Sababu kwanini siwezi kuoa mwanamke ambae hana degree

Mwanaume wewe.Pambana Utafute ...kutegemea kuoa Degree ndo ufanikiwe ni Ujinga wa mwisho Mdogo wangu
 
Ukiona mwanamke ana degree maana yake ni kwamba mwanamke huyo ni mvumilivu na amevumilia mambo mengi sana.

Kapambana na umande wa shule ya msingi kapambana kuanzia form one hadi form six na kikubwa zaidi kapambana na changamoto zote za chuo kikuu kuanzia mwaka wa kwanza hadi anamaliza.

Hakika mwanamke huyu ni mvumilivu na ana staili kuwa mke wa ndoa.

Kama ameweza kustahimili changamoto zote za chuo hawezi shindwa stahimili changamoto za ndoa na maisha kwa ujumla.
Nani kagudanganya.waliosoma ivo ni wa miaka ya 90. Saivi kusoma ni Kazi rahisi mnoo.
Ukitaka mvumilivu tafta mbagaizaji aliefeli shule hutajuta wanaelewa moto wa maisha ulivomkali
 
Unaongelea watoa mimba.. au / msisahau kupima uzito
 
Nani kagudanganya.waliosoma ivo ni wa miaka ya 90. Saivi kusoma ni Kazi rahisi mnoo.
Ukitaka mvumilivu tafta mbagaizaji aliefeli shule hutajuta wanaelewa moto wa maisha ulivomkali
Umesoma chuo gani mkuu?/Anyways sio wote..
 
Hakuna kitu kama hicho unajidanganya sana ndoa za wasomi ndio za kwanza kupagaranyika kwanza Ego inatusumbua na huu ujinga wa haki sawa unatupotosha sana wanawake, ndoa na elimu ni tasnia tofauti mbili hazitegemeani mbina mababu zetu waliweza kuishi kipindi hiko hawajui kusoma wala kuandika na wamezeeka kwa furaha na upendo
 
Ukiona mwanamke ana degree maana yake ni kwamba mwanamke huyo ni mvumilivu na amevumilia mambo mengi sana.

Kapambana na umande wa shule ya msingi kapambana kuanzia form one hadi form six na kikubwa zaidi kapambana na changamoto zote za chuo kikuu kuanzia mwaka wa kwanza hadi anamaliza.

Hakika mwanamke huyu ni mvumilivu na ana staili kuwa mke wa ndoa.

Kama ameweza kustahimili changamoto zote za chuo hawezi shindwa stahimili changamoto za ndoa na maisha kwa ujumla.
Unazungumzia wanawake walosoma shule gan??

Sasa amini kuna wanawake wana degree nahawajui kupika,na ukimuudhi tu anaenda kukusema kwa wazazi wake....ivi watoto wa st.Joseph..feza marian, n.k uko baadae wamemaliza madegree yao , unahisi utawaweza?? Na wamevumilia nn sasa hapo?? Km kusoma nilazima wasome maana bila kusoma utafel tuu.

Mie mwanamke nitaangalia kitu kidogo sana , Ni mwema kwangu??? ...ndio maana namdharau mtu ikiwa mbele yangu ataleta umachinooo kisa amepewa hiki cheeeeeee.

Hii mambo ni Kuomba upate mtu sahihi.
 
Kwa jinsi nilivyoyaona maisha ya chuoni yalivyo hakika wana uvumilivu sana. Utakuta mwanamke(mwanafunzi) anakaa na jamaa(mwanafunzi pia) kama mke na mume walio ndoani vile baaada ya chuo kufunga kila mtu na njia yake hali huwa hivyo pia wakimaliza chuo.
 
Bff wa maza[emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom