Sababu kwanini Fei hapaswi kucheza tena Yanga baada ya sakata lake la Azam

Sababu kwanini Fei hapaswi kucheza tena Yanga baada ya sakata lake la Azam

Hivi unaamini kabisa kuwa Yanga hawakutaka kumuongezea fei hata senti... Siamini kabisa hilo... Ila fei walio nyuma yake walimfanya akose subra... Subra ni jambo la maana sana...
Leo ana kiwango kizuri unaona ni sawa yeye kusubiri, Kesho akiwa na kiwango kibovu Subra itatumika? Aachwe akazoe fedha Yanga ipo itapata mwingine.
 
Ye anataka hela hizo kambi kwani yeye hana nyumba??
Si ndiyo maana anaenda Azam?
Hakuna tatizo. Ila hawezi kulipwa kama Aucho na Yanga, kwa sababu rumewwkeza wake hatujamchukua akiwa kwenye level aliyo nayo.
 
Back
Top Bottom