Sababu kuu za Mwakinyo kufungiwa kupigana tena Uingereza

Ikiwa sababu namba 2 ni kweli kama ulivyoainisha hapo juu je! adhabu ya huyo bondia Muingereza ni ipi? Maana kuuza na kununua pambamo yote ni makosa.
 
Ikiwa sababu namba 2 ni kweli kama ulivyoainisha hapo juu je! adhabu ya huyo bondia Muingereza ni ipi? Maana kuuza na kununua pambamo yote ni makosa.
Na yeye kuwa suspended kwa muda
 
Ina maana kila bondia akipoteza kwa TKO anafungiwa? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Ndio sheria za ngumi uingereza ukipigwa KO unatakiwa upumzike kwa muda fulani kabla hujapigana tena. Siyo kama kwetu Manonga anapigana kila mwezi hata kama kapigwa
 
Punguza chuki Mshamba
 
Hilo tatizo la kiafy lenye kuhatarisha uhai wake na wa wengine ni nini? Au Ebola?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…