Sababu kuu za Mwakinyo kufungiwa kupigana tena Uingereza

Sababu kuu za Mwakinyo kufungiwa kupigana tena Uingereza

Ikiwa sababu namba 2 ni kweli kama ulivyoainisha hapo juu je! adhabu ya huyo bondia Muingereza ni ipi? Maana kuuza na kununua pambamo yote ni makosa.
 
Ikiwa sababu namba 2 ni kweli kama ulivyoainisha hapo juu je! adhabu ya huyo bondia Muingereza ni ipi? Maana kuuza na kununua pambamo yote ni makosa.
Na yeye kuwa suspended kwa muda
 
Ina maana kila bondia akipoteza kwa TKO anafungiwa? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Ndio sheria za ngumi uingereza ukipigwa KO unatakiwa upumzike kwa muda fulani kabla hujapigana tena. Siyo kama kwetu Manonga anapigana kila mwezi hata kama kapigwa
 
T
Tatizo la watu wa Tanga kuamini kuwa hawawezi kufanya jambo lolote bila kuvaa madude au kujipaka au kuoga madawa ndio kilichomponza. Naamini baada ya begi lake ambalo ndio alikuwa ameweka makorokocho hao ndio sababu ya kufanya asitishe mchezo na wala sii kuhongwa kwa vyovyote vile. Hii tabia watu wengi wa pwani wanazo hata makazini lazima ajipake sijui madude gani yana harufu fulani eti yawaondolee mabalaa, eti yavutie riziki eti asikoromewe na bosi hata kama anafanya vimbwanga
Punguza chuki Mshamba
 
Hilo tatizo la kiafy lenye kuhatarisha uhai wake na wa wengine ni nini? Au Ebola?
 
Back
Top Bottom