Sababu nne(4) za msingi kwanini siwezi kutumia simu za Samsung (scumsung)

Wewe unayeijua dunia unasupport horrible specs kwa high prices? Nini maana ya kujua dunia sasa kama unasupport hizo anti-consumer moves?
Unaweza ukawa Marekani na bado usiijue dunia kwa sababu Marekani sio dunia

Consumer gani?

Sija support lolote zaidi ya uhuru wa kila mtu kuchagua anachotaka na makampuni kutengeneza simu wanavyotaka, wewe hujui kusoma kwa ufahamu tu.

Nimekwambia boycott Samsung nenda huko ambako wanajali hizo simu nyingine.

Make a statement with your money instead of bitching bitterly online.

And know that not everything is for you.

Kwani lazima utumie simu ya Samsung?

Mimi mbona sipendi simu za Apple na wala sijaona haja ya kuanzisha uzi wa kuzi bash simu za Apple hapa?

Unajua kwa nini sianzishi uzi huo?

Kwa sababu najua simu za Apple hazijatengenezwa kwa ajili yangu, na kuna watu zinawafaa vizuri tu wanazipenda. Mimi nimejua simu ninayoipenda ni Samsung.

Sasa kwa nini unalazimisha simu za Samsung ziwe unavyotaka wewe wakati Samsung wenyewe hawataki hivyo?
 
Original used phone🤣
 
Sasa unaanza drama. Unapretend kama una support sana watu kuwa na uhuru na hutaki hata niponde A series. Kwani sina uhuru wa kuzi bash hizo simu? Au uhuru maana yake ni nini. Wewe kama hupendi Apple na huziongelei ni wewe. Usitake na mimi niwe kama wewe, Kila mtu ana maisha yake. Mnajifanya mnajua sana maisha ila kiuhalisia unachokijua ni maisha yako wewe tu, sio ya mwingine.
Usitake kila mtu awe kama wewe, tutolee ulimbukeni hapa
 
Nimekuja kufanya ubabe hapa lakini naona umeanza kwa kuomba msamaha kwa kuzitoa simu zangu za Samsung kwenye hii habari.

Siku nyingine andika kwenye heading kabisa nisisumbuke kuingia.
Mimi na ultra kifupi nimekuona ww ZUZU NENE tu. Hizo A series zililetwa kuwakumbuka infinix ,itel na Tecno nao angalau wabonye Samsung
 

Attachments

  • 20241121_150036.jpg
    827.3 KB · Views: 3
Nasema hivi, wewe unawapangia Samsung wafanye vipi biashara yao.

Huna uhuru huo.

Una uhuru wa kukataa simu za Samsung na kuchagua nyingine.
 
Mimi na ultra kifupi nimekuona ww ZUZU NENE tu. Hizo A series zililetwa kuwakumbuka infinix ,itel na Tecno nao angalau wabonye Samsung
Somo kubwa hapa ni kwamba usilazimishe kwenda nyumba ambayo haikutaki uitembelee.

Hiyo ni tabia mbaya.

Utaanza kusikia tu "leo kuna kiingilio cha kuingilia nyumba hii, leo hupewi hata maji nyumba hii bila kulipia".

Akufukuzaye, hakwambii toka, utaona mambo yanabadilika.

Kama mnaona Samsung inawapunja, ondokeni tu muende sehemu ambayo mnapendwa.

Kwani lazima mtumie simu za Samsung?
 
Nasema hivi, wewe unawapangia Samsung wafanye vipi biashara yao.

Huna uhuru huo.

Una uhuru wa kukataa simu za Samsung na kuchagua nyingine.
Nani ananinyima uhuru wa kukosoa bei za Samsung? Au ni wewe?
Sorry ila hatuishi kwa sheria na misingi yako. Hiyo baki nayo wewe mimi sijilimit kiasi hicho, ninaongea ninachoona kinafaa kuongelewa kwa upande wangu. Na jambo jema huku ni JF sio hata yako
 
Una uhuru wa kukosoa bei unavyotaka lakini huna uhuru wa kupanga bei unavyotaka.

Kubali tu kuwa Samsung si simu yako.

Kwani usipotumia Samsung utakufa?
 
Una uhuru wa kukosoa bei unavyotaka lakini huna uhuru wa kupanga bei unavyotaka.

Kubali tu kuwa Samsung si simu yako.

Kwani usipotumia Samsung utakufa?
Kuna raia kubadili maamuzi aliyonayo ni ngumu sana

Kuna mtu anasoma specifications za tecno kwenye box anaona simu bora kumbe imeandikwa 16gb ram ukiingia kwenye benchmark unakuta 6gb ram

Lkn anaponda samsung yenye 8gb ram kuwa simu yake bei ndogo lkn specs kubwa na anaanza kuponda mtu wa samsung kuwa amepigwa kisa jina.
 
Tafuta pesa..SAMSUNG A series ni Tecno iliyochangamka
 
Ila kuna simu zinashinda Samsung (naongelea A series) kuanzia processor, camera, display, performance nk na zinauzwa bei sawa na hiyo hiyo Samsung.
Achana na hizo Tecno zinazoandikwa 16GB RAM kumbe kiuhalisia ni 8GB plus 8GB expanded RAM. Zipo simu ambazo zinafanya vizuri kuliko A series kwenye real life performance kwa bei sawa
 
Kujishaua tu na huna kitu kichwan. Eti storage ndogo kama una pesa si ukanunue custom made??
K Hii series ya A ni hovyo kabisa.
 
Watu wengine wanapenda sana kujimwambafy kupanga bei kwenye biashara za watu ambazo hawazijui, hawazitolei ruzuku, na hawajalazimishwa kununua vitu.
 
Watu wengine wanapenda sana kujimwambafy kupanga bei kwenye biashara za watu ambazo hawazijui, hawazitolei ruzuku, na hawajalazimishwa kununua vitu.
Kwa uelewa wangu kujimwambafy ni kuita watu masikini mitandaoni na kuwaambia watu unahesabu nyumba Marekani, tena kwenye mada inayohusu simu, sio hata mada ya maisha. Such an irrelevant point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…