Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala hakuna kitu Kama Cha kuchukiwa na mashabiki Mbona bm33 alienda mpka cas na bado wanampendaNasikia kuna breaking news kwamba eti Yanga wamerejesha fedha zilizo lipwa na Fei ili Fei aendelee kucheza Yanga.
Ni utoto huu. Mashabiki wa Yanga tayari wamesha Kubali kuondoka kwa Fey.
Kama kuna mtu yupo nyuma ya sakata la Fei kwa ajili ya kuwa push viongozi Yanga wa muongezee Fey mshahara BASI atambue kwamba tayari amesha mtenegenezea Fei ubaya na mashabiki wa Yanga.
Blv me kama Fei atabaki Yanga BASI hatopendwa tena na mashabiki wa Yanga kwa kiwango kile kile alicho kuwa anapendwa kabla ya sakata. Kuna kitu kipya tayari kimezaliwa ndani ya nafsi za mashabiki wa Yanga kuhusu Fei ambacho hakipo in favour of Fei.
So Fei bora uende zako tu Azam . Yanga mashabiki hawana tena furaha na wewe.
Azam wakitaka wakutoe Simba kwa mkopo.
Maneno mengi alafu hela hawana!!!![emoji23]sasa ukisikia wanavyozungumza kuhusu basi la simba utasema wana pesa,mil16 hela ya ist inawashinda kengemavi hawaWekeni mil 16 mezani
Asijifanye mwamba.Aliondoka Said Mwamba Kizota pia bila kumsahau Mohamed Husssein
BAADA YA KUONA BARUA BINAFSI YA FEITOTO... NI WAZI SASA NAFSI YANGU IMETULIZANA NA NAMTAKIA KILA LA KHERI HUKO ANAPOKWENDA...
ILA NAMTAHADHARIA AWE MAKINI NA WALIO NYUMA YAKE KUMPUSH... KWA SABABU NDIO WALEWALE WALIOMPUSH AJIBU, GADIEL MICHAEL NA WENGINE KAMA NGASA... ILA MWISHO WA SIKU NDIO HAO WANAOMSEMA NI MZEMBE MAZOEZINI... HAWAPO NAE TENA...
LENGO LA MACHAWA WANAOMSUKUMA NI KUIDHOOFISHA YANGA SI MASLAHI YA FEITOTO... HILO LIPO WAZI...
MWISHO BASI KILA LA KHERI KIJANA WETU... TULIKUPENDA SANA NA TULIKUFANYA HAPA YANGA WEWE NDIO MWENYE YANGA YAKE...
UMEONDOKA MUDA AMBAO TULIKUHITAJI ZAIDI... ILA KILA LA KHERI ACHA MAISHA YAENDELEE.
Hivi unaamini kabisa kuwa Yanga hawakutaka kumuongezea fei hata senti... Siamini kabisa hilo... Ila fei walio nyuma yake walimfanya akose subra... Subra ni jambo la maana sana...Kama kuna watu wana mpush Fei Toto hao watu wanamtakia mema Fei toto.
Mtu gani anakataa ajira mpya yenye mkataba mnono na mshahara mara 3 ya ajira yako ya mwanzo?
Wachezaji mpira ni kazi yao ya kuwapa ugali... why akatae malisho mazuri?
Hivi unaamini kabisa kuwa Yanga hawakutaka kumuongezea fei hata senti... Siamini kabisa hilo... Ila fei walio nyuma yake walimfanya akose subra... Subra ni jambo la maana sana...
Naona unajaribu kuhadaa na kudanganya watu mchana kutwaamekosea kuvunja mkataba kwa kanuni za fifa,ili uvunje mkataba ni lazima mambo haya yawe yamefanyika:
1.hujalipwa mshahara kwa miezi 3 mfululizo
2.hajapangwa mfululizo kwenye mechi 10,hivyo vyote havijafanyika
Gongowazi wapumbavu sana hawajajifunza kitu kwa ishu ya MorrisonNasikia kuna breaking news kwamba eti Yanga wamerejesha fedha zilizo lipwa na Fei ili Fei aendelee kucheza Yanga.
Ni utoto huu. Mashabiki wa Yanga tayari wamesha Kubali kuondoka kwa Fey.
Kama kuna mtu yupo nyuma ya sakata la Fei kwa ajili ya kuwa push viongozi Yanga wa muongezee Fey mshahara BASI atambue kwamba tayari amesha mtenegenezea Fei ubaya na mashabiki wa Yanga.
Blv me kama Fei atabaki Yanga BASI hatopendwa tena na mashabiki wa Yanga kwa kiwango kile kile alicho kuwa anapendwa kabla ya sakata. Kuna kitu kipya tayari kimezaliwa ndani ya nafsi za mashabiki wa Yanga kuhusu Fei ambacho hakipo in favour of Fei.
So Fei bora uende zako tu Azam . Yanga mashabiki hawana tena furaha na wewe.
Azam wakitaka wakutoe Simba kwa mkopo.
Ngasa alienda Azam, kwani alipata Nini?
Makambo alienda Horoya
Ajibu naye yupo wapi?
Chirwa?
Pamoja na bidii yake, Yanga nayo imewekeza kwa Fei kufikia hapa. Makocha wazuri, Kambi nzuri na mapenzi ya washabiki huko ni kuwekeza.
Aliondoka Said Mwamba Kizota pia bila kumsahau Mohamed Husssein
[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwenye suala la sheria yanga mwanasheria wake ni mweupe kama rim hajawahi kushinda hta kesi moja toka nimfahamu akiwa yanga