Sababu kuu zenye Mantiki zilizowafanya na zinazowafanya Wayahudi wengi Wasimuamini Yesu Kristo

Sababu kuu zenye Mantiki zilizowafanya na zinazowafanya Wayahudi wengi Wasimuamini Yesu Kristo

Sayansi inathibitishaje unabii wa mtu,nikikupa Aya ya Qur'an 19:41-50 kuonesha Musa,Ibrahim nk ni manabii wa Allah

Sayansi inathibitisha Kwa kuangalia ubin wa manabii husika.

Sasa Quran haiwezi kuthibitisha manabii wa Kiyahudi ambao Mungu wao sio Allah Bali Yehova,
Allah Nabii wake ni Muhammad pekee.
Ukitaja Allah hata Musa au Ibrahim hamjui, wao wanamjua Yehova.
 
Mimi ni Muislamu LAKINI amini nakwambia achana kabisa na huyo mtu aitwae Yesu. He is something else.
Yesu atabaki kuwa Yesu.

Kuhusu Wayahudi kutokumkubali isikuchanganye SANA mkuu, hata Yesu mwenyewe alisha sema Nabii hakubaliki kwao.
Kumbe yesu mtu na sio Mungu ....hapo sawa
 
Hakuna nguzo za uislam zilizotajwa kwenye Qur'an,Ila mtua anayeamini mungu mmoja,manabii tangu Adam mpaka Muhammad,anaamini maisha baada ya kifo na malipo(akhera) huyo ni muislam
Kwa hiyo waislam wamezitoa wapi hizo nguzo tano?

sasa hapa ndio utanithibitishia kuwa hata wewe sio muislam
 
Nyuzi za hivi hata ujibiwe namna gani, ligi itaendelea tu.

Tuwaache wayahudi na dini yao ya kiyahudi.
Mkiri kristo rohoni mwako si lazima mpaka uone wayahudi wamemkubali na wewe ndio umkubali.
Na hii ndiyo maana halisi ya IMANI. mimi huwa nasemaga mara nyingi inapokuja swala la IMANI kila mtu huzungumza lugha yake. KWA kiasi kikubwa wayahudi wamebase kwenye old testament. Pia wengine kwenye new testament hii ndiyo inafanya kuwa na denominations nyingi ndani ya ukristo.

Kuna watu wanatafsiri zao kuhusu no 666 mfano mzuri kuna mmoja atasema ni mpinga kristo, mwingine ellen, mwingine papa mwingine nero caesar. Na hawa wote wanakuletea na ushahidi wao. Hao wayahudi waendelee kuamini ivo ivo regardless kwamba ndio chimbuko au vipi swala la IMANI kila mtu ana lugha yake
 
Sayansi inathibitisha Kwa kuangalia ubin wa manabii husika.

Sasa Quran haiwezi kuthibitisha manabii wa Kiyahudi ambao Mungu wao sio Allah Bali Yehova,
Allah Nabii wake ni Muhammad pekee.
Ukitaja Allah hata Musa au Ibrahim hamjui, wao wanamjua Yehova.
Ubin wa Musa unauangaliaje kisayansi!?...ukitaja Musa Ibrahim hamjui na ukitaja Ibrahim Musa hamjui,sababu hayo majina ni ya kiarabu,hata neno Allah ni kiarabu,Ila ukitaja Allah Kama concept ya uungu Musa na Ibrahim wanamjua na ndiye mungu wao wapekee,mmoja,mwenye wivu ambaye wao walijisalimisha(silimu) kwake
 
Wewe kama unasema uislam hauna nguzo tano sidhani kama hata unaweza kujadili hoja hapa. Maana huujui hata huo uislam.

Nafikiri Kwa vile unakimbia mitego Kwa Makusudi, umeamua uufanye uislam ni uongo Kwa kusema hauna nguzo tano ili kuukwepa mtego naona nikuache
 
Waulize hao waislam Aya inayotaja nguzo za uislam,wakikupa nioneshe

162. Sema: Hakika Sala yangu, na ibada zangu, na uhai wangu, na kufa kwangu, ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote. 163. Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu. (Wa ' Ana ' Awwalu Al- Muslimin ). S. 6:161-163
Sema (Ewe Muhammad): Hakika Mimi nimeamrishwa nimuabudu Mwenyezi Mungu, kwa kumsafishia Dini Yeye ( tu ). Na nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wale ambao ni Waislamu ( kujisalimisha kwake ). S. 39:11-12

Tuisikilize Quran au tukusikilize Wewe?

Maana muanzilishi WA uislam ni Muhammad, Ipo hivyo sasa Kwa vile wewe sio muislam huwezi kujua hili.

Ni sawasawa na Ukristo. Umeanza Baada ya Kristo.
Kusema Ukristo ulikuwepo kipindi cha Cha Adamu ni dalili ya MTU mjinga asiyeweza kufikiri na kuchambua mambo
 
Wewe kama unasema uislam hauna nguzo tano sidhani kama hata unaweza kujadili hoja hapa. Maana huujui hata huo uislam.

