Sababu kuu za Mwakinyo kufungiwa kupigana tena Uingereza

Kama begi lilikua na makabrasha ya mizimu a.k.a ushirikina, alifikaje mpka huko? Begi si linakaguliwa at every point?
Ndiyo maana kafungiwa Uingereza! Mitambo ya ukaguzi inatofautiana!
 
Hii Pig imeudhi sana watu. Kama vipi hata Bodi ya michezo ya ngumi Tanzania walifungie tu nalo jinga sana hili.

Uswahili uswahili kila mahali tu, Pumbafu kabisa

Unajifanya unauchungu sana wakati umemjua huyo mwakinyo baada ya jitihada zake mwenyewe hata hao unaowaona wana maana sijui bodi ya ngumi hakuwahi msaidia kwa lolote. Binadamu ebu tuache unafiki jamani daah
 
Unajifanya unauchungu sana wakati umemjua huyo mwakinyo baada ya jitihada zake mwenyewe hata hao unaowaona wana maana sijui bodi ya ngumi hakuwahi msaidia kwa lolote. Binadamu ebu tuache unafiki jamani daah
We usie na uchungu Kwa akili Yako unaona ni sawa tu alichofanya Mwakinyo?

Ulitaka nimjue baada ya jitihada za nani?
 
T Tatizo la watu wa Tanga kuamini kuwa hawawezi kufanya jambo lolote bila kuvaa madude au kujipaka au kuoga madawa ndio kilichomponza. Naamini baada ya begi lake ambalo ndio alikuwa ameweka makorokocho hao ndio sababu ya kufanya asitishe mchezo na wala sii kuhongwa kwa vyovyote vile. Hii tabia watu wengi wa pwani wanazo hata makazini lazima ajipake sijui madude gani yana harufu fulani eti yawaondolee mabalaa, eti yavutie riziki eti asikoromewe na bosi hata kama anafanya vimbwanga
 
Amefungiwa(suspended) kwa sababu alipoteza kwa TKO.
Ulichoandika hapo ni uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…