Sababu tano za kufa kwa Bongo movie

Sababu tano za kufa kwa Bongo movie

Kipaji bila elimu, kujituma na kujitambua huishia majuto tu
Bongo movi wapo wapo tu hawana mbele wala nyuma
 
[emoji3] [emoji2] nimecheka
Usicheke mkuu, sababu alizotoa mkuu ni za maana sana kuunga mkono point no.5. Nilipochangia awali nimesema walipoamua kujiunga upande Fulani waliangalia faida ya muda mfupi bila kujua upande wa pili ndiko walipo washabiki wao wengi, hili lilikuwa kosa la kuanza mradi bila tathmini. Nimetoa mfano wa RAY alivyotangatanga Mara huku kesho kule. Ni kweli ukichukua uelewa na mwenendo wa maisha ya wale mil.8 utagundua asilimia kubwa hawana mpango na teknolojia mpya, sijui movie, sijui online TV.
 
Nimecheka kwa sababu uliyosems ndiyo uhalisia ni kweli tupu
 
Kumbuka Nollwood ambae ana elimu ndogo ni degree moja. Ijapokuwa Hollywood kuna ambao hawana elimu, lakini hii tansia ilianza kabla ya karne ya 19, lakini bado wanaangalia vipaji. Hapa nyumbani kuna watu wenye vipaji kama Mercy Johnson ambao wana fit kila sehemu. Na pia kuna wengine wana fit sehemu moja tu. Tatizo wao wanaweza kumuweka sehemu ambayo hafit hivyo anaonekana si muigizaji.
Mambo ya msingi sana hayo
Hapa Bongo wanafit sehemu zote kitu ambacho haliwezekani kwa actors wengi
 
Taarabu imefariki, dans imefariki singeli imefarik siku chache tu baada ya kuzaliwa bongo movie pia imefariki kitambo hiki kinachotusumbua ni ghost tu ya bongo movie ila yenyewe wala haipo bongo fleva ina survive sababu iko dynamic sana wana adapt changes fasta katika huu ulimwengu ambao uko very dynamic ukiwa conservative lazima uta dance tu out of tune
haina haja ya kutumia nguvu ya maandamano kwa hili beat limewaacha tiari wajaribu kuanza upya au waje tu tulime tu kuna maisha nje ya ustaa
 
I salute you mkuu.
 
Fair ground ya soko ni lazima kwanini wengine walipe kodi wengine wasilipe? Kwa sab wanauza cd za korea zenye ubora na utaalam mkubwa?
....Take it from me issue hasa siyo fare ground but rather the quality of the work. Kuna jamaa mmoja muuza supu ya mbuzi Turiani,wanamuita Massawe, huyo jamaa pamoja na mazingira ya sehemu ya biashara kuwa very local, lakini kwa ubora wa supu yake Turiani nzima hana mpinzani,hata wenye mahoteli hawamuwezi, wateja wake daily ni foleni.
Binafsi alipokufa Kanumba hadi leo si mpenzi tena wa Bongo movie...angalau yeye alithubutu kwa ubunifu na hilo la kutumiwa na vyama vya siasa ndo wameharibu kabisaaaa.
 
Akili na kuingiza industry kwenye Siasa hizi ndio factor kubwa sana zilizo UA bongo movie,,Akili inabeba mambo mengi sana(Ngono,ubinafsi na mengineyo),juzi hapa wameandamana ule no ujinga wa halo ya juu wameshindwa kutambua walipokosea inamaana mpaka Leo hawajui no wapi walipo jikwaa mpaka wanaandamana eti usawa wa biashara mkiambiwa biashara no ubunifu jamaa wamebuni kuandamana kwenda kwa bashite yaani Hawa akili zao no matope yaliyo jaa kambale.
Yaani zero brain inashauri zero brains.Kwa umri wa Bongo movie, walitakiwa wawe wanatuma wasanii kwenye nchi zilizoendelea kwenye sanaa kwa njia ya kujifunza.
Walitakiwa wawe na shule nyingi za kuibua vipaji.Yaani wao wapo wapo tu bila kujua watajinasua vipi kwenye huo mkwamo.
 
[[Wakati bongo movie iko juu, kazi za nje hazikuwapo!? Kwa nini kelele ziwepo sasa!?

Sababu zako zina ukweli kwa kiasi kikubwa lkn hakuna ubabe unaotumika kulazimisha kazi zao zinunuliwe bali wanataka fair ground ya kuuzia kazi zao. Kwa mfano maduka ya kkoo wamefunga wenyewe ili wapaze sauti zao kwa serikali.
 
Kodi ni kisingizio tu!wanasema fumbo mfumbie mjinga , mwerevu hung'amua.

Fair ground ya soko ni lazima kwanini wengine walipe kodi wengine wasilipe? Kwa sab wanauza cd za korea zenye ubora na utaalam mkubwa?
 
[[Wakati bongo movie iko juu, kazi za nje hazikuwapo!? Kwa nini kelele ziwepo sasa!?
Kazi za nje hazikuwa zinadurufiwa kwa wingi wa sasa. Lkn lililamikiwa na wasanii siku nyingi.isipokuwa serikali imechukua action.ssss baada ya mjadala wa muda mrefu na kutungs seta rasmi ya sanaa. Lkn pia kuchelees kushughulikia jambo.sio justification ya kutolishughulikia for good
 
umesahau sababu moja, kwa sababu wewe mwenye akili hujataka kufanya basi ndo maana wajinga wanafanya! Hii ni true sehemu nyingi sana vilaza wamekaa kwenye position ila wajanja kwa kukosa kuthubutu wamekaa kulaumu na kuzogoa tu otherwise kama wote tuna akili sawa, yani tunaona makosa ya wengine tu kwasababu hatupo kwenye hizo nafasi lakini tungekwepo kwenye hizo positions wembe ungekuwa uleule
 
Bongo movie hawana kipya. Hilo liko wazi. Industry iliuawa na wao wenyewe wasanii. Binafsi siwezi kuangalia kazi za ray au Steve nyerere. Kuwepo kwa kazi nyingi sokoni za nje ni kichaka cha kujifichia. Bali watu wanataka ladha mpya. Na ladha hiyo bongo movie hawawezi kuwapa.

Ksma ni kisingizio walipe ili tuone kama wataleta kingine
 
Back
Top Bottom