Sababu kuu zenye Mantiki zilizowafanya na zinazowafanya Wayahudi wengi Wasimuamini Yesu Kristo

Mkuu,

Unajua hata wewe kuwa na swali ambalo hujui jibu, au hatukubaliani jibu, ni ushahidi kwamba hakuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?

Angekuwepo Mungu huyo, wote tungekuwa na perfect knowledge.

Regardless ya ulimwengu ulipotoka, ulimwengu ulivyo, unavyoruhusu mabaya, unaonesha kwamba haujaumbwa na Mungu huyo.

Ungekuwa umeumbwa na Mungu huyo, usingeruhusu mabaya.

Halafu, swali lako la "ulimwengu umetoka wapi", kama ni muhimu sana, litakuja kutuonesha kwamba hakuna Mungu.

Kwa sababu, kama kila kitu ni lazima kitoke "wapi" fulani, hata huyo Mungu naye nitakuuliza hivyo hivyo.

Mungu katoka wapi?
Mwanzo nilitaja neno 'muumba' kwenye hoja yangu,ukadai Nina majibu mfukoni,nikauliza universe na wewe na viumbe wengine wametoka wapi,Sasa hivi wewe ndiyo umeleta neno mungu muumba wa kila kitu.

Mimi naomba nijibu tu universe na wewe na Mammalia wenzio mmepatikana vipi!?..wewe ni mtu wa hoja,jibu..ni swali fupi Wala halihitaji 'gazeti'...hayo uliyoorodhesha ni hoja nyingine
 
Mwanzo nilitaja neno 'muumba' kwenye hoja yangu,ukadai Nina majibu mfukoni,nikauliza universe na wewe na viumbe wengine wametoka wapi,Sasa hivi wewe ndiyo umeleta neno mungu muumba wa kila kitu,Mimi naomba nijibu tu universe na wewe na Mammalia wenzio mmepatikana vipi!?..wewe ni mtu wa hoja,jibu..ni swali fupi Wala halihitaji 'gazeti'...hayo uliyoorodhesha ni hoja nyingine
Nakwambia hivi, hata kama nikikujibu kwamba sijui, unaelewa jibu hilo linaonesha kwamba Mungu hayupo?

Nakwambia hivi, kama unaona hilo swali la "katoka wapi?" ni muhimu sana, hata nikikwambia wametoka kwa Mungu, nikikuuliza Mungu naye katoka wapi huwezi kunijibu jibu la kueleweka?

Nakwambia hivi, unajua kwamba naweza kujua kwamba hivyo vitu vyote havijatoka kwa Mungumuweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote, hata kama sijui vimetoka wapi?

Nakwambia hivi, naweza kujua kwamba mwanamme wa miaka 30 leo, haiwezekani kwamba mama yake mzazi awe ni binti mchanga mwenye miezi 6 leo, hata kama sijui mama mzazi wa huyu mwanamme ni nani?

Mimi nakwambia, mwanamme wa miaka 30 leo, hawezi kuwa na mamamzazi binti mchanga wa miezi 6 leo, huyo mama mzazi wa hivyo hayupo, ni hadithi tu.

Unaniuliza, sasa mama mzazi wa huyu mwanamme ni nani?

Mimi sijasema namjua mama mzazi wa huyu mwanamme mwenye miaka 30. Na wala sihitaji kumjua ili kuelewa kwamba, mama mzazi wa huyu mwanamme mwenye iaka 30 hawezi kuwa binti mchanga mwenye miezi 6 leo.

Sihitaji kujua ulimwengu umeanza vipi ili kujua kwamba haujaanza na Mungu, ambaye hayupo.

Sihitaji kujua square root ya 2 ili kujua kwamba 10 si square root ya 2.

10 is on the wrong side of the number line to be the square root of 2.

Just as God is on the wrong side of logic to exist.

But I really don't expect you to understand that.

Our educational system is doing us a disservice.

Usikute nakuambua square root wakati hata hujui square root ni nini.
 
Insha za nini ndugu,si unijibu vimetoka wapi!?..Kama hujui si useme tu hujui vimetoka wapi!!!
 
Yani post hii tu ushaona insha?

Nikikwambia sijui, halafu nikakuuliza kama swali la kutoka wapi ni muhimu hivyo, na ni kitu cha lazima kutoka sehemu, nikikuuliza, Mungu naye katoka wapi, utajibu vipi?
 
Mbona unakimbilia kwenye Mungu usiyemtaka,na kwa nini unapaparika kwenye mjadala!?
 
Unafahamu immanent critique ni nini?

Wewe unasema Mungu yupo, halafu unakataa maswali kuhusu Mungu ambaye unasema yupo? Kwa nini?
 
Hatujafika kwenye Mungu yupo,sababu ulimkataa tangu swali langu la kwanza,nikamtoa...Kama unataka twende kwenye Mungu twende
 
Tufanye kama vile mimi nataka kukukubalia hoja yako kwamba Mungu yupo.

Ila, kabla ya kukukubalia nina maswali nataka kujiridhisha.

Kwa sababu wewe mwenyewe umelifanya swali la "vitu hivi vimetoka wapi?" kuwa ni swali muhimu sana.

Na mimi nalitumia swali hilo hilo kwako.

Mungu katoka wapi? Kawepo kivipi?
 
ili ujue Mungu katoka wapi basi ni lazima umjue na umuamini kwanza
 
Kwa kufuata mantiki hiyo, na mimi naweza kusema kuwa ili ujue Mungu hayupo, ni lazima uamini hilo kwanza.

Hoja yako ina circular reasoning, logical fallacy ya a priori reasoning.

You are putting the cart before the horse.

Mimi nakuuliza Mungu katoka wapi ili nimjue, wewe unanijibu ili nimjue inanibidi nimjue kwanza.

What kind of nonsense is that?
 
Nikinukuu Aya ya Qur'an kuhusu asili ya mungu utakubali au yanipasa kukuaminisha kwanza kwamba Kuna mungu ili nikinukuu Aya ya Qur'an iukubali/amini!?
 
Quran ina contradiction kedekede, za wazi kabisa.

Kwa nini nikubali aya ya Quran kama uthibitisho kwamba kuna Mungu, wakati aya za Quran zenyewe zinapingana na kuonesha Quran ni kitabu kilichoandikwa na watu tu, tena katika zama za ujinga?
 
Mwanzo nilikwambia unapaparika kwenye mjadala,unarukaruka Sana hutulii kwenye hoja moja...nikikuomba hizo contradictions na nikaziweka sawa utarkia jingine
 
Nimepaparika wapi? Kivipi? Thibitisha.

Unaelewa kwamba wewe unaweza kuona napaparika, kumbe mimi naenda deep zaidi kwenye mada?

Wewe tu ndiyo uwezo wako wa kuelewa mdogo?
 
Unarukaruka hutulii kwenye hoja moja,haya lete contradictions za Qur'an inazodai zipo
Unaelewa kwamba wewe unaweza kuona napaparika, kumbe mimi naenda deep zaidi kwenye mada?

Na wewe tu ndiyo uwezo wako wa kuelewa mdogo?
 
Upeo wa kwenda deep kwenye mada huna
 
Upeo wa kwenda deep kwenye mada huna
Hujaeleza kwa mantiki na mfano kuonesha upeo wa kwenda deep kwenye mada sina.

Hujaonesha nilipopaparika ni wapi.

Mimi nimeonesha kwamba upeo wako mdogo, kwa sababu huelewi logical fallacy, huelewi a priori reasoning, huelewi circular logic, huelewi immanent critique, huelewi kwamba ukiuliza ulimwengu umetokea wapi unajifunga kuulizwa Mungu katokea wapi.

Huelewi hata kwamba kutumia Quran kama kigezo ni argument from tradition, argument from dictionary na argument from authority, zote hizo ni logical fallacies.

Huelewi hata logical fallacy ni nini.

Sasa hapo una depth gani?
 
Back
Top Bottom