Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Cha msingi ni ku avoid A series unless sio power userS21
na
S23
Ni simu na nusu. Ukipata Ultra ndio unyama zaidi
S21 battery life inazingua, S22 Ultra, S23 zote, S24 zote ni simu na nusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha msingi ni ku avoid A series unless sio power userS21
na
S23
Ni simu na nusu. Ukipata Ultra ndio unyama zaidi
Wewe unayeijua dunia unasupport horrible specs kwa high prices? Nini maana ya kujua dunia sasa kama unasupport hizo anti-consumer moves?
Unaweza ukawa Marekani na bado usiijue dunia kwa sababu Marekani sio dunia
Pesa ikikaa vema nadaka 22U nimeona pahala 1.3mCha msingi ni ku avoid A series unless sio power user
S21 battery life inazingua, S22 Ultra, S23 zote, S24 zote ni simu na nusu
Original used phone🤣Usinipe hela, nunua mwenyewe hapa
![]()
Xiaomi POCO F5 5G Smartphone Akkukapazität 5000 mAh 64 MP Kamera CPU Snapdragon 7+ Gen 2 Original gebrauchtes Telefon - AliExpress 509
Smarter Shopping, Better Living! Aliexpress.coma.aliexpress.com
Sio Poco F5 pekee, Poco F6 ni bei sawa na Galaxy A55 ila angalia comparison ya hizo simu uone tofauti kati ya simba na paka. Samsung ambazo ni worth it ni hizo S series tu. Huku Tz tunanunua A series kwa sababu ndio chaguo tulilo nalo na ukizingatia Xiaomi hazipo official Tanzania. Soko letu sio pana sana ila inapokuja suala ya value for money hizo A series mnaziendekeza sana. Nini sababu ya kuweka chipset ya Exynos 1480 kwenye simu ya laki 9, au kwa sababu kila mtu atanunua kisa ni Samsung?
Sasa unaanza drama. Unapretend kama una support sana watu kuwa na uhuru na hutaki hata niponde A series. Kwani sina uhuru wa kuzi bash hizo simu? Au uhuru maana yake ni nini. Wewe kama hupendi Apple na huziongelei ni wewe. Usitake na mimi niwe kama wewe, Kila mtu ana maisha yake. Mnajifanya mnajua sana maisha ila kiuhalisia unachokijua ni maisha yako wewe tu, sio ya mwingine.Consumer gani?
Sija support lolote zaidi ya uhuru wa kila mtu kuchagua anachotaka na makampuni kutengeneza simu wanavyotaka, wewe hujui kusoma kwa ufahamu tu.
Nimekwambia boycott Samsung nenda huko ambako wanajali hizo simu nyingine.
Make a statement with your money instead of bitching bitterly online.
And know that not everything is for you.
Kwani lazima utumie simu ya Samsung?
Mimi mbona sipendi simu za Apple na wala sijaona haja ya kuanzisha uzi wa kuzi bash simu za Apple hapa?
Unajua kwa nini sianzishi uzi huo?
Kwa sababu najua simu za Apple hazijatengenezwa kwa ajili yangu, na kuna watu zinawafaa vizuri tu wanazipenda. Mimi nimejua simu ninayoipenda ni Samsung.
Sasa kwa nini unalazimisha simu za Samsung ziwe unavyotaka wewe wakati Samsung wenyewe hawataki hivyo?
Mimi na ultra kifupi nimekuona ww ZUZU NENE tu. Hizo A series zililetwa kuwakumbuka infinix ,itel na Tecno nao angalau wabonye SamsungNimekuja kufanya ubabe hapa lakini naona umeanza kwa kuomba msamaha kwa kuzitoa simu zangu za Samsung kwenye hii habari.
Siku nyingine andika kwenye heading kabisa nisisumbuke kuingia.
Nasema hivi, wewe unawapangia Samsung wafanye vipi biashara yao.Sasa unaanza drama. Unapretend kama una support sana watu kuwa na uhuru na hutaki hata niponde A series. Kwani sina uhuru wa kuzi bash hizo simu? Au uhuru maana yake ni nini. Wewe kama hupendi Apple na huziongelei ni wewe. Usitake na mimi niwe kama wewe, Kila mtu ana maisha yake. Mnajifanya mnajua sana maisha ila kiuhalisia unachokijua ni maisha yako wewe tu, sio ya mwingine.
Usitake kila mtu awe kama wewe, tutolee ulimbukeni hapa
Somo kubwa hapa ni kwamba usilazimishe kwenda nyumba ambayo haikutaki uitembelee.Mimi na ultra kifupi nimekuona ww ZUZU NENE tu. Hizo A series zililetwa kuwakumbuka infinix ,itel na Tecno nao angalau wabonye Samsung
Original used phone🤣
Nani ananinyima uhuru wa kukosoa bei za Samsung? Au ni wewe?Nasema hivi, wewe unawapangia Samsung wafanye vipi biashara yao.
Huna uhuru huo.
Una uhuru wa kukataa simu za Samsung na kuchagua nyingine.
Processor ya hz 2.91 laki 6 sio bure![]()
Global ROM Xiaomi Redmi Note 12 Turbo 5G Snapdragon 7+ Gen 2 6,67
Smarter Shopping, Better Living! Aliexpress.coma.aliexpress.com
Una uhuru wa kukosoa bei unavyotaka lakini huna uhuru wa kupanga bei unavyotaka.Nani ananinyima uhuru wa kukosoa bei za Samsung? Au ni wewe?
Sorry ila hatuishi kwa sheria na misingi yako. Hiyo baki nayo wewe mimi sijilimit kiasi hicho, ninaongea ninachoona kinafaa kuongelewa kwa upande wangu. Na jambo jema huku ni JF sio hata yako
Ni bora kuliko Exynos 1480 ya kwenye simu expensive zaidi ya hiyoProcessor ya hz 2.91 laki 6 sio bure
Kuna raia kubadili maamuzi aliyonayo ni ngumu sanaUna uhuru wa kukosoa bei unavyotaka lakini huna uhuru wa kupanga bei unavyotaka.
Kubali tu kuwa Samsung si simu yako.
Kwani usipotumia Samsung utakufa?
Tafuta pesa..SAMSUNG A series ni Tecno iliyochangamkaNaomba mnielewe hapa sizungumzii Samsung flagships kama s24, s24 ultra no. Mostly "A" series.
Zifuatazo ni sababu kwanini siwezi kutumia samsung mid rangers.
1. Design mbovu: hawa jamaa ubunifu sifuri wanatengeneza simu zenye muonekano wa mwaka 1990 hata tecno anawazidi.
2. Storage ndogo: Amini usiamini hawa jamaa mwaka huu 2024 wametoa simu inaitwa A16 ina ram 4gb.hata wachovu Tecno mwaka huu base smartphone yao ina 8gb ram na 256gb rom.
- Bezels nene(ufito wa pembeni wa simu)mfano A15, A25,A 34: simu nyingi za sasa hivi ni less bezels au bezel less kabisa.
- Mwaka 2023/2024 kutengeneza simu yenye water drop notch kama A16 ni uongo simu nyingi sasa hivi zina punch hole.
- Simu nene(8.2mm): sasa hivi makampuni mengi yanatengeneza simu nyembamba (7.7mm au 7.8mm)
3. Betri ndogo: Hawa jamaa ni kawaida tu kutengeneza simu yenye betri 3900mahz halafu hyo simu wakaiuza milioni 2.
4. Screen resolution ndogo 1080×2340: Hawa jamaa simu zao zote zinazouzwa chini ya milioni screen resolution ni moja
Ila kuna simu zinashinda Samsung (naongelea A series) kuanzia processor, camera, display, performance nk na zinauzwa bei sawa na hiyo hiyo Samsung.Kuna raia kubadili maamuzi aliyonayo ni ngumu sana
Kuna mtu anasoma specifications za tecno kwenye box anaona simu bora kumbe imeandikwa 16gb ram ukiingia kwenye benchmark unakuta 6gb ram
Lkn anaponda samsung yenye 8gb ram kuwa simu yake bei ndogo lkn specs kubwa na anaanza kuponda mtu wa samsung kuwa amepigwa kisa jina.
KKujishaua tu na huna kitu kichwan. Eti storage ndogo kama una pesa si ukanunue custom made??
Hii series ya A ni hovyo kabisa.Naomba mnielewe hapa sizungumzii Samsung flagships kama s24, s24 ultra no. Mostly "A" series.
Zifuatazo ni sababu kwanini siwezi kutumia samsung mid rangers.
1. Design mbovu: hawa jamaa ubunifu sifuri wanatengeneza simu zenye muonekano wa mwaka 1990 hata tecno anawazidi.
2. Storage ndogo: Amini usiamini hawa jamaa mwaka huu 2024 wametoa simu inaitwa A16 ina ram 4gb.hata wachovu Tecno mwaka huu base smartphone yao ina 8gb ram na 256gb rom.
- Bezels nene(ufito wa pembeni wa simu)mfano A15, A25,A 34: simu nyingi za sasa hivi ni less bezels au bezel less kabisa.
- Mwaka 2023/2024 kutengeneza simu yenye water drop notch kama A16 ni uongo simu nyingi sasa hivi zina punch hole.
- Simu nene(8.2mm): sasa hivi makampuni mengi yanatengeneza simu nyembamba (7.7mm au 7.8mm)
3. Betri ndogo: Hawa jamaa ni kawaida tu kutengeneza simu yenye betri 3900mahz halafu hyo simu wakaiuza milioni 2.
4. Screen resolution ndogo 1080×2340: Hawa jamaa simu zao zote zinazouzwa chini ya milioni screen resolution ni moja
Sure. A series ni simu za kawaida sanaTafuta pesa..SAMSUNG A series ni Tecno iliyochangamka
Watu wengine wanapenda sana kujimwambafy kupanga bei kwenye biashara za watu ambazo hawazijui, hawazitolei ruzuku, na hawajalazimishwa kununua vitu.Kuna raia kubadili maamuzi aliyonayo ni ngumu sana
Kuna mtu anasoma specifications za tecno kwenye box anaona simu bora kumbe imeandikwa 16gb ram ukiingia kwenye benchmark unakuta 6gb ram
Lkn anaponda samsung yenye 8gb ram kuwa simu yake bei ndogo lkn specs kubwa na anaanza kuponda mtu wa samsung kuwa amepigwa kisa jina.
Kwa uelewa wangu kujimwambafy ni kuita watu masikini mitandaoni na kuwaambia watu unahesabu nyumba Marekani, tena kwenye mada inayohusu simu, sio hata mada ya maisha. Such an irrelevant pointWatu wengine wanapenda sana kujimwambafy kupanga bei kwenye biashara za watu ambazo hawazijui, hawazitolei ruzuku, na hawajalazimishwa kununua vitu.