Sababu nne(4) za msingi kwanini siwezi kutumia simu za Samsung (scumsung)

Hapo ndipo Samsung wanapofeli, wanashindwa kuzipa thamani flagship zao kwa kurusu simu cheap kwenye brand yao.
Ni sawa tu na Azam kutengeneza maandazi na kuyauza kwa watu wa kipato cha chini. Lengo ni kuhakikisha kila mtu anayeitamani nembo ya Azam anaipata bila kujali kipato. Ni mbinu za kibiashara. Wewe nunua kile unaona kinakufaa kulingana na pesa yako. Same for Samsung.
 
Scumsung!!

SomeThug

ScumBag

ScreamSung

...

simu ni itel tu!

mimi na itel ya milioni 8 ina ram 8gb na storage 512gb camera 72megapixel na betri 9200mAh.

Inakaa na chaji siku 8
Ndio uliyokuwa unaitumia kurecord wale 400 nini mkuu?
 
Kwa sisi ambao simu ni kupiga, kupokea, kusoma ujumbe kama whatsapp na kuingia JF maisha ni mepesi mno.
 
Nimekuja kufanya ubabe hapa lakini naona umeanza kwa kuomba msamaha kwa kuzitoa simu zangu za Samsung kwenye hii habari.

Siku nyingine andika kwenye heading kabisa nisisumbuke kuingia.
Lile li utralako unasubir ku upgrate mwakani s25 ultra, kama nakiona ulivyo wahii😂
 
Ww pocco hamna simu mule acha kutisha watu
Poco hamna simu kwa misingi ipi? Inafurahisha Poco F5 ya laki 5 na nusu inashinda Samsung Galaxy A55 ya laki 9.
Eleza kwa nini umesema Poco hamna simu mule, nataka nione point yako
 
Reactions: Cyb
Wewe ukiwa na tatizo la kutoweza kununua Samsung flagship, ukaishia kununua simu za Samsung za kajambanani, hapo tatizo si Samsung.

Tatizo ni wewe umeshindwa kununua Samsung flagship.

Samsung ina simu kwa kila mtu na bajeti yake.

Sasa, kama wewe bajeti yako ya simu ni ndogo, huwezi kununua Samsung flagship, hapo tatizo ni wewe kuwa na bajeti ndogo, tatizo si Samsung.
 
Poco hamna simu kwa misingi ipi? Inafurahisha Poco F5 ya laki 5 na nusu inashinda Samsung Galaxy A55 ya laki 9.
Eleza kwa nini umesema Poco hamna simu mule, nataka nione point yako
Nikupe laki 5 na nusu uniletee F5!?
 
Wengine flagship wanazionaga kwenye picha tu mtandaoni😂
 
Wee mwehu!
 
Nikupe laki 5 na nusu uniletee F5!?
Usinipe hela, nunua mwenyewe hapa


Sio Poco F5 pekee, Poco F6 ni bei sawa na Galaxy A55 ila angalia comparison ya hizo simu uone tofauti kati ya simba na paka. Samsung ambazo ni worth it ni hizo S series tu. Huku Tz tunanunua A series kwa sababu ndio chaguo tulilo nalo na ukizingatia Xiaomi hazipo official Tanzania. Soko letu sio pana sana ila inapokuja suala ya value for money hizo A series mnaziendekeza sana. Nini sababu ya kuweka chipset ya Exynos 1480 kwenye simu ya laki 9, au kwa sababu kila mtu atanunua kisa ni Samsung?
 
Midrange za Samsung zioo nyuma ukilinganisha na simu nyingine za bei hiyo.
Sijui kwa nini unatetea wakati kampuni inayotengeneza hizo simu ni Samsung hao hao. Kwa hiyo kwa kuwa unatengeneza flagship nzuri ndio uboronge kwenye midrange? Don't get me wrong, midrange zao sio mbaya ila zipo behind competition. Huku bongo kununua A series ni sahihi kwa sababu hatuna machaguo mengi. Ila kwenye soko la simu huko duniani competition ni very tight
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…