. Kwa kifupi nchi zote za Jumuia ya Madola zilikuwa na elimu moja sasa iweje Tanganyika izizidi nchi nyingine za jumuia hiyo!
 
Mbumbumbu ni wewe na ukoo wenu, tatizo lako unaugua maradhi yaitwayo shobo dundo, usipokuwa makini watu watavunja pavements hizo or likely washazivunja tayari.
 
Bora kungekuwa na utawala mmoja mpaka leo ,wakalelea nchi sisi wengine tupige kazi ila huu ujinga wa kuchagua viongozi kila awamu ...Nchi sio ya majaribio ,sio kila mtu atakuwa Rais ,ni better kukubali mtu aongoze hata milele .
 
Kwanza kabisa wewe ndio mbumbumbu hao wakenya unaowasfia ndio wajinga kabisa
Kitu usichokijua wakenya wanapingana sana serikali yao si kwa sababu wanajielewa bali njaa ndio inafanya wakenya waandamane kama wajinga, kenya ndio taifa pekee la East Africa raia wake hawana uhakika wa milo mitatu na binadamu omba akose vitu vyote ila sio msosi atafanya kitu chochote kile.

Ngoja nikupe elimu kidogo jamii yoyote iliyoelimika ni ile inyoweza kutatua changamoto zake kwa njia amani, kusikiliza na na maridhiano
Kinachotokea Kenya ni ujinga wa Hali ya juu kwani hata raia hawajui wanataka nini, wanaandana kuwatoa watawala wanaishia kuumizana wao kwa wao, wanaibiana na kuharibu miundombinu ambayo wao ndio wanaitumia, upuuzi mkubwa kabisa.
 
TUNGETAWALIWA NA WAKOLONI WEUPE TUSINGEKUWA HIVI TULIVYO CHINI YA WAKOLONI WEUSI.
 
Bora kungekuwa na utawala mmoja mpaka leo ,wakalelea nchi sisi wengine tupige kazi ila huu ujinga wa kuchagua viongozi kila awamu ...Nchi sio ya majaribio ,sio kila mtu atakuwa Rais ,ni better kukubali mtu aongoze hata milele .
Kama Uganda, Cameroon na Zimbabwe
 
Watanzania wengi wamefundishwa UNAFIKI kiwango cha kutisha sana. Elimu yetu tangu awali inatufundisha kusujudia mtu na sio self actualization.

Tuna katiba mbovu ambayo ni matokeo ya genge linaloitwa CCM linalolindwa na Mahakama, Polisi, TISS, TAKOKURU na Magereza.

Mfumo wetu ni wa ajabu sana, usitegemee Rais wa Nchi amchague IGP kwa mfano halafu utegemee huyo IGP au Judge atumie akili zake, kamwe atatumia akili za bwaanake.....niendelee?
 
Tusilalamike, hata Katiba yetu inaweka bayana kuwa Mamlaka yote yanatoka kwa Wananchi, so nadhani watawala wanatumia mwanya wa wa Tanzania wengi kutotambua haki na mamlaka yao, kuendelea kuwaendesha watakavyo wao. Kwa wa Kenya, hili walilitambua mapema na wakiwa backed na strong education background, they navigated well their struggles to demand and acquire a strong Constitution with credible and independent Judiciary system. All these can be fought for and realized by the citizens only if when they realize the power bestowed on them, even by the current constitution which we consider weak.
 
Huwezi jua labda hili tamasha la mwenge ndio "linatupooza" wananchi.
 
Huwezi jua labda hili tamasha la mwenge ndio "linatupooza" wananchi.
Lakini pia labda kwanza tuumwe njaa ya kutosha na ugumu wa maisha huku watwala na familia zao wakizidi kuneemeka, ndo wananchi tutafunguka akili na kuzinduka usingizini kudai mabadiliko na mifumo ya utawala inayozingatia matakwa ya wananchi.
 
kumbe wenye akili bado hamjafa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…