Nafikiri Kwa vile unakimbia mitego Kwa Makusudi, umeamua uufanye uislam ni uongo Kwa kusema hauna nguzo tano ili kuukwepa mtego naona nikuache
kumbe unatega!!..yaani lengo lako kubishana,ndiyo mama huwa unarukaruka kihoja,hakuna Aya kwenye Qur'an inayotaja nguzo za uislam ni Tano Ila hekima za wanazuoni ndiyo wakakusanya nguzo za uislam na nguzo za Imani,wewe hoja huna,unapenda kuandika magazeti juu ya mambo ambayo huyajui,upo shallow
 
Sasa kama unasema manabii wa kiisrael ATI ni waislam, Wakati inafahamika ni Wayahudi, Mimi na wewe Nani yupo shallow?
 
Nina maswali mengi sana ya kujiuliza katika kichwa changu anyway ngoja nikasome bible kwanza then I'll be back [emoji1667]
 
162. Sema: Hakika Sala yangu, na ibada zangu, na uhai wangu, na kufa kwangu, ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote. 163. Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu. (Wa ' Ana ' Awwalu Al- Muslimin ). S. 6:161-163
Sema (Ewe Muhammad): Hakika Mimi nimeamrishwa nimuabudu Mwenyezi Mungu, kwa kumsafishia Dini Yeye ( tu ). Na nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wale ambao ni Waislamu ( kujisalimisha kwake ). S. 39:11-12

Tuisikilize Quran au tukusikilize Wewe?

Maana muanzilishi WA uislam ni Muhammad, Ipo hivyo sasa Kwa vile wewe sio muislam huwezi kujua hili.

Ni sawasawa na Ukristo. Umeanza Baada ya Kristo.
Kusema Ukristo ulikuwepo kipindi cha Cha Adamu ni dalili ya MTU mjinga asiyeweza kufikiri na kuchambua mambo
Kwa hiyo kifo ni nguzo ya uislam
 
Sasa kama unasema manabii wa kiisrael ATI ni waislam, Wakati inafahamika ni Wayahudi, Mimi na wewe Nani yupo shallow?
Upo shallow au tuseme huiamini Qur'an,na zaidi hujataka kukielewa...huwa najiuliza ikiwa na wewe ni muajiriwa wa jf kwa namna unavyoanzisha nyuzi nyingi na kubishana(siyo kujadiliana kwa hoja) Kama wenzio mshana Jr na erythrocyte
 
Na hii ndiyo maana halisi ya IMANI. mimi huwa nasemaga mara nyingi inapokuja swala la IMANI kila mtu huzungumza lugha yake. KWA kiasi kikubwa wayahudi wamebase kwenye old testament. Pia wengine kwenye new testament hii ndiyo inafanya kuwa na denominations nyingi ndani ya ukristo. Kuna watu wanatafsiri zao kuhusu no 666 mfano mzuri kuna mmoja atasema ni mpinga kristo, mwingine ellen, mwingine papa mwingine nero caesar. Na hawa wote wanakuletea na ushahidi wao. Hao wayahudi waendelee kuamini ivo ivo regardless kwamba ndio chimbuko au vipi swala la IMANI kila mtu ana lugha yake
Kweli mkuu na ubaya/uzuri hakuna kikosacho ushahidi. Kila watu wataleta ushahidi mzuri tu. Mtatifuana wee mwisho wa siku hamna ataeelimika wala kubadili imani ya mwingine zaidi zaidi kuongezeana hasira na chuki.
 
Aliueumba limwengu(universe) na vilivyomo nani!?..yaani aliyemuumba wewe nani!?..ilikuaje ukawepo ikiwa unaasadiki hukuumbwa!?
Kwa nini swali lako linauliza "aliyeumba"?

Huoni kwamba unauliza swali ukiwa na jibu lako mfukoni tayari?
 
Ok,universe ilitoka wapi?..wewe na viumbe wengine mmetoka wapi?
Mkuu,

Unajua hata wewe kuwa na swali ambalo hujui jibu, au hatukubaliani jibu, ni ushahidi kwamba hakuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?

Angekuwepo Mungu huyo, wote tungekuwa na perfect knowledge.

Regardless ya ulimwengu ulipotoka, ulimwengu ulivyo, unavyoruhusu mabaya, unaonesha kwamba haujaumbwa na Mungu huyo.

Ungekuwa umeumbwa na Mungu huyo, usingeruhusu mabaya.

Halafu, swali lako la "ulimwengu umetoka wapi", kama ni muhimu sana, litakuja kutuonesha kwamba hakuna Mungu.

Kwa sababu, kama kila kitu ni lazima kitoke "wapi" fulani, hata huyo Mungu naye nitakuuliza hivyo hivyo.

Mungu katoka wapi?
 
Back
Top Bottom