Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #181
Sayansi inathibitishaje unabii wa mtu,nikikupa Aya ya Qur'an 19:41-50 kuonesha Musa,Ibrahim nk ni manabii wa Allah
Kumbe yesu mtu na sio Mungu ....hapo sawaMimi ni Muislamu LAKINI amini nakwambia achana kabisa na huyo mtu aitwae Yesu. He is something else.
Yesu atabaki kuwa Yesu.
Kuhusu Wayahudi kutokumkubali isikuchanganye SANA mkuu, hata Yesu mwenyewe alisha sema Nabii hakubaliki kwao.
Kwa hiyo waislam wamezitoa wapi hizo nguzo tano?Hakuna nguzo za uislam zilizotajwa kwenye Qur'an,Ila mtua anayeamini mungu mmoja,manabii tangu Adam mpaka Muhammad,anaamini maisha baada ya kifo na malipo(akhera) huyo ni muislam
Na hii ndiyo maana halisi ya IMANI. mimi huwa nasemaga mara nyingi inapokuja swala la IMANI kila mtu huzungumza lugha yake. KWA kiasi kikubwa wayahudi wamebase kwenye old testament. Pia wengine kwenye new testament hii ndiyo inafanya kuwa na denominations nyingi ndani ya ukristo.Nyuzi za hivi hata ujibiwe namna gani, ligi itaendelea tu.
Tuwaache wayahudi na dini yao ya kiyahudi.
Mkiri kristo rohoni mwako si lazima mpaka uone wayahudi wamemkubali na wewe ndio umkubali.
Ubin wa Musa unauangaliaje kisayansi!?...ukitaja Musa Ibrahim hamjui na ukitaja Ibrahim Musa hamjui,sababu hayo majina ni ya kiarabu,hata neno Allah ni kiarabu,Ila ukitaja Allah Kama concept ya uungu Musa na Ibrahim wanamjua na ndiye mungu wao wapekee,mmoja,mwenye wivu ambaye wao walijisalimisha(silimu) kwakeSayansi inathibitisha Kwa kuangalia ubin wa manabii husika.
Sasa Quran haiwezi kuthibitisha manabii wa Kiyahudi ambao Mungu wao sio Allah Bali Yehova,
Allah Nabii wake ni Muhammad pekee.
Ukitaja Allah hata Musa au Ibrahim hamjui, wao wanamjua Yehova.
Waulize hao waislam Aya inayotaja nguzo za uislam,wakikupa nionesheKwa hiyo waislam wamezitoa wapi hizo nguzo tano?
sasa hapa ndio utanithibitishia kuwa hata wewe sio muislam
Bible is a nice story book that african have accidentally took it so serous
Ubin wa Musa unauangaliaje kisayansi!?...ukitaja Musa Ibrahim hamjui na ukitaja Ibrahim Musa hamjui,sababu hayo majina ni ya kiarabu,hata neno Allah ni kiarabu,Ila ukitaja Allah Kama concept ya uungu Musa na Ibrahim wanamjua na ndiye mungu wao wapekee,mmoja,mwenye wivu ambaye wao walijisalimisha(silimu) kwake
Waulize hao waislam Aya inayotaja nguzo za uislam,wakikupa nioneshe
Waulize hao waislam Aya inayotaja nguzo za uislam,wakikupa nioneshe
kumbe unatega!!..yaani lengo lako kubishana,ndiyo mama huwa unarukaruka kihoja,hakuna Aya kwenye Qur'an inayotaja nguzo za uislam ni Tano Ila hekima za wanazuoni ndiyo wakakusanya nguzo za uislam na nguzo za Imani,wewe hoja huna,unapenda kuandika magazeti juu ya mambo ambayo huyajui,upo shallowWewe kama unasema uislam hauna nguzo tano sidhani kama hata unaweza kujadili hoja hapa. Maana huujui hata huo uislam.
Nafikiri Kwa vile unakimbia mitego Kwa Makusudi, umeamua uufanye uislam ni uongo Kwa kusema hauna nguzo tano ili kuukwepa mtego naona nikuache
kumbe unatega!!..yaani lengo lako kubishana,ndiyo mama huwa unarukaruka kihoja,hakuna Aya kwenye Qur'an inayotaja nguzo za uislam ni Tano Ila hekima za wanazuoni ndiyo wakakusanya nguzo za uislam na nguzo za Imani,wewe hoja huna,unapenda kuandika magazeti juu ya mambo ambayo huyajui,upo shallow
Sababu wanaofuata mafundisho ya manabii wa AllahHata Wayahudi wanaamini Mungu ni mmoja.
Kwa hiyo kifo ni nguzo ya uislam162. Sema: Hakika Sala yangu, na ibada zangu, na uhai wangu, na kufa kwangu, ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote. 163. Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu. (Wa ' Ana ' Awwalu Al- Muslimin ). S. 6:161-163
Sema (Ewe Muhammad): Hakika Mimi nimeamrishwa nimuabudu Mwenyezi Mungu, kwa kumsafishia Dini Yeye ( tu ). Na nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wale ambao ni Waislamu ( kujisalimisha kwake ). S. 39:11-12
Tuisikilize Quran au tukusikilize Wewe?
Maana muanzilishi WA uislam ni Muhammad, Ipo hivyo sasa Kwa vile wewe sio muislam huwezi kujua hili.
Ni sawasawa na Ukristo. Umeanza Baada ya Kristo.
Kusema Ukristo ulikuwepo kipindi cha Cha Adamu ni dalili ya MTU mjinga asiyeweza kufikiri na kuchambua mambo
Upo shallow au tuseme huiamini Qur'an,na zaidi hujataka kukielewa...huwa najiuliza ikiwa na wewe ni muajiriwa wa jf kwa namna unavyoanzisha nyuzi nyingi na kubishana(siyo kujadiliana kwa hoja) Kama wenzio mshana Jr na erythrocyteSasa kama unasema manabii wa kiisrael ATI ni waislam, Wakati inafahamika ni Wayahudi, Mimi na wewe Nani yupo shallow?
Kweli mkuu na ubaya/uzuri hakuna kikosacho ushahidi. Kila watu wataleta ushahidi mzuri tu. Mtatifuana wee mwisho wa siku hamna ataeelimika wala kubadili imani ya mwingine zaidi zaidi kuongezeana hasira na chuki.Na hii ndiyo maana halisi ya IMANI. mimi huwa nasemaga mara nyingi inapokuja swala la IMANI kila mtu huzungumza lugha yake. KWA kiasi kikubwa wayahudi wamebase kwenye old testament. Pia wengine kwenye new testament hii ndiyo inafanya kuwa na denominations nyingi ndani ya ukristo. Kuna watu wanatafsiri zao kuhusu no 666 mfano mzuri kuna mmoja atasema ni mpinga kristo, mwingine ellen, mwingine papa mwingine nero caesar. Na hawa wote wanakuletea na ushahidi wao. Hao wayahudi waendelee kuamini ivo ivo regardless kwamba ndio chimbuko au vipi swala la IMANI kila mtu ana lugha yake
Kwa nini swali lako linauliza "aliyeumba"?Aliueumba limwengu(universe) na vilivyomo nani!?..yaani aliyemuumba wewe nani!?..ilikuaje ukawepo ikiwa unaasadiki hukuumbwa!?
Ok,universe ilitoka wapi?..wewe na viumbe wengine mmetoka wapi?Kwa nini swali lako linauliza "aliyeumba"?
Huoni kwamba unauliza swali ukiwa na jibu lako mfukoni tayari?
Mkuu,Ok,universe ilitoka wapi?..wewe na viumbe wengine mmetoka wapi?