Sababu nne(4) za msingi kwanini siwezi kutumia simu za Samsung (scumsung)

Sababu nne(4) za msingi kwanini siwezi kutumia simu za Samsung (scumsung)

Hapo ndipo Samsung wanapofeli, wanashindwa kuzipa thamani flagship zao kwa kurusu simu cheap kwenye brand yao.
Ni sawa tu na Azam kutengeneza maandazi na kuyauza kwa watu wa kipato cha chini. Lengo ni kuhakikisha kila mtu anayeitamani nembo ya Azam anaipata bila kujali kipato. Ni mbinu za kibiashara. Wewe nunua kile unaona kinakufaa kulingana na pesa yako. Same for Samsung.
 
beautiful-young-woman-her-graduation-party_23-2149106121.jpg
863430e045bf63e73324079e2a3dda43.jpg
 
Scumsung!!

SomeThug

ScumBag

ScreamSung

...

simu ni itel tu!

mimi na itel ya milioni 8 ina ram 8gb na storage 512gb camera 72megapixel na betri 9200mAh.

Inakaa na chaji siku 8
Ndio uliyokuwa unaitumia kurecord wale 400 nini mkuu?
 
Kwa sisi ambao simu ni kupiga, kupokea, kusoma ujumbe kama whatsapp na kuingia JF maisha ni mepesi mno.
 
Nimekuja kufanya ubabe hapa lakini naona umeanza kwa kuomba msamaha kwa kuzitoa simu zangu za Samsung kwenye hii habari.

Siku nyingine andika kwenye heading kabisa nisisumbuke kuingia.
Lile li utralako unasubir ku upgrate mwakani s25 ultra, kama nakiona ulivyo wahii😂
 
Ww pocco hamna simu mule acha kutisha watu
Poco hamna simu kwa misingi ipi? Inafurahisha Poco F5 ya laki 5 na nusu inashinda Samsung Galaxy A55 ya laki 9.
Eleza kwa nini umesema Poco hamna simu mule, nataka nione point yako
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Wewe ukiwa na tatizo la kutoweza kununua Samsung flagship, ukaishia kununua simu za Samsung za kajambanani, hapo tatizo si Samsung.

Tatizo ni wewe umeshindwa kununua Samsung flagship.

Samsung ina simu kwa kila mtu na bajeti yake.

Sasa, kama wewe bajeti yako ya simu ni ndogo, huwezi kununua Samsung flagship, hapo tatizo ni wewe kuwa na bajeti ndogo, tatizo si Samsung.
 
Poco hamna simu kwa misingi ipi? Inafurahisha Poco F5 ya laki 5 na nusu inashinda Samsung Galaxy A55 ya laki 9.
Eleza kwa nini umesema Poco hamna simu mule, nataka nione point yako
Nikupe laki 5 na nusu uniletee F5!?
 
Wewe ukiwa na tatizo la kutoweza kununua Samsung flagship, ukaishia kununua simu za Samsung za kajambanani, hapo tatizo si Samsung.

Tatizo ni wewe umeshindwa kununua Samsung flagship.

Samsung ina simu kwa kila mtu na bajeti yake.

Sasa, kama wewe bajeti yako ya simu ni ndogo, huwezi kununua Samsung flagship, hapo tatizo ni wewe kuwa na bajeti ndogo, tatizo si Samsung.
Wengine flagship wanazionaga kwenye picha tu mtandaoni😂
 
Naomba mnielewe hapa sizungumzii Samsung flagships kama s24, s24 ultra no. Mostly "A" series.

Zifuatazo ni sababu kwanini siwezi kutumia samsung mid rangers.

1. Design mbovu: hawa jamaa ubunifu sifuri wanatengeneza simu zenye muonekano wa mwaka 1990 hata tecno anawazidi.
  • Bezels nene(ufito wa pembeni wa simu)mfano A15, A25,A 34: simu nyingi za sasa hivi ni less bezels au bezel less kabisa.
  • Mwaka 2023/2024 kutengeneza simu yenye water drop notch kama A16 ni uongo simu nyingi sasa hivi zina punch hole.
  • Simu nene(8.2mm): sasa hivi makampuni mengi yanatengeneza simu nyembamba (7.7mm au 7.8mm)
2. Storage ndogo: Amini usiamini hawa jamaa mwaka huu 2024 wametoa simu inaitwa A16 ina ram 4gb.hata wachovu Tecno mwaka huu base smartphone yao ina 8gb ram na 256gb rom.

3. Betri ndogo: Hawa jamaa ni kawaida tu kutengeneza simu yenye betri 3900mahz halafu hyo simu wakaiuza milioni 2.

4. Screen resolution ndogo 1080×2340: Hawa jamaa simu zao zote zinazouzwa chini ya milioni screen resolution ni moja
Wee mwehu!
 
Nikupe laki 5 na nusu uniletee F5!?
Usinipe hela, nunua mwenyewe hapa

Sio Poco F5 pekee, Poco F6 ni bei sawa na Galaxy A55 ila angalia comparison ya hizo simu uone tofauti kati ya simba na paka. Samsung ambazo ni worth it ni hizo S series tu. Huku Tz tunanunua A series kwa sababu ndio chaguo tulilo nalo na ukizingatia Xiaomi hazipo official Tanzania. Soko letu sio pana sana ila inapokuja suala ya value for money hizo A series mnaziendekeza sana. Nini sababu ya kuweka chipset ya Exynos 1480 kwenye simu ya laki 9, au kwa sababu kila mtu atanunua kisa ni Samsung?
 
Wewe ukiwa na tatizo la kutoweza kununua Samsung flagship, ukaishia kununua simu za Samsung za kajambanani, hapo tatizo si Samsung.

Tatizo ni wewe umeshindwa kununua Samsung flagship.

Samsung ina simu kwa kila mtu na bajeti yake.

Sasa, kama wewe bajeti yako ya simu ni ndogo, huwezi kununua Samsung flagship, hapo tatizo ni wewe kuwa na bajeti ndogo, tatizo si Samsung.
Midrange za Samsung zioo nyuma ukilinganisha na simu nyingine za bei hiyo.
Sijui kwa nini unatetea wakati kampuni inayotengeneza hizo simu ni Samsung hao hao. Kwa hiyo kwa kuwa unatengeneza flagship nzuri ndio uboronge kwenye midrange? Don't get me wrong, midrange zao sio mbaya ila zipo behind competition. Huku bongo kununua A series ni sahihi kwa sababu hatuna machaguo mengi. Ila kwenye soko la simu huko duniani competition ni very tight
 
Back
Top Bottom