Sababu mbalimbali zinazopelekea Mjamzito kutokwa damu ukeni

Sababu mbalimbali zinazopelekea Mjamzito kutokwa damu ukeni

Dam inatoka nyingi kama breed tumbo lnauma nmeenda Jana dispensari nkapewa amoxilin parasetam phenobubitc cjui na salbutunal majina soon vzury mwandiko wa kdaktar bt naomben msaada pia inawezekana motto akawa mzima?
 
Habari za asubuhi wanajamvini nilienda clinic wakanicheck Dr. akaniambia inabidi nichukue Bed Rest ndio nimeanza hvy! Nawashukuru wote kwa ushauri wenu, barikiweni saaana
Habari dear,mm ni mjamzito na yananikuta kama yako,naomba kujua ilikuwaje kuhusu ujauzito wako😥😭
 
Back
Top Bottom