LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Nasikia kuna breaking news kwamba eti Yanga wamerejesha fedha zilizo lipwa na Fei ili Fei aendelee kucheza Yanga.
Ni utoto huu. Mashabiki wa Yanga tayari wamesha Kubali kuondoka kwa Fey.
Kama kuna mtu yupo nyuma ya sakata la Fei kwa ajili ya kuwa push viongozi Yanga wa muongezee Fey mshahara BASI atambue kwamba tayari amesha mtenegenezea Fei ubaya na mashabiki wa Yanga.
Blv me kama Fei atabaki Yanga BASI hatopendwa tena na mashabiki wa Yanga kwa kiwango kile kile alicho kuwa anapendwa kabla ya sakata. Kuna kitu kipya tayari kimezaliwa ndani ya nafsi za mashabiki wa Yanga kuhusu Fei ambacho hakipo in favour of Fei.
So Fei bora uende zako tu Azam . Yanga mashabiki hawana tena furaha na wewe.
Azam wakitaka wakutoe Simba kwa mkopo